Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Kwani Halima Mdee anakusanya kodi kutoka kwa wananchi au ameskia wapi kuwa mbunge ndio mwenye maamuzi ya barabara gani ijengwe? Acha Umbulula wewe
Watanzania bana tusiwe wa ajabu kiasi hicho! Sasa anapofanya campaign akiahidi anategemea nini hasa! Kwa nini anagombea basi
 
Diamond

mkimbushe na hukutankibovu baadaya ukuta wamboma kunasehemu wanachimba mchanga alikuja akaapa kusimamiahili mwakasasa policewanakuja kilasiku kuchukuahela nna jamaa waserikali zamtaa
 
Wana Ukumbi,

Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee..

Jamani, jamani jamani! Hivi hata wewe uko chini kiasi hiki kwamba sasa tunaletewa hata maoni ya watu kama huyo Diamond! Hii ni ishara kwamba sasa tumeishiwa watu wenye akili ktk mambo ya kitaifa.

Huyo kazi yake ni kuimba na kucheza, sisi kazi yetu ni kufurahia na tunampa chochote ili aendelee kuimba. Leo hii naye anatoa maoni kwenye mambo makubwa kama haya kweli?

Sasa si unaona? Hajui hata kazi ya mbunge nini na hajui hata anayetakiwa kujenga barabara ni nani?

Wewe uliyeleta uzi huu na hao wanaokuunga mkono, All TRUTH, Ruttashobolwa, Kozo Okamoto na Gor, wote ni akina Diamonds tu!
 
Macho Kum-CHUZI aka KENGEZA MBOWE na CHAGGADOMO yake ni watu hatari sana.WAMEWAFUNDA MIBAVICHA MITUSI,MAJUNGU NA CHUKI
 
Leo JF Inegeuka KIJIWE Cha MATUSI,MAJUNGU,UMBEYA na MICHAGGADOMO
 
Please please kama unataka kugombea ubunge lazima uwaahidi wananchi unataka kuwafanyia nini! Sio kwenda kupiga hela tu burebure! Ukiuliza! Oooh kwani yeye anakusanya kodi, whats this rubish argument! !??
 
Hawa majuha wanajitoa ufahamu eti Halima Mdee anakusanya kodi? Wengine ana kampuni ya ujenzi? Wakati anawaahidi wananchi wa jimbo la Kawe hakulijua hilo? Acheni ujinga.


Umbumbumbu wako ndio unaokufanya ukoment pumba kama hii
 
Please please kama unataka kugombea ubunge lazima uwaahidi wananchi unataka kuwafanyia nini! Sio kwenda kupiga hela tu burebure! Ukiuliza! Oooh kwani yeye anakusanya kodi, whats this rubish argument! !??


Wananchi tunalaumu wabunge lakini hii yote ni kutokujua wajibu wa mbunge na serikali...
 
Wananchi tunalaumu wabunge lakini hii yote ni kutokujua wajibu wa mbunge na serikali...

Unaweza kuniambia kwa nini tumchague mbunge aendelee kipindi kingine kama ameshindwa kutatua matatizo ya wananchi waliomchagua? ?? Tusianze kutoa visingizio vya kwamba wao sio wakusanya kodi, kwa sababu kama alijua hivyo basi its better asingegombea basi
 
Huyu diamond sijui ana matatizo gani kwani Halima mdee ndo waziri wa ujenzi?
 
UQUOTE=2hery;12418469]Huyu kijana ni mhujumu uchumi..Amekwepa kulipa kodi ambayo ingechangia kujenga barabara.TRA wakaze buti kumwajibisha[/QUOTE]

Mmh muhujumu uchumi tena?yale majimbo yaliyochukuliwa kwa bahati mbaya kama kawe,Iringa,Nyamagana,Arusha,Ilemela na Mbeya yana kwao ccm
 
Wana Ukumbi,

Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.

Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu!

Diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha Clouds TV pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la Kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge Halima Mdee.

Si alienda Ikulu ?
Angeanza na Mkuu wa Nchi aliyeshindwa kazi
 
Unaweza kuniambia kwa nini tumchague mbunge aendelee kipindi kingine kama ameshindwa kutatua matatizo ya wananchi waliomchagua? ?? Tusianze kutoa visingizio vya kwamba wao sio wakusanya kodi, kwa sababu kama alijua hivyo basi its better asingegombea basi


Sasa halima mdee ajenge barabara kwa hela ipi kama sio kupitia kodi za wananchi?
Sehemu nyingi sana ambamo ni majimbo ya upinzani,wananchi wamecheleweshewa sana huduma za kijamii Zikiwemo huduma za maji safi mf ubungo,barabara mf kawe,umeme,afya nk nk.

Tuache kuwalaumu wawakilishi wetu kwani wamefanya makubwa nje na barabara..serikali ilaumiwe kwa hili na si mdee.
 
DJ ZERO MBOWE aka KENGEZA Ameharibu hii MIBAVICHA Ina akili za KICHAGGADOMO Sana,UMBEYA,MAJUNGU,MATUSI,CHUKI.

Mdee kaishia malaya tu huyo mngumba tu

MICHAGGADOMO ina CHUKI sana MKUU

Macho Kum-CHUZI aka KENGEZA MBOWE na CHAGGADOMO yake ni watu hatari sana.WAMEWAFUNDA MIBAVICHA MITUSI,MAJUNGU NA CHUKI

Leo JF Inegeuka KIJIWE Cha MATUSI,MAJUNGU,UMBEYA na MICHAGGADOMO

Michango ya aibu kabisa wikendi hii kutoka kwa Great Thinkers. Kauli za Amina hii hutoka kwenye vinywaji Vya wanywa gongo .
 
kabweteka na mafanikio yake huyo angemwambia jakaya alipoenda kunywa juisi ikulu kaufyata diamond
 
Huyu kijana ni mhujumu uchumi..Amekwepa kulipa kodi ambayo ingechangia kujenga barabara.TRA wakaze buti kumwajibisha

Mmh muhujumu uchumi tena?yale majimbo yaliyochukuliwa kwa bahati mbaya kava kawe,Iringa,Nyamagana,Arusha,Ilemela na Mbeya yana kwao ccm
 
Back
Top Bottom