Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

Diamond Platnumz: Mdee ni Mzigo Jimbo la Kawe

kwahiyo km hakukua na lami ndo na mdee kaona asiweke lami? Hebu jifungueni pingu za fikra mbn jambo jepesi hivi mnataka kuwafanya wananchi mbulula! Hata km unakipenda chama ila kikiharibu sema ukweli.

Mdee ni iron lady hilo sikatai ila kwa hili la barabara anapaswa kulaumiwa acheni siasa za maji taka! Ni bora umwambie ukweli aumie kuliko kumwambia uongo acheke! Km ndo huwa mnashauriana hivi mnampoteza mdee kwa kutanguliza uchama mbele na kujifunga macho kana kwamba hamuoni!
Hapo penye red,umenena vema.Naomba ikumbukwe kuwa mtu kama Halima,Mnyika,Mbatia,Magufuri,Lisu na wengine mfano wa hao ni zaidi ya kuwa mbunge wa jimbo husika kwa mchango wao uliotukuka bungeni,si busara kwa mtu mashuhuri kama Diamond kulalamika kama mtoto wa chekechea.Je hilo la barabara analilinganishaje na
pale wabunge hawa walipoungana na kamanda Sugu kutetea wasanii,hilo aliliona au ameona barabara.
Si kwamba na yeye Diamond kila sehemu anafanya vema bali mengine tunamvumilia tu.
Mimi siyo mkazi wa kawe,lakini nasema Mdee ni mbuge wa tanzania nzima hivyo hata akija kugombea kwetu kura tutampa pamoja na unazi huu unaoelekezwa kwake.
 
Diamond kama kasoma hii thread walahi usiku wa leo hatalala.
 
Humu ndani unaweza kudhani wote WAZARAMO.JF Imekuwa KIJIWE CHA MATUSI na MAJUNGU Kikiongozwa na MICHAGGADOMO!Shame....
 
Michaggadomo i natema matusi sana,ina chuki na kila mwenye kupiga hatua kimaendeleo.shame....
 
Hivi UFIPA MICHAGGADOMO Inapigwa short za umeme maana akili zote ni kama MIZWAZWA.Majungu,matusi,chuki
 
DJ ZERO MBOWE aka KENGEZA Ameharibu hii MIBAVICHA Ina akili za KICHAGGADOMO Sana,UMBEYA,MAJUNGU,MATUSI,CHUKI.
 
Le Grand utakuwa wewe ndie DJ ZERO aka KENGEZA Mbowe endelea kufanya misukule MICHAGGADOMO wenzio.Nyang'autuuu
 
Last edited by a moderator:
Afadhali hata wasanii wanaliona hilo.

Manispaa ya Kinondoni imekazana kuweka lami mitaa yote ya Oysterbay waliko wanene.

Huku kwetu Kawe hakuna kabisa barabara za kwenye mitaa.

Ndio maana niliwahi kusema heri Mtemvu kule Temeke anafanya mambo yanayoonekana kuliko huyu kipeperushi cha CHADEMA.

Lakini mbaya zaidi, kwa hasira za wananchi bado wataichagua CHADEMA kwa vile huku KAWE CCM haipo kusikiliza kero za wananchi na kuzishughulikia.

Mdee Kaongoza Miaka Mitano Akuletee Barabara Ya Lami Wakati Ccm Imeongoza Miaka Hamsini Imeshindwa
 
Back
Top Bottom