Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,365 Reaction score 91,926 Dec 12, 2023 #41 Sitaki kuamini said: Jamaa tangu afiwe na mwanae hajawahi kuwa sawa kabisa Finally ameenda Click to expand... Duu,maisha haya
Sitaki kuamini said: Jamaa tangu afiwe na mwanae hajawahi kuwa sawa kabisa Finally ameenda Click to expand... Duu,maisha haya
Dabil JF-Expert Member Joined Sep 30, 2021 Posts 7,376 Reaction score 16,538 Dec 12, 2023 #42 Mbona gafla hivi? Au ni ajali Sent using Jamii Forums mobile app
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,892 Dec 12, 2023 #43 Mshana Jr said: Kumbe hata manabii wanaofufua watu kwa miujiza ya maombi nao wanafiwa? Kuna yule aliyemfufua mamaake hatuwezi kumuomba akamfufua na huyu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wawapi huuyooo Kunaa mmoja alikula kama laki4 za mdadaa mmoja atamfufua mwanae Hahaha akaenda kaburini akamrudia sadakaakubwaa zaidi inahitajika mdada kahama na dar es salaam achatu Mpangalee hataree
Mshana Jr said: Kumbe hata manabii wanaofufua watu kwa miujiza ya maombi nao wanafiwa? Kuna yule aliyemfufua mamaake hatuwezi kumuomba akamfufua na huyu? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wawapi huuyooo Kunaa mmoja alikula kama laki4 za mdadaa mmoja atamfufua mwanae Hahaha akaenda kaburini akamrudia sadakaakubwaa zaidi inahitajika mdada kahama na dar es salaam achatu Mpangalee hataree
V Vito Corleone JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,417 Reaction score 5,274 Dec 12, 2023 #44 Kwann wazo la kwanza kuingia kichwani mwangu baada ya Taarifa ya tanzia hii ni Kafara?I don't why ila ndio mawazo yanayojirudia rudia
Kwann wazo la kwanza kuingia kichwani mwangu baada ya Taarifa ya tanzia hii ni Kafara?I don't why ila ndio mawazo yanayojirudia rudia
Ivan Stepanov JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 6,797 Reaction score 22,337 Dec 12, 2023 #45 R.i.p Nb Sema nabii Malissa bado yupo..si alimfufua mama yake, sasa wakipiga featuring na Geordavie na profet Lovy bado bongo fasta tu ngoma inaamka.
R.i.p Nb Sema nabii Malissa bado yupo..si alimfufua mama yake, sasa wakipiga featuring na Geordavie na profet Lovy bado bongo fasta tu ngoma inaamka.
Sitaki kuamini JF-Expert Member Joined Aug 9, 2018 Posts 1,145 Reaction score 1,344 Dec 12, 2023 #46 jimmygatete said: Shida nini mkuu? Kwamba kufa kwa mtoto ndio chanzo? Click to expand... Fuatilia, jamaa kafanya attempts za kujiua mara kadhaa
jimmygatete said: Shida nini mkuu? Kwamba kufa kwa mtoto ndio chanzo? Click to expand... Fuatilia, jamaa kafanya attempts za kujiua mara kadhaa
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,892 Dec 12, 2023 #47 Vito Corleone said: Kwann wazo la kwanza kuingia kichwani mwangu baada ya Taarifa ya tanzia hii ni Kafara?I don't why ila ndio mawazo yanayojirudia rudia Click to expand... Usiwe tajirii tu walee wanyakyusa mbeya wachungaji wanakufa masikini watoto zao husikii kafaraaa Uwee na mzigoooo
Vito Corleone said: Kwann wazo la kwanza kuingia kichwani mwangu baada ya Taarifa ya tanzia hii ni Kafara?I don't why ila ndio mawazo yanayojirudia rudia Click to expand... Usiwe tajirii tu walee wanyakyusa mbeya wachungaji wanakufa masikini watoto zao husikii kafaraaa Uwee na mzigoooo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,496 Reaction score 185,685 Dec 12, 2023 #48 Pole yao sana wafiwa...
Ivan Stepanov JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 6,797 Reaction score 22,337 Dec 12, 2023 #49 Pdidy said: kufa n faida kuishi n kristo ukijua hili hataa wosia huandiki Click to expand... Acha hizo. Kufa rahis kama uko single na hutegemewi. Kufa easy na una watoto hata sekondary hawaingia ? Acha kabisa mkuu?
Pdidy said: kufa n faida kuishi n kristo ukijua hili hataa wosia huandiki Click to expand... Acha hizo. Kufa rahis kama uko single na hutegemewi. Kufa easy na una watoto hata sekondary hawaingia ? Acha kabisa mkuu?
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,892 Dec 12, 2023 #50 Ivan Stepanov said: Acha hizo. Kufa rahis kama uko single na hutegemewi. Kufa easy na una watoto hata sekondary hawaingia ? Acha kabisa mkuu? Click to expand... Somaa maandiko mkuu sio mm
Ivan Stepanov said: Acha hizo. Kufa rahis kama uko single na hutegemewi. Kufa easy na una watoto hata sekondary hawaingia ? Acha kabisa mkuu? Click to expand... Somaa maandiko mkuu sio mm
Kommando muuza madafu JF-Expert Member Joined Aug 30, 2022 Posts 3,434 Reaction score 7,644 Dec 12, 2023 #51 Sitaki kuamini said: Fuatilia, jamaa kafanya attempts za kujiua mara kadhaa Click to expand... Aiseeee, Mungu ampe pumziko jema.
Sitaki kuamini said: Fuatilia, jamaa kafanya attempts za kujiua mara kadhaa Click to expand... Aiseeee, Mungu ampe pumziko jema.
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,892 Dec 12, 2023 #52 filipi 1;21-27
Ivan Stepanov JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 6,797 Reaction score 22,337 Dec 12, 2023 #53 Pdidy said: Somaa maandiko mkuu sio mm Click to expand... Hayo maandiko si ndio anatumia bana wa marehem kutapelasikini? Unafikir ishu ni maandiko au ishu ni kusoma.? Ishu ni uhalisia?
Pdidy said: Somaa maandiko mkuu sio mm Click to expand... Hayo maandiko si ndio anatumia bana wa marehem kutapelasikini? Unafikir ishu ni maandiko au ishu ni kusoma.? Ishu ni uhalisia?
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,892 Dec 12, 2023 #54 Ivan Stepanov said: Acha hizo. Kufa rahis kama uko single na hutegemewi. Kufa easy na una watoto hata sekondary hawaingia ? Acha kabisa mkuu? Click to expand... Fillip 1:21-27
Ivan Stepanov said: Acha hizo. Kufa rahis kama uko single na hutegemewi. Kufa easy na una watoto hata sekondary hawaingia ? Acha kabisa mkuu? Click to expand... Fillip 1:21-27
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,892 Dec 12, 2023 #55 Ivan Stepanov said: Hayo maandiko si ndio anatumia bana wa marehem kutapelasikini? Unafikir ishu ni maandiko au ishu ni kusoma.? Ishu ni uhalisia? Click to expand... Mi siwezi pinganaa na maandiko tumwache Mareham apumzike mkuu Mkristo hutakiwi kuogopaa kifo ndioo maana saazote tuwe tayari hujui sikuyakooo
Ivan Stepanov said: Hayo maandiko si ndio anatumia bana wa marehem kutapelasikini? Unafikir ishu ni maandiko au ishu ni kusoma.? Ishu ni uhalisia? Click to expand... Mi siwezi pinganaa na maandiko tumwache Mareham apumzike mkuu Mkristo hutakiwi kuogopaa kifo ndioo maana saazote tuwe tayari hujui sikuyakooo
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 Dec 12, 2023 #56 Aaah masihara haya ,Nisher no More? Mmh mbn kama siamini ?
M Muscovy JF-Expert Member Joined May 19, 2019 Posts 791 Reaction score 921 Dec 12, 2023 #57 Zamaulid said: Weka kazi zake tumkumbuke kwa urahisi Click to expand... Ben pol jikubali G Nako ft Ben pol -mama yeyoo Bei ya mkaa weusi
Zamaulid said: Weka kazi zake tumkumbuke kwa urahisi Click to expand... Ben pol jikubali G Nako ft Ben pol -mama yeyoo Bei ya mkaa weusi
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 Dec 12, 2023 #58 Jamaa kafa au kajiua ,hizi habari zinakanganya
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,365 Reaction score 108,520 Dec 12, 2023 #59 His fight is over...
Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 10,258 Reaction score 14,102 Dec 12, 2023 #60 Mtani wa Taifa said: Apumzike kwa amani, bora angetangulia baba yake tapeli yule. Click to expand... Amekutapeli nini?
Mtani wa Taifa said: Apumzike kwa amani, bora angetangulia baba yake tapeli yule. Click to expand... Amekutapeli nini?