- Thread starter
- #61
Diamond mjinga sana kuvuma kwake kumempa kiburi!
-akumbuke hata mr.nice alikuwa juu zaidi yake.
Acha chuki mkuu na dua zako za kuku hizo!
Diamond mjinga sana kuvuma kwake kumempa kiburi!
-akumbuke hata mr.nice alikuwa juu zaidi yake.
Kwa nini aliahidi kuwaletea wananchi wa madale barabara ya lami ikiwa anajua kuwa hana kampuni ya ujenzi?
Mapovu ya nini, si kasema ukweli?Diamond mjinga sana kuvuma kwake kumempa kiburi!
-akumbuke hata mr.nice alikuwa juu zaidi yake.
Halima Mdee ana kampuni ya ujenzi wa barabara?
Siku tukijua nani wa kumwajibisha nchi yeru itasonga mbele.
Kwa sasa adui ujinga bado anatutesa
Matokeo ya kufikiri kwa masaburi. Halima anawaahidi kuwajengea barabara yeye ni serikali? Tangu lini wabunge wakajenga barabara. Serikali ndiyo ya kulaumiwa na si HM.
Watu wa Kg bwana! Kama anataka kupoteza his music fame ajaribu kujiingiza kwenye siasa. Kawe si jimbo la wajinga kiasi hicho!Kwa hiyo ninyi mkiahidiwa na yeyote hamna akili ya kuhoji?
watu wengine hujifunza ujinga shuleni ( FaizaFoxy )
wana ukumbi,
msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, diamond platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo madale ambayo ipo kwenye jimbo la kawe chini ya halima mdee.
Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya chadema kwa kuwa halima mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu!
diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha clouds tv pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge halima mdee.
Wana Ukumbi,
Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.
Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu!
Diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha Clouds TV pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la Kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge Halima Mdee.
Watu wa Kg bwana! Kama anataka kupoteza his music fame ajaribu kujiingiza kwenye siasa. Kawe si jimbo la wajinga kiasi hicho!
Kama wewe ni mbunge na katika jimbo lako kero hazitatuliwi, ujue tu hauna ushawishi.
Katika hali hiyo ya kukosa ushawishi, basi hufai kuwa mwakilishi wa wananchi husika. It's simple as that.
Halima, time to go!
Diamond ndio nani bandugu?