Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Mbona alipokuwa Mbagala hakuongea huo upiuzi
CCM wamekaa hapo miaka 50 sembuse huyu wa miaka 4? Apelek uccm wake huko mbagala jalalani
hawa vijana hawajifunzi tu , amwangalie Ally choki alipofikia , usitukane wakunga kabla hujajifungua .
 
Anataka kugombea October 2015 nini...sio muda tutasikia anatangaza nia.
 
Afadhali hata wasanii wanaliona hilo.

Manispaa ya Kinondoni imekazana kuweka lami mitaa yote ya Oysterbay waliko wanene.

Huku kwetu Kawe hakuna kabisa barabara za kwenye mitaa.

Ndio maana niliwahi kusema heri Mtemvu kule Temeke anafanya mambo yanayoonekana kuliko huyu kipeperushi cha CHADEMA.

Lakini mbaya zaidi, kwa hasira za wananchi bado wataichagua CHADEMA kwa vile huku KAWE CCM haipo kusikiliza kero za wananchi na kuzishughulikia.

Hivi mfuko wa Jimbo unatosha kujenga kilometa ngapi kwa kiwango cha lami? Au mbunge anavyo vyanzo vingine vya mapato anavyoweza kutumia ili kuwajengea hizo barabara. Kwa nini msihoji bajeti ya halmashauri ya Kinondoni inayoongozwa na CCM kwa nini haitengi fedha kwa ajili ya barabara hizo? Au bajeti ya serikali kuu kupitia wizara husika..mbunge kazi yake kupaza sauti, na naamini ameshapaza sana, lakini kama ilivyo kawaida, serikali ya CCM inakaidi kushughulika na mambo yatokayo kwa wapinzani kwa nia ya kujitengenezea maslahi ya kisiasa, ili kwenye kampeni mgombea ubunge kupitia CCM aseme mbunge aliyepo (upinzani) hajafanya kitu chochote, wakati kimsingi hana mamlaka hayo na wala si jukumu lake. Na sisi kwa kuwa bado hatujakomboka na adui ujinga, tunakubaliana na hila hizo.
 
huyu dogo ni shoga kweli analilia barabara ya kwenda kwake wakati mdee analilia barabara za vijijini ili chakula kifike mjini mapema na kwa garama rahisi? yeye diamond ni tajiri anapanda ndege ya rais free nauli kila siku na juzi rais jk kamuuliza size ya suti ili amletee kutoka marekani wakati kila siku anahonga malaya magari na fedha je jamii kaisaidiaje? hizo kodi zetu za kupanda ndege bure ya raisi na garama za kuletewa na raisi suti si kodi zetu anarudishaje? ni miaka michache alikuwa soro je hao masoro wenzake wa miaka hiyo kawasaidiaje baada ya kufanikiwa? je anapomlaumu mdee na barabara je mdee ndio serikali au ccm? je haoni bungeni wanapo wabania wapinzani? yeye kama anavyogawa pesa na magari kwa malaya kuna siku aliwahi kumwambia mdee anataka kutoa vijisenti ili barabara ikarabatiwe mdee akakataa???

huyu shoga niwa kumdiss kalewa umaarufu hata huko fb wana mdiss ngemse nasa yuhu godo.



Wana Ukumbi,

Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.

Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu!

Diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha Clouds TV pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la Kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge Halima Mdee.
 
anaweza akapewa viti maalumu na jk kabla hajamaliza muda wake.....kumbuka anasubiria suti kama zawadi kutoka kwa jk akitua kutoka usa......hahahahahha njaaa ni jalala unaweza ukala mavi yako



Anataka kugombea October 2015 nini...sio muda tutasikia anatangaza nia.
 
Diamond siku mfuate umuulize mbunge wako juu ya suala ilo then uje tuletea majibu apa.

Ila kumbuka kulipa kodi stahiki za serikali maana ndio hujenga barabara
 
anaweza akapewa viti maalumu na jk kabla hajamaliza muda wake.....kumbuka anasubiria suti kama zawadi kutoka kwa jk akitua kutoka usa......hahahahahha njaaa ni jalala unaweza ukala mavi yako

Hahahaaa.... kwa ambavyo mkuu wetu sio mchoyo naunga mkono kauli yako, huoni makonda!
 
huyu dogo ni shoga kweli analilia barabara ya kwenda kwake wakati mdee analilia barabara za vijijini ili chakula kifike mjini mapema na kwa garama rahisi? Yeye diamond ni tajiri anapanda ndege ya rais free nauli kila siku na juzi rais jk kamuuliza size ya suti ili amletee kutoka marekani wakati kila siku anahonga malaya magari na fedha je jamii kaisaidiaje? Hizo kodi zetu za kupanda ndege bure ya raisi na garama za kuletewa na raisi suti si kodi zetu anarudishaje? Ni miaka michache alikuwa soro je hao masoro wenzake wa miaka hiyo kawasaidiaje baada ya kufanikiwa? Je anapomlaumu mdee na barabara je mdee ndio serikali au ccm? Je haoni bungeni wanapo wabania wapinzani? Yeye kama anavyogawa pesa na magari kwa malaya kuna siku aliwahi kumwambia mdee anataka kutoa vijisenti ili barabara ikarabatiwe mdee akakataa???

Huyu shoga niwa kumdiss kalewa umaarufu hata huko fb wana mdiss ngemse nasa yuhu godo.

dada mond si rizki !
 
Huyu ajui analolizungumzia, kwan yeye n mjenga barabara
 
Diamond alivyokwenda kuiimbia CCM sherehe ya kuzaliwa kwake kule RUVUMA mwaka huu February alishindwa nini kuwauliza swali kuhusu utekelezaji wa ILANI yao pamoja na ahadi CCM ilizotoa kama ana huo ubavu!
Kipaza sauti yaani maiki yeye ndiye alikuwa ameshikilia cha ajabu leo anaenda kulialia kwenye media nawakati kila siku anakaribishwa ikulu lakin maswali hayo haulizi.
AU NDIYO UNAFIKI WA KUGEUZA IKULU ....
 
Wana Ukumbi,

Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.

Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu!

Diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha Clouds TV pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la Kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge Halima Mdee.

We jamaa kama watanzania wote tusingekuwa na TV ungetutesa sana na uongo wako!

Hivi ni wapi Diamond alitamka kuwa Halima Mdee ni mzigo?Mimi nilitazama hiyo interview yote kupitia Clouds TV kipindi cha 360(Three sixty).

Yeye alichoambiwa azungumzie uchaguzi mkuu ujao,pamoja na mambo mengine aliiomba serikali kuikumbuka barabara iendayo kwake(Diamond),ya Madale sababu imeharibika sana.

Ndipo wale watangazaji wakawa wanajiuliza Madale ipo chini ya mbunge gani ndio wakasema ipo chini ya Halima Mdee.

Kweli Mh.Mdee ndie mbunge wa Kawe na Madale ipo chini yake lakini acheni uzushi ili muonekane mnajua kila kitu maana umeandika kisiasa sana kana kwamba hicho kipindi kimerushiwa sebuleni kwako pekee,eti "Diamond asema Halima Mdee ni mzigo".

Hii sheria kuhusu matumizi ya mitandao iharakishwe sana!
 
yupo kamati ya miundo mbinu; kwa nini asipeleke MADALE,

M.P.U.M.B.A.V.U Ndo maana ni ms...............

Hiyo Madale ni kwa kuwa amejenga huko huyo Diamond tu au?
 
Kama yeye anasema amejenga nyumba ukiingia bila raamani unapotea sasa inakuaje asiisaidie nchi yake kwa kujenga barabara kwa grader tu kiwango cha Changarawe..mchango wake ni nini kwa Nchi yake huyu Diamond?

Kukata mauno kwenye mikutano ya chama
 
Back
Top Bottom