Himawari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 2,609
- 1,704
Kwanini alitoa ahadi kwa wananchi kuwa katika ubunge wake huu atahakikisha barabara inajengwa? Ikiwa alijua yeye sio serikali in the first place!
Alikotokea kabla ya kuhamia Madale kulikuwa na lami hadi mlangoni?