bandu bandu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,747
- 874
Huyo dogo shule inamsumbua kwani kazi ya mbunge ni kujenga barabara? Yeye si anasema ni bilionea akanunue nyumba masaki kazi tu kulea mimba za wanaume wenzake
Makafiri ni kina nani?
Hizo habari za kuama amekupa nani bi mkubwa wako?
kama hana mbona aliahidi atajenga?chadema kama ccm tuHalima Mdee ana kampuni ya ujenzi wa barabara?
Siku tukijua nani wa kumwajibisha nchi yeru itasonga mbele.
Kwa sasa adui ujinga bado anatutesa
Hayo ni mawazo ya watu wajinga wajinga kama ninyi maana hamuoni Mbowe hakusanyi kodi lakini jimboni kwake , tena shamba huko Hai, kunajengwa barabara ya kilometa 10.Akili yako na huyo msanii wa jini mahaba zinafanana,wewe uliona lini mbunge anajenga barabara?tena wa kutoka upinzani?serikali ndio inatakiwa kuhakikisha huduma za jamii zinapatikana kwa kutumia kodi ya wananchi.mbunge ni kuimiza serikali kutoa hizo huduma na kuzisimamia.
Hayo ni mawazo ya watu wajinga wajinga kama ninyi maana hamuoni Mbowe hakusanyi kodi lakini jimboni kwake , tena shamba huko Hai, kunajengwa barabara ya kilometa 10.
Mkiwa wapinzani wengi wasio na akili kama ninyi basi faraja kwa chama tawala.
Wana Ukumbi,
Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.
Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu!
Diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha Clouds TV pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la Kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge Halima Mdee.
Yes. Period.Wewe kwa post yako hii ndio unajiona una akili?
Yes. Period.
Yes. Period.
IQ yako ipo chini sana na nakupa ushauri wa bure tu ndugu yangu rudi shule
Hayo ndo maneno mkuu"Masopakyindi" kweli macho kwenye ugali!
Halima Mdee ana kampuni ya ujenzi wa barabara?
Siku tukijua nani wa kumwajibisha nchi yeru itasonga mbele.
Kwa sasa adui ujinga bado anatutesa
alivyoahidi alikuwa na kampuni ya ujenzi?
Mdee alipokuwa anatuomba tumpe ubunge alituahidi kushughulikia matatizo ya barabara..kwani hakujua yeye si kampuni ya ujenzi?Hongera Diamond kwa kuusema ukweli Halima Mdee ni mzigo kabisa..
Kwa nini aliahidi kuwaletea wananchi wa madale barabara ya lami ikiwa anajua kuwa hana kampuni ya ujenzi?
lakini kama aliahidi kujenga hiyo barabara kuna kosa gani watu kuhoji hilo kwani halima Mdee wakati anaahidi hakujua kuwa hana kampuni ya ujenzi wa barabara?
Sasa alivyotoa hiyo ahadi alitegemea zitajijenga zenyewe au!????
CDM + CCM = Ukoo Wa Panya
Hili ni swali la ushabiki wa ajabu sana! Halima ni mbunge ni wajibu wake kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma muhimu kama barabara. Acheni ushabiki usiokuwa na maana! Diamond yuko sahihi kabisa!!
Hawa majuha wanajitoa ufahamu eti Halima Mdee anakusanya kodi? Wengine ana kampuni ya ujenzi? Wakati anawaahidi wananchi wa jimbo la Kawe hakulijua hilo? Acheni ujinga.