Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Kama wewe ni mbunge na katika jimbo lako kero hazitatuliwi, ujue tu hauna ushawishi.

Katika hali hiyo ya kukosa ushawishi, basi hufai kuwa mwakilishi wa wananchi husika. It's simple as that.

Halima, time to go!

Ukiwa Rais na ukashindwa kutatua kero tafsiri yake ni nini?
 
Aache kwanza kulala na mama watu wazima waliomzidi umri ndiyo ahoji juu ya barabara,Aliambiwa Mdee ana pesa mfukoni za kujenga?
 
Bado watanzania wengi hatujui kazi ya mbunge haswa mbunge wa upinzani, na ndio maana utakuta watu wanauliza maswali kama haya ya msanii Diamond. Sii kazi ya mbunge wa upinzani kujenga barabara, hospitali wala shule, kazi ya mbunge wa upinzani ni kuhakikisha anaisimamia serikali kutimiza ahadi zake ilizoziahidi kwa wananchi na kama serikali ikikataa kufanya hivyo, uchaguzi ujao ni mwepesi zaidi kwa wapinzani kwa sababu hoja kuu watakao ileta ni kwamba iondoeni serikali iliyopo madarakani kwa sababu imeshindwaa kutekeleza ahadi zake. Ahadi za wapinzani wakati wa uchaguzi ni ahadi za kama wakipewa ridhaa ya kuongoza nchi watafanya waliyo ahidi, sasa kura hazikutosha hawana serikali tunawadai nini?
 
Halima Mdee ana kampuni ya ujenzi wa barabara?
Siku tukijua nani wa kumwajibisha nchi yeru itasonga mbele.
Kwa sasa adui ujinga bado anatutesa

Hili ni swali la ushabiki wa ajabu sana! Halima ni mbunge ni wajibu wake kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma muhimu kama barabara. Acheni ushabiki usiokuwa na maana! Diamond yuko sahihi kabisa!!
 
Yani yeye hajui anayetakiwa kujenga barabara?. Ailaumu serikali aache ufala
 
He yeye undo wakwanza kusema ivo mbona hamsemi kwa ujumla selikali yote kuanzia president na ngaz zote mpak kwa mjumbe wa nyumba kumi hawaja Fanya vizur huku yombo mbona hakueleweki kama kuna barabara
 
Bado watanzania wengi hatujui kazi ya mbunge haswa mbunge wa upinzani, na ndio maana utakuta watu wanauliza maswali kama haya ya msanii Diamond. Sii kazi ya mbunge wa upinzani kujenga barabara, hospitali wala shule, kazi ya mbunge wa upinzani ni kuhakikisha anaisimamia serikali kutimiza ahadi zake ilizodiahidi kwa wananchi na kama serikali ikikataa kufanya hivyo, uchaguzi ujao ni mwepesi zaidi kwa wapinzani kwa sababu hoja kuu watakao ileta ni kwamba iondoeni serikali iliyopo madarakani kwa sababu imeshindwaa kutekeeza ahadi zake. Ahadi za wapinzani wakati wa uchaguzi ni ahadi za kama wakipewa ridhaa ya kuongoza nchi watafanya waliyo ahidi, sasa kura hazikutosha hawana serikali tunawadai nini?

Hii ni hekaya ndugu yangu! Barabara zimejengwa katika majimbo ambako wapinzani wameshika. Mbunge awe mpinzani au chama tawala anatakiwa akune kichwa kuhakikisha jimbo lake linaendelea. Kama wewe ni mpinzani unaomba kura za wananchi ili ukalalamike tu? Acheni stories na ushabiki hapa na badala yake tuseme kweli. Halima kashindwa kazi bana!!
 
Analalamika kuhusu barabara, vipi kule Mbagala alipotekea kawafanyia nini?
 
Kama wewe ni mbunge na katika jimbo lako kero hazitatuliwi, ujue tu hauna ushawishi.

Katika hali hiyo ya kukosa ushawishi, basi hufai kuwa mwakilishi wa wananchi husika. It's simple as that.

Halima, time to go!

Unajaribu kutuambia kuwa pamoja na kulipa kodi zetu bado serikali inatakiwa kubembelezwa kutuletea huduma za kijamii? Huu ni ufinyu wa mtazamo. Ati serikali ishawishiwe na mbunge!
 
Mr skendo ana lipi jipya au ndio kaanza kampeni za wanao mualikaga majukwaani,kama vp AKAZANE KUTOA SINGO ZA KU KA TA MAU NO ZAIDI TUENDELEE KUBURUDIKA,Mwanaume anaongea anabinua midomo
 
msinlaumu diamond kama mbunge ameshindwa yeye kama mtanzania haruhusiwi kusema? usimtukane mwenzio kumwita mbululula nawe toa maoni yako huna kaa kimya the end
 
Hivi wadau diamond lile domo lake anakunja chapati kweli au katukumbusha kiaina kuwa domo lake ni mzigo wa sepetu.
 
Yani yeye hajui anayetakiwa kujenga barabara?. Ailaumu serikali aache ufala

Aise unajichora sana, hasa unapoporomosha maneno yasiyo na staha! Unajipambanua jinsi usivyojua ni nini kazi za mbunge. Tatizo la wengi humu linapokuja suala la ukweli kuhusu chama fulani wanakuja juu bila hata kufikiri kidogo-ushabiki wa ovyo kitu kibaya sana!! Linapokuja suala la kitaifa (hasa rasilimali na huduma za jamii) tujitahidi kuweka pembeni ushabiki wa vyama mazee.
 
Mimi Simshangai Diamond, Najua Uwezo Wake Wa Kufikili Uliishia Hapo, Ila Kuna Watu Ninaowangaa Hum, Kwamba Kumbe Nao Wana Upeo Mdogo Kias Cha Kutokujua Majukum Ya Mbunge, Kazi Ya Mbungu Ni Kuisumbua Selikali Na Kuibughuzi Kuhakikisha Inaleta Maendeleo Kwenye Jinye Jimbo Lake, Na Halima Aliahidi Kwenda Kuiambia Selikali Ijenge Balabala Kawe Kwakuwa Inakusanya Kod Pale, Lakin Kwa Kuwa Selikali Sio Sikivu, Imekaidi, Dawa Ni Moja Tukutane Octobar
 
Kunapesa inaitwa mfuko wa jimbo anafanyia nini au kulewa ndiyo matumizi menyewe?

kuna barabara ngapi mbovu jimbo la kawe?? na kama kazi ya mfuko wa jimbo ni kwa kujenga barabara tuu basi mbunge wa ILALA afike CITY centre aanze na Pale Azikiwe na pia Garden Avenue - pale imalaseko haraka ajenge barabara maana tumechoka kubebwa / kukanyaga kinyesi kipindi hiki
 
Back
Top Bottom