Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,709
Hizo pesa za kununua masinki ya dhahabu, na vitanda vya watoto walio tumboni vya dhahabu alitakiwa Diamond kama msanii mwenye mafanikio makubwa afanyie kazi za kijamii kama hizo. Halima Mdee hana fungu, lazima aombe ombe na serikali kwa kuonyesha mabavu itamnyima hela ili yatokee malalamiko kama hayo.
Haisaidii kuwa na ghorofa pekee yako kijiji kizima.
Haisaidii kuwa na ghorofa pekee yako kijiji kizima.
Last edited by a moderator: