Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Humu ndani watu wananistaajabisha sana, hii post ingekuwa inamhusu mbunge wa chama kingine tofauti na CHADEMA watu wangemponda sana but, kwa sababu ni mbunge wa chadema basi yeye hatakiwi kulaumiwa. NI NINI MAANA YA AHADI ZA WABUNGE? WAKULAUMIWA NI MTOA AHADI? AU NI MTEKELEZAJI KWANZA?
 
Kama wewe ni mbunge na katika jimbo lako kero hazitatuliwi, ujue tu hauna ushawishi.


Katika hali hiyo ya kukosa ushawishi, basi hufai kuwa mwakilishi wa wananchi husika. It's simple as that.

Halima, time to go!

Mbona kwenye kukusanya kodi hatuwashawishi uweje kwenye kutoa huduma za jamii ndiyo wasubiri kushawishiwa??? Poor thinking, siku mtakopojua adui yenu mtaacha ushabiki. Ma-ccm yameongoza hilo jimbo kwq karibu miaka 50, kwann hawakujenga hizo barabara???
 
sio kosa lake Diamond kwa elimu aliyonayo msameheni anadhani bara barahujengwa na wabunge kama kweli kasema kama ilivyolipotiwa manake waandishi wa magazeti yetu ni kichefuchefu wakati mwingine
 
Lini mimi nilikuambia nipo kariakoo?

Mwaka juzi uliniambia mmepangisha hiyo sehemu, kwa hiyo wewe ni kula kodi... na kushinda kwenye gahawa na kashata, kwani mmekwisha pauza mkagawana urithi?!
 
yani watanzania sisi ni watu wajinga sana, nashangaa huu uzi unawachangiaji lukuki ambao wanajaj bila kwenye habari ambayo haina nukuu povu linawatoka watu kwa story ya kidaku...mnaendekeza mapenzi ya kisiasa kwa ujinga, eti leo mtu anahoji halima hana kampuni ya ujenzi wakati huo jana pia alitoa povu kuponda ZZK kalifanyia nini jimbo lake la kigoma kaskazini au ZZK yeye anafungu na halima hana?? wabunge kazi zao ni kuisimamia na kuwasilisha kero za wananchi kwa serekali na kuhakikisha zinatatuliwa, ingawa changamoto inaweza kuwa si kero zote zitatuliwa Halima kafanya mengi tu jimboni kwake mazuri inawezekana hilo la hiyo barabara halijafanikiwa na wajibu wake kuhakikisha linafanikiwa kwa kuwa alitoa ahadi. jambo kama hilo linaweza kutokea kwa mbunge wa jimbo lolote Tanzania
 
Mwaka juzi uliniambia mmepangisha hiyo sehemu, kwa hiyo wewe ni kula kodi... na kushinda kwenye gahawa na kashata, kwani mmekwisha pauza mkagawana urithi?!
Umekuwa mke wangu sasa yaani nikuambie mambo yangu.
 
Back
Top Bottom