Kwanza analipa kodi au anataka ajengewe barabara kwa hela za wanaume wenzake?
Hivi cdm ndio wanakusanya kodi? avumilie tu hayo ndiyo maisha bora aliyoahidiwa na kikwete
Kwanini alitoa ahadi kwa wananchi kuwa katika ubunge wake huu atahakikisha barabara inajengwa? Ikiwa alijua yeye sio serikali in the first place!
Kama wewe ni mbunge na katika jimbo lako kero hazitatuliwi, ujue tu hauna ushawishi.
Katika hali hiyo ya kukosa ushawishi, basi hufai kuwa mwakilishi wa wananchi husika. It's simple as that.
Halima, time to go!
Haluma Mdee ana kampuni ya ujenzi wa barabara?
Siku tukijua nani wa kumwajibisha nchi yeru itasonga mbele.
Kwa sasa adui ujinga bado anatutesa
Kikwete mwenye serikali ameshindwa nini kuifanya Kigoma kuwa Dubai?
Baki kwenye mada mkuu.âº
Halima Mdee ana kampuni ya ujenzi wa barabara?
Siku tukijua nani wa kumwajibisha nchi yeru itasonga mbele.
Kwa sasa adui ujinga bado anatutesa
Mdee alipokuwa anatuomba tumpe ubunge alituahidi kushughulikia matatizo ya barabara..kwani hakujua yeye si kampuni ya ujenzi?Hongera Diamond kwa kuusema ukweli Halima Mdee ni mzigo kabisa..
Mdee alipokuwa anatuomba tumpe ubunge alituahidi kushughulikia matatizo ya barabara..kwani hakujua yeye si kampuni ya ujenzi?Hongera Diamond kwa kuusema ukweli Halima Mdee ni mzigo kabisa..
Akacheze Ngororo huyo, akili zake ziko miguuni.
Kwanza analipa kodi au anataka ajengewe barabara kwa hela za wanaume wenzake?