MASIKITIKO
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 959
- 429
Mkwepa Kodi naye anataka Barabara.
Afadhali hata wasanii wanaliona hilo.
Manispaa ya Kinondoni imekazana kuweka lami mitaa yote ya Oysterbay waliko wanene.
Huku kwetu Kawe hakuna kabisa barabara za kwenye mitaa.
Ndio maana niliwahi kusema heri Mtemvu kule Temeke anafanya mambo yanayoonekana kuliko huyu kipeperushi cha CHADEMA.
Lakini mbaya zaidi, kwa hasira za wananchi bado wataichagua CHADEMA kwa vile huku KAWE CCM haipo kusikiliza kero za wananchi na kuzishughulikia.
Kikwete nitaifanya kigoma kuwa dubai
sasa kwanini alitoa ahadi......Halima Mdee ana kampuni ya ujenzi wa barabara?Siku tukijua nani wa kumwajibisha nchi yeru itasonga mbele.Kwa sasa adui ujinga bado anatutesa
Kama wewe ni mbunge na katika jimbo lako kero hazitatuliwi, ujue tu hauna ushawishi.
Katika hali hiyo ya kukosa ushawishi, basi hufai kuwa mwakilishi wa wananchi husika. It's simple as that.
Halima, time to go!
Nimesikia kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuwa mh. dr. prof. Kikwete anajigamba kua ametekeleza ahadi zake kwa +90%. Nahisi swala la barabara husika lilikua kwenye ahadi zake! Pia nataka nimuulize huyo dayimondi kuwa je alikua kwenye huo mkutano wa kampeni ya Mdee aliyotoa ahadi ya kutengeneza hiyo barabara? Je alimpigia kura mpaka anakua na jeuri ya kumdai hiyo barabara (kama hiyo ahadi ni ya kweli).Wana Ukumbi,
Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.
Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu!
Diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha Clouds TV pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la Kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge Halima Mdee.
Halima Mdee ni mbunge wangu lakini bahati mbaya kawaangusha sana wapiga kura wake.
Katoa ahadi nyingi sana kujenga barabarani pale Msasani mandazi 'road' alisema anajenga soko la samaki pale Kunduchi mtongani.
Muda mwingi anautumia saloon kuliko jimboni kwake nadhani muda wake umefika mwisho.
Halima Mdee ni dini gani?Halima Mdee ni mbunge wangu lakini bahati mbaya kawaangusha sana wapiga kura wake.
Katoa ahadi nyingi sana kujenga barabarani pale Msasani mandazi 'road' alisema anajenga soko la samaki pale Kunduchi mtongani.
Muda mwingi anautumia saloon kuliko jimboni kwake nadhani muda wake umefika mwisho.
Halima Mdee ni mbunge wangu lakini bahati mbaya kawaangusha sana wapiga kura wake.
Katoa ahadi nyingi sana kujenga barabarani pale Msasani mandazi 'road' alisema anajenga soko la samaki pale Kunduchi mtongani.
Muda mwingi anautumia saloon kuliko jimboni kwake nadhani muda wake umefika mwisho.
Hahahahahahahah hivi Gerezani ipo Kawe?! au huko huwa unaenda kugonga gahawa tu?!
hapo sasa umekanasa kaongo haka
Sifahamu mkuu.Halima Mdee ni dini gani?
Mkuu wa chuo cha machizi unajifanya unamjua Ritz, lini nilikuambia nakaa Gerezani?Hahahahahahahah hivi Gerezani ipo Kawe?! au huko huwa unaenda kugonga gahawa tu?!
Sifahamu mkuu.
Domo akae kimya tu,bilionea unajenga ukuta ambao ukija upepo unadondoka? Bilionea unakaa kwenye kiwanja kama kiganja ambacho hata hakijapimwa?