Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Hivi majukumu ya mbunge kwa serikali ni yapi? Wewe kama mbunge wakati unakuja kuomba kura ulituahidi nini; na yale ambayo ulituahidi yasipotekelezwa nani wa kwanza napaswa kwenda kumshika shati?
 
Mwaka huu tutasikia mengi, ccm wamsimamishe yeye au zari hapo ajenge barabara
 
Mtu kaishia Form2 B unategemea atakuwa na ufahamu? Yeye aendelee kunyoa viduku na kucheza na bongo movie tu, ufahamu hana
 
Kwanza analipa kodi au anataka ajengewe barabara kwa hela za wanaume wenzake?

Kwani kuna mtanzania hata mmoja ambae halipi kodi? X6 yake ulimlipia kodi wewe? Au akienda kununua vitu ile VAT huwa unamlipia wewe? Jielimishe kwanza mwana bodi
 
Mwambie anayehusika ni mkuu wa kile chama ambacho yeye alikua anapigia kampeni......
 
Kwanini alitoa ahadi kwa wananchi kuwa katika ubunge wake huu atahakikisha barabara inajengwa? Ikiwa alijua yeye sio serikali in the first place!

Wakati wa kampeni JK alituahidi treni ya umeme kwenda mwanza, nilivyochanganya na zangu nikajua hiyo haiwezekani kwa hiyo sikumpa kura yangu na sitomdai hiyo treni...

Mdee kama aliwaahidi atafuatilia ilikuwa ni ahadi muruwa maana atarudi na kusema nimefuatilia lakini serikali imepuuza
 
Kwanza wewe ni mwongo hakumlaumu Halima yeye alichisoma kuwa kule anakokaa porini au msituni barabara iendayo huko ni mbovu hata gari lake kufika ni inshu,akasihi serikali na mbunge wake Halima walitazame kipande icho cha barabara kwenda porini au msitni alikojenga Diamond na muziki wake!

barabara za mbarara na kampala zikoje kwani huko si ndio alikojenga
 
Halima Mdee ana kampuni ya ujenzi wa barabara?
Siku tukijua nani wa kumwajibisha nchi yeru itasonga mbele.
Kwa sasa adui ujinga bado anatutesa
Kwa nini aliahidi kuwaletea wananchi wa madale barabara ya lami ikiwa anajua kuwa hana kampuni ya ujenzi?
 
Mtu kaishia Form2 B unategemea atakuwa na ufahamu? Yeye aendelee kunyoa viduku na kucheza na bongo movie tu, ufahamu hana

anafurahia tu kuendesha gari kwenye ile flyover ya mwenge na TAZARA. Kama mbagala alienda kwa helcopter anashindwaje madale
 
Sasa huyo Malaya wenu Diamond kama anamfanikio si atengeneze Barbara ya Kwenda wake.?. Kazi kukata Mauno kwenye kampeni za CCM. Km anashindwa kutengeneza barabara ya Kwenda kwake sasa Mafanikio yanamsaidia nn?. Au kubadilisha Wanawake ndio Mafanikio?.
 
Huyu Dogo vipi nimemuona juzi uku Madale anatafuta Kiwanja eka moja akawa anachonga sana kuhusu road eti ni mbaya sasa kama alikuwa anajua kuna ubovu wa Barbara kwa nn alikubali kuuziwa Kiwanja na mwenye kiti wa mtaa wa mivuno bwana Deo kipua na kajenga ?
 
Diamond mjinga sana kuvuma kwake kumempa kiburi!
-akumbuke hata mr.nice alikuwa juu zaidi yake.
 
Kwani kuna mtanzania hata mmoja ambae halipi kodi? X6 yake ulimlipia kodi wewe? Au akienda kununua vitu ile VAT huwa unamlipia wewe? Jielimishe kwanza mwana bodi

X6 unajua imepatikana vipi? Unaweza kunipa ushahidi wa kodi aliyolipa yeye? By the way, unajua VAT inalipwaje? Unafahamu utofauti wa kununua bidhaa toka kwa VAT registered shop na non-VAT shop/kioski?
 
Kwani kuna mtanzania hata mmoja ambae halipi kodi? X6 yake ulimlipia kodi wewe? Au akienda kununua vitu ile VAT huwa unamlipia wewe? Jielimishe kwanza mwana bodi

Juzi TRA wamesema huyo ---- halipi Kodi. Angalie watamfilisi
Halipi Kodi halafu anataka Barabara nzuri. Kweli Mwehu.
 
Halima Mdee ana kampuni ya ujenzi wa barabara?
Siku tukijua nani wa kumwajibisha nchi yeru itasonga mbele.
Kwa sasa adui ujinga bado anatutesa

lakini kama aliahidi kujenga hiyo barabara kuna kosa gani watu kuhoji hilo kwani halima Mdee wakati anaahidi hakujua kuwa hana kampuni ya ujenzi wa barabara?
 
Back
Top Bottom