Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Huyo mtoto ------ sana kisa kazoeshwa kwenda ikulu asubiri siku zake zinahesabika oct sio mbali atakuja mtu wa kurudisha heshima ya ikulu kwa maana imegeuzwa pango la wanyanganyi.shenzy type
we demu unavuta nini? tangia lini Diamond akawa mnyang'anyi? kwanza bangi na wanawake wapi na wapi? mnajitakia.
 
Domo akae kimya tu,bilionea unajenga ukuta ambao ukija upepo unadondoka? Bilionea unakaa kwenye kiwanja kama kiganja ambacho hata hakijapimwa?

Huyu DOMO KAYA inabidi aelimishwe kuwa barabara zinajengwa kutokana na raia kulipa kodi zao stahiki; yeye anajitapa kuwa bilionea lakini TRA wakibisha hodi nyumbani kwake kumuuliza juu ya kodi anaweweseka na kukimbilia kuomba msaada toka kwa manager wake DHAIFU!!!
 
Wana Ukumbi,

Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.

Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu!

Diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha Clouds TV pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la Kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge Halima Mdee.
Watanzania inabidi Tujifunze na kuelewa ili tuachane na hizi siasa za ahadi ambayo unajua kabisa unadanganywa. Mbunge kazi yake si kujenga miundombinu au kujenga hospitali n.k. Tumezoeshwa vibaya na wanasiasa. Bahati mbaya wote wanaelekea huko huko. Mathalani useme kuwa serikali iliyoko madarakani kwa makusudi imeacha kushughulikia miundombinu kwenye mjimbo ya upinzani ili waonekane wameshindwa kutimiza ahadi zao, je utakuwa umekosea? Utawasikia wanasiasa wote wa upinzani na wa chama tawala wakitamba kuleta maendeleo hasa ya barabara pale inapokuwa imejengwa ndani ya jimbo lake, lakini husikii akisikitika hata kwa kutaja tu pale wananchi wake wanpohangaika kutafuta maji hata yale ya tope!
 
Acha kupindua maneno hakumlaumu mbunge wala serikali alichosema ni masikitiko yake kuwa mpaka sasa barabara haijakarabatiwa
 
Kwenye sikuungi mkono hadi uje na ushahidi kuwa Mdee anamiliki company ya ujenzi.
 
Hawa majuha wanajitoa ufahamu eti Halima Mdee anakusanya kodi? Wengine ana kampuni ya ujenzi? Wakati anawaahidi wananchi wa jimbo la Kawe hakulijua hilo? Acheni ujinga.
 
kwanini halihaidi kujenga wakati hajengi yeye
Nikikuuliza unao ushahidi kuwa alisema atajenga yeye, sitashangaa kusikia jibu kutoka kwako kwamba ushahidi ni maneno ya diamond
 
Diamond..kwani kina Ruge na Alikiba mmemalizana nao?

kama una hela si ununue helikopta?

halafu yule mwanamke mtu mzima wa kiganda mimba imefika miezi mingapi?
 
Hili ni swali la ushabiki wa ajabu sana! Halima ni mbunge ni wajibu wake kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma muhimu kama barabara. Acheni ushabiki usiokuwa na maana! Diamond yuko sahihi kabisa!!

Waeleze ingawa wagumu kuelewa kisa kasema diamond.
Sikuwahi kugundua km kuna wajinga kiasi hiki esp kwenye role ndogo tu km kazi za mbunge,
Halima mdee muuza sura tu bungeni
 
Wana Ukumbi,

Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.

Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu!

Diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha Clouds TV pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la Kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge Halima Mdee.

Tatzo ni elimu ya uraia hana,anadhani ubunge ni sawa na kuimba mziki wake,hajui nini majukum ya mbunge na nini majukumu ya serikali,alimwona lini mbunge akikusanya kodi? alimwona lini mbunge akitangaza zabuni?ama kweli ukiwa na element za ccm unakuwa ni zaidi ya juha.
 
Kumbe mwananchi wa kawaida tu akimlalamikia mbunge inaanzishwa topic????lini diamond amesikia halima mdee ameikataza serikali kujenga hiyo barabara????
 
Kama wewe ni mbunge na katika jimbo lako kero hazitatuliwi, ujue tu hauna ushawishi.

Katika hali hiyo ya kukosa ushawishi, basi hufai kuwa mwakilishi wa wananchi husika. It's simple as that.

Halima, time to go!

halima ana miaka karibu mitano kama mbunge wa kawe,hao waliokuwa wabunge kwa miaka mingine yote mbona hawakufanya,
 
Wana Ukumbi,

Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.

Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu!

Diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha Clouds TV pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la Kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge Halima Mdee.

Huyu kweli anafikiria?,tangu aanze kuimba amechangia nini nchini zaidi ya kwenda mbeya na kuchukua kadi ya ccm kwenye sherehe zake.
Sifa ya jukwaa la nyimbo asidhani bungeni,huwezi kulunganisha Diamond(f4) na Mdee wa sheria
 
Wewe masopa ni mbulula, mdee kazi yake ni kuieleza serikali kutatua matatizo ya wana kawe. Mnataka atoe hela zake ajenge barabara?, Diamondi naye mbulula tu.
 
halima ana miaka karibu mitano kama mbunge wa kawe,hao waliokuwa wabunge kwa miaka mingine yote mbona hawakufanya,

Hawakufanya kwa sababu hawakuahidi! Wakati huo wakazi wa Madale walikuwa wanahitaji zaidi huduma za maji na umeme na vyote walipata chini ya mbunge wa CCM.

Tatizo la Mdee ni kwamba alipata jimbo kwa njia ya ulaghai...na ndicho kinamuumbua hivi sasa.
 
Apeleke makende yake huko,au anahamu ya kusukumiwa mboo .anataka apewe hela na mdee kama anavyovizia hela za mademu.ndo maana wema alisanda.

Matus ya nn kaka.. Nyie ndo mnafanya mpk serikali inafikiria kuweka sheria kali kuhusu mitandao ya kijamii...
 
Back
Top Bottom