Duh aisee sasa mbona sasa amemtelekeza mwanamke mrembo namna hii? Yaani alivyo pisi nimwache kabisa mimi?Wewe tena unataka kuchukua mke wa kwenyewe si utafute wa kwako??Nakukumbusha tu mwenyewe akiamua muda wowote anakiwasha
Sawa mkuu na asenye kwa mwongozo huu mzuri nitaufanyia kazi kikamilifu.1.Umekuwa naye kwenye mahusiano lwa muda gani sasa?
2.Je anaishi na mwanae au mtoto yupo kwa baba yake or kwa bibi?
3.Mtoto ana umri gani?
4.Wametengana lini yani wana muda gani mpaka sasa?
5.Yeye ana umri gani na wewe una umri gani?
6.Baba wa mtoto yupo hai?
7.Unaposema upo tayari kumuhudumia then baada ya muda/miaka kadhaa baba yake mzazi akimtaka mwanae utakuwa tayari kumruhusu bila conditions zozote?
8.Mama ni kabila gani?
TUKIPATA MAJIBU YA HAYO MASWALI KWA ASILIMIA 70+ utaweza kupata ushauri mzuri sana..
N:B,Kama hautaweza kuyajibu basi "USIJARIBU KUJENGA KWENYE HIFADHI YA BARABARA"
Unajenga nyumba kwenye kiwanja cha mkopo au kiwanja chenye migogoro ya ardhi? Siku bank ikija kinapigwa mnada na nyumba yako inabomolewa uende ukatafute kwa kujenga na isivyo bahati haulipwiSawa mkuu na asenye kwa mwongozo huu mzuri nitaufanyia kazi kikamilifu.
Jifunge tu hilo bomu kiunoni, huwa wanasema genge hasikii mpka damu zimtokeSijajua ila nahisi yuko hai
Sawa mkuu, Asante kwa ushauri mzuri mkuu.UNAJIDANGANYA.
Ikifikia hatua unataka kuoa tumia logic siyo hisia.
Tafuta fresh woumb for your generations to come to be fresh too.
Mi mwenyewe hapa nina watoto kadhaa, ila kama nikiamua kuoa tena siwezi oa mwanamke mwenye mtoto au watoto kama nami nataka pata watoto wengine!
Vijana siku hizi mnaongozwa na hisia sana! Ndiyo maana tunazidi kupata jamii ya ajabu!
Wewe una umri gani? Ikiwa upo chini ya 30's, tafuta fresh wako!Shirikisha hata wazazi wako kama wapo halafu ufanye maamuzi kama unataka experience!!
Kazi kweli kweli.Shida huja baadae sio sasa hivi ila km umempenda wewe hakikisha unazalisha vya kutosha km amekuja na mmoja ongeza injini 4 za kwako 1 kwa 4 lazima atabakia na 4 tu hawezi kurudi kwa aliempa mmoja,
ila leo ngoja nikutobolee siri ambayo wengi hawaambiwi
hawa single mother wengi wanakua kwenye kitu tunakiita secret mission ni zaidi ya spymaster
wengi wanakua na jeraha lisilofutika kutoka kwa mwanaume aliemzalisha na anaishi na maumivu ya kuachwa na masimango aliyoyapitia,
wengi mtu aliemzalisha ndio mwanaume anaemuheshimu na kumpenda zaidi yaan hata km alimtenga alimtelekeza alimtupa alimuacha yeye ndio mwanaume ambae anampenda saaana kuliko wanaume wote maana ndie mwanaume wa kwanza aliesababisha yeye aitwe mama hata km atakwambia anamchukia na maneno mengi ila hamaanishi kwamba anamchukia tambua mwanamke akikwambia nakuchukia anamaanisha nakupenda na akisema nakupenda anamaanisha nakuchukia, ndivyo ilivyo amini usiamini ndio ipo hivyo
wengi hizo mimba wanazozipata hua wanaziomba wenyewe naomba unitie mimba, of course hata mimi ishawahi nikuta nimewahi kuombwa nitie mimba zaidi ya mara 2 na hua wanazitaka wenyewe sio suala la bahati mbaya,
wengi hua hawataki kuzaa watoto wengi akishakua tayari na huyo mtoto mmoja wa kwake na ukimsikia anakwambia anataka kuzaa na wewe mtoto mmoja au watoto wawili shtuka haraka sana maana huo ndio mtego wenyewe ila akikuambia yupo tayari kuzaa na wewe watoto wengi kuanzia watatu wanne na kuendelea komaa nae huyo ndio wa kwako, kinyume na hapo achana nae huyo sio wa kwako umepangwa utazaa nae mmoja atalianzisha anachukua mtoto anaanza kutafuta mwanaume mwingine azae nae hivyo yaan
Aghaghagha🤣🤣🤣Jana kuna wangu namuuliza kwahiyo kwakuwa umeolewa ndio unanikaushia akanijibu "ngoja nizoee mazingira nitakutafuta"
Ushauri wangu ukimuoa mpeleke mbali na mnyang'anye simu kwa miaka 10 ndio umnunulie ingine pia akienda kwao nenda nae
Mtu ana mtoto alafu unasema yupo single jikaze kiume tafuta wa kwakoMke wa mtu?? Ukiwa na maana gani na yeye yuko single?