Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Mleta mada ni mwongo tena ni mpika uongo mkubwa! Nilikuwa nakiangalia hicho kipindi toka mwanzo hadi mwisho, Diamond hakumshutumu MDEE kama mleta mada alivyo hara hapa,.
Mtangazaji alimuuliza anaushauri gani kwa wananchi kuelekea kipindi hiki cha uchaguzi mkuu? Ndipo Diamond katika moja ya maelezo yake akasema "pamoja na kwamba rais aliyepo amejitahidi ila kuna baadhi ya mambo bado hayajakaa sawa ikiwemo barabara hiyo, hivyo akatoa ushauri ishughulikiwe!
 
Kama wewe ni mbunge na katika jimbo lako kero hazitatuliwi, ujue tu hauna ushawishi.

Katika hali hiyo ya kukosa ushawishi, basi hufai kuwa mwakilishi wa wananchi husika. It's simple as that.

Halima, time to go!

shetani wa maendeleo ni CCM. Full Stop
 
Kwani Halima Mdee anakusanya kodi kutoka kwa wananchi au ameskia wapi kuwa mbunge ndio mwenye maamuzi ya barabara gani ijengwe? Acha Umbulula wewe

Wakati anatoa ahadi hakujua kuwa hakusanyi kodi???..
 
Wana Ukumbi,

Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.

Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu!

Diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha Clouds TV pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la Kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge Halima Mdee.

Huyu alikua HAJUI kuwa Mdee hajengi Barabara kwa pesa yake ..Huko Madale kaakaa hadi Kawawa ..hakuwahi kulalamika ...Ndio yeye ???
 
Kwani Halima Mdee anakusanya kodi kutoka kwa wananchi au ameskia wapi kuwa mbunge ndio mwenye maamuzi ya barabara gani ijengwe? Acha Umbulula wewe
Mimi ningewashauri wanahabari wawe wanawatendea haki wasanii wetu wa kibongo kwa kutowauliza au kuwaingiza katika masuala yanayohitaji uwelewa wa juu. Vinginevyo wanataka waanike ujinga (ignorance) wao hadharani wakati kwa macho ya jamii wanaaminiwa kuwa ni nyota (superstars) na imani zote ziendanazo na nyota. Nyie waulizeni mambo ya mapenzi, starehe, ameishafanya mapenzi na warembo wangapi au njemba ngapi, je aliona tofauti yo yote au zote zafanana, nk. Hapo mtakuwa mmewatendea haki.
 
huyu domo ajiangalie hiyo tabia ya kutembea na wake za watu sio nzuri...watamchum siku moja.
 
Halims Mdee kazi yake kubwa ni kushinda saluni kujipodoa, hajafanya lolote Kawe
 
Apeleke kule U CCM wake, tena akiendelea na huo upuuzi wake atapotea, awaulize Marlow.
 
Halima mdee.
Ningekuwa mimi ningejiuzuru ubunge
kwa kushindwa kuwaletea maendeleo wananchi.

Halima mdee hana akili, akiwa BUNGENI anapitisha vifungu vya pesa kwa nn asitoe shilingi katika bajeti ya miundombinu Haoni barabara ya madale.
Bora zitto kaondoka labda hataacha kupiga story na kuwasahau wapiga kura.
Full kutongozwa na zitto na kukurupuka bila ata ya kujua spika anaongolea nn

Bado issue ya viwanja ; mungu ahrudiiiiiiiiiiiii. Hakirudi natembea uchiiiiiiiiiiiiiiiiii kweupe 2015
 
Wana Ukumbi,

Msanii maarufu nchini mwenye mafanikio makubwa katika sanaa ya mziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, amevunja ukimya wake juu ya ubovu wa barabara iendayo Madale ambayo ipo kwenye jimbo la Kawe chini ya Halima Mdee.

Msanii huyo ameelekeza lawama zake kwa mbunge huyo wa kupitia tiketi ya CHADEMA kwa kuwa Halima Mdee aliahidi wananchi wa jimbo hilo kuwa katika kipindi chake cha ubunge atahakikisha barabara hiyo inajengwa kwa kiwango cha lami, lakini hadi hii leo barabara imejaa tope tu!

Diamond alieleza masikitiko yake huyo kupitia katika kituo cha Clouds TV pale alipoulizwa swali kuhusu makazi yake mapya yaliyopo katika jimbo la Kawe na ndipo hapo akafunguka kuhusu suala hilo la kero ya barabara ambalo lina muda mrefu alijashughulikiwa na mbunge Halima Mdee.

Halima Mdee sio contractor wala sio waziri wa barabara, Halima Mdee ni mbunge na kazi ya Mbunge sio kujenga barabara ila kuwawakilisha wananchi Bungeni

Huyo Diamondo kama aliona barabara ni kero, na kwa kuwa rais ni 'rafiki' yake badala ya kumwambia size ya koti angemwambia kilometa za kuwekwa rami hiyo barabara.
 
Halima mdee.
Ningekuwa mimi ningejiuzuru ubunge
kwa kushindwa kuwaletea maendeleo wananchi.

Halima mdee hana akili, akiwa BUNGENI anapitisha vifungu vya pesa kwa nn asitoe shilingi katika bajeti ya miundombinu Haoni barabara ya madale.
Bora zitto kaondoka labda hataacha kupiga story na kuwasahau wapiga kura.
Full kutongozwa na zitto na kukurupuka bila ata ya kujua spika anaongolea nn

Bado issue ya viwanja ; mungu ahrudiiiiiiiiiiiii. Hakirudi natembea uchiiiiiiiiiiiiiiiiii kweupe 2015
Mfalme juha hapo unajiona umevaa?
 
Halima Mdee sio contractor wala sio waziri wa barabara, Halima Mdee ni mbunge na kazi ya Mbunge sio kujenga barabara ila kuwawakilisha wananchi Bungeni

Huyo Diamondo kama aliona barabara ni kero, na kwa kuwa rais ni 'rafiki' yake badala ya kumwambia size ya koti angemwambia kilometa za kuwekwa rami hiyo barabara.

yupo kamati ya miundo mbinu; kwa nini asipeleke MADALE,

M.P.U.M.B.A.V.U Ndo maana ni ms...............
 
Huyu alikua HAJUI kuwa Mdee hajengi Barabara kwa pesa yake ..Huko Madale kaakaa hadi Kawawa ..hakuwahi kulalamika ...Ndio yeye ???

ni waziri kivuli.
wakati mawaziri wenzake wanapeleka barabara yeye, YUPO TU. HAPENDEZI HAKITOA MIWANI
 
Hebu tuwekeeni hayo maojiano tuyaone/tusikilize mambo kama hayo yananoga na ushahidi
 
Kwani Halima Mdee anakusanya kodi kutoka kwa wananchi au ameskia wapi kuwa mbunge ndio mwenye maamuzi ya barabara gani ijengwe? Acha Umbulula wewe
mbona huduma hizo zikipelekwa mnawasifu wabunge? nakumbuka kuna threads nyingi tu humu zikiwasifu akina nyika dee na wengine kwa miundombinu iliyojengwa na serikali kwa nini pia wasilaumiwe kama haikujengwa? au mnamaana hata zile sifa mnazowapa wabunge wenu ni fake? double standard.
 
Back
Top Bottom