Dhibiti muda anaospend mumeo kwa small house...

Hapo nilipo bold hapo, ni kweli kabisaaaaaaaa, mwanamke anakaba ile mbaya, boss anafuatwa home na STK , safari inaanza kumbe small house imepewa nauri inapanda basii , kitu kinatua Dodom watu wanaspend ile mbaya, wakimaliza Boss anarudi na gari kitu kinapanda basi, utamkamatia wapi? kwa kweli ni kumuacha tu yeye mwenyewe ajiheshimu, kuliko kumchunga maana unamuongezea akili ya kukuchit zaidi.
Lisa umeongea kweli ni kumuacha mwanaume ajichunge na aelewe thamani ya ndoa na thamani ya mwanamke aliye nae maana ukisema ukabe kona zote hatakosa namna kufanya mambo yake
 
Last edited by a moderator:
You see...afu nachoshangaa watu wanaongea kama vile ni wanawake tu ndio tuna wivu na tunawalinda wenza wetu...mbona mimi mme wangu yuko makini sana na kila ninachofanya...

Hakasiriki ikitokea nikamuhoji....na mimi hategemei nitakasirika akifanya hivyo kwangu...uhuru tuliuza siku tuliposema 'I do'

kabisa, mume sio sawa na boyfriend, hawezi kuwa kakuoa halafu anataka aishi kisingle boy. hata yeye pia ana haki ya kuhoji mkewe vile vile, kwanza inaleta faraja unapokosea halafu mwenzi wako anahoji kidogo, asipohoji ni dallili kuwa hayupo makini nawe.
 
Wapwa zangu wote, if your Man is a player will always be.....hata umgande kumkichwa. Nina mtu namfahamu sana na huwezi amini anamtumia mke wake kuwapata wanawake wengine pasipo yeye kuelewa. Kwa mfano juzi tulikua tumekaa mahali, basi Jamaa kakaa na mke wake na baada ya mke wake tulikua na mdada mmoja mzuri tu, alichokifanya alianzisha story weeeee halafu baadae akatoa simu yake akajifanya anatuma text or anasoma text halafu akamwambia mke wake, badilishaneni namba basi! Kumbe jamaaa yuko standby kuandika namba, the way yule dada anataja jamaa naye huku akawa anaiandika fasta na huwezi amni pale pale akaanza kuchati nae!!!!

Mi hua naona kikubwa ni kujenga namna fulani ya kuaminiana tu, the rest ni mbwembwe tu

mweee jaman wanaume hamchungiki...yanii kila cku iitwayo leo mwaja na new techniques.cha muhmu wanawake wenzangu nikuwaombea sanaaaa waume zetu.
 
maombi huku wajiweka mbali na mme wako haisaidii!!
 
Sijui hata ni kwanini nimeona uvivu kusoma mada!

Labda baadae!!!!!!
 
fafanua shemeji.

Baadhi ya mambo uliyoyaandika hapo juu hufanywa na wale walio kwenye uchumba au mahusiano tu kawaida ambayo bado hayajafikia ndoa.

Unapokuwa ndoani kuna vitu ambavyo huwa na kipaumbele zaidi ya kuweka a 24/7 watch kwa mumeo kama mlinzi wa benki.

Katika hayo yote uliyoyaandika, kidogo hilo la "Kudhibiti kipato" ndilo la msingi kwa wanandoa, hayo mengineyo si ajabu yakawa chachu ya kuivunja hiyo ndoa yenyewe.
 
haya jamani.... kwa wale waliiolewa na wanahisi wanaume zao wana nyumba ndogo, hii inawahusu, siguarantee kuwa mmeo atamuacha huyo (kama anae) ila itasaidia kufanya nyumba yako isitetereke.

1.dhibiti matumizi ya simu.

kiukweli mawasiliano ndio msingi imara wa mahusiano yoyote. mawasiliano yanapokuwa lege lege hata penzi hufifia na linaweza kufa kabisa. hapa cha kufanya ni kumdhibiti baba watoto, akishaingia nyumbani hakuna kuchati chati tena, hakikisha hawi karibu na simu yake. sio mwanaume mpaka mnapanda kitandani yeye anachati tu, sa tano za usiku anachati na nani? hapo unaibiwa. akifika home ni muda wake yeye na familia tu, kismol house kama kipo kisubiri text msg kesho.

2. dhibiti mapato na matumizi.
small house siku zote yupo kipesa zaidi, kama mmeo anamwaga madolari ya kutosha si ajabu small house akang'ang'ania hapo mpaka azeekee kwa mmeo. katika kudhibiti mapato yenu mnaweza mkawa mnaandaa budgets zenu pamoja, mnapanga kiasi gani mnaiingiza kwa mwezi na vipi mtatumia.kudhibiti mapato itasaidia kupunguza fungu analokabidhiwa bi mdogo na si ajabu akakimbia mwenyewe baada ya kuona hakuna mavuno tena. kama mna mapato makubwa na matumizi mengi mnaweza kuajiri financial controller kabisa. lol.

3.verify safari zake za kikazi.

wanaume wenye vismall houses wakipata safari za kikazi unaweza kuta siku tatu kazini siku nne kwa bi mdogo wewe nyumbani unaambiwa safari ya siku saba kumbe mtu kasharudi amejichimbia sehemu wanakula bata. hapa unatakiwa kukaba, hakikisha siku ya safari unamsindikiza uwanja wa ndege au stand ya mkoa na siku ya kurudi ukampokee, hakikisha anarudi na risiti ya hotel na tickets za bus/ndege (tena hapa tafuta na file kabisa la kuwekea hizo receipts, mwambie umeanza utaratibu wa kutunza kumbukumbu. lol).

4.dhibiti ratiba zake za weekend.

uwe unatoka nae weekend, mnaweza kuwa mnaenda tembelea shamba, shopping na familia, beach, etc. jitahidi kuvurugua ratiba zake za weekend haswa zile ambazo una mashaka nazo... nyumba ndogo akikosa muda wa kuspend na mmeo ndio dalili nzuri la penzi lao kuchuja huku lako likishine.

5.timiza wajibu wako kama mke na ibada za pamoja.

hapa kila mtu anajua wajibu wake na anayoyafanya kudumisha furaha ya ndoa. usihesabu mazuri unayomfanyia mwenzio. we endelea kufanya tu. pia jiwekeni karibu na mungu kwa kusali pamoja na kufanya yale mema kwa pamoja.

mwageni mambinu jamani hata kama ni ya kialshabab! hizi zinafaa kwa mnaokaa nyumba moja.

Hivi ni kwanini kwanza mumeo akawa na nyumba ndogo?
Hebu tuanzie hapo!
 
Husninyo hayo utamfanyie mwanaume unayemkalia kichwani tu.....unasemaje kuhusu wanaume ambao hata mishahara yao haijulikani na wake utadhibiti vipi matumizi,wengine wa biashara zisizojulikana kama unga,meno ya tembo,majambazi hao nao utauliza wanaingiza ngapi,vipi vwenye pesa kama mchanga wenye biashara kubwa mabilionea utadhibiti matumizi yao?....may be unaongelea wanaume wa kipato cha kawaida.........la msingi ulilosema ni sara na maombi.
 
Baadhi ya mambo uliyoyaandika hapo juu hufanywa na wale walio kwenye uchumba au mahusiano tu kawaida ambayo bado hayajafikia ndoa.

Unapokuwa ndoani kuna vitu ambavyo huwa na kipaumbele zaidi ya kuweka a 24/7 watch kwa mumeo kama mlinzi wa benki.

Katika hayo yote uliyoyaandika, kidogo hilo la "Kudhibiti kipato" ndilo la msingi kwa wanandoa, hayo mengineyo si ajabu yakawa chachu ya kuivunja hiyo ndoa yenyewe.

yaani mahusiano ya kawaida tu ndio umchunge hivo? hapana kwakweli.... halafu hayo nimeelezea mengine yanaonesha kujali na si kuchunga kama wengi mnavyodhani.
 
Husninyo hayo utamfanyie mwanaume unayemkalia kichwani tu.....unasemaje kuhusu wanaume ambao hata mishahara yao haijulikani na wake utadhibiti vipi matumizi,wengine wa biashara zisizojulikana kama unga,meno ya tembo,majambazi hao nao utauliza wanaingiza ngapi,vipi vwenye pesa kama mchanga wenye biashara kubwa mabilionea utadhibiti matumizi yao?....may be unaongelea wanaume wa kipato cha kawaida.........la msingi ulilosema ni sara na maombi.

naona hiyo nyekundu inapendwa na wengi, sijui sababu anakuwa ameachiwa mungu mzigo. haya, ila kudhibiti mapato ni faida kwa familia yenu, watoto na hata wajukuu. kama hamna mipango mizuri ya kifedha ni tatizo hilo.
 
haya jamani.... kwa wale waliiolewa na wanahisi wanaume zao wana nyumba ndogo, hii inawahusu, siguarantee kuwa mmeo atamuacha huyo (kama anae) ila itasaidia kufanya nyumba yako isitetereke.

1.dhibiti matumizi ya simu.

kiukweli mawasiliano ndio msingi imara wa mahusiano yoyote. mawasiliano yanapokuwa lege lege hata penzi hufifia na linaweza kufa kabisa. hapa cha kufanya ni kumdhibiti baba watoto, akishaingia nyumbani hakuna kuchati chati tena, hakikisha hawi karibu na simu yake. sio mwanaume mpaka mnapanda kitandani yeye anachati tu, sa tano za usiku anachati na nani? hapo unaibiwa. akifika home ni muda wake yeye na familia tu, kismol house kama kipo kisubiri text msg kesho.

2. dhibiti mapato na matumizi.
small house siku zote yupo kipesa zaidi, kama mmeo anamwaga madolari ya kutosha si ajabu small house akang'ang'ania hapo mpaka azeekee kwa mmeo. katika kudhibiti mapato yenu mnaweza mkawa mnaandaa budgets zenu pamoja, mnapanga kiasi gani mnaiingiza kwa mwezi na vipi mtatumia.kudhibiti mapato itasaidia kupunguza fungu analokabidhiwa bi mdogo na si ajabu akakimbia mwenyewe baada ya kuona hakuna mavuno tena. kama mna mapato makubwa na matumizi mengi mnaweza kuajiri financial controller kabisa. lol.

3.verify safari zake za kikazi.

wanaume wenye vismall houses wakipata safari za kikazi unaweza kuta siku tatu kazini siku nne kwa bi mdogo wewe nyumbani unaambiwa safari ya siku saba kumbe mtu kasharudi amejichimbia sehemu wanakula bata. hapa unatakiwa kukaba, hakikisha siku ya safari unamsindikiza uwanja wa ndege au stand ya mkoa na siku ya kurudi ukampokee, hakikisha anarudi na risiti ya hotel na tickets za bus/ndege (tena hapa tafuta na file kabisa la kuwekea hizo receipts, mwambie umeanza utaratibu wa kutunza kumbukumbu. lol).

4.dhibiti ratiba zake za weekend.

uwe unatoka nae weekend, mnaweza kuwa mnaenda tembelea shamba, shopping na familia, beach, etc. jitahidi kuvurugua ratiba zake za weekend haswa zile ambazo una mashaka nazo... nyumba ndogo akikosa muda wa kuspend na mmeo ndio dalili nzuri la penzi lao kuchuja huku lako likishine.

5.timiza wajibu wako kama mke na ibada za pamoja.

hapa kila mtu anajua wajibu wake na anayoyafanya kudumisha furaha ya ndoa. usihesabu mazuri unayomfanyia mwenzio. we endelea kufanya tu. pia jiwekeni karibu na mungu kwa kusali pamoja na kufanya yale mema kwa pamoja.

mwageni mambinu jamani hata kama ni ya kialshabab! hizi zinafaa kwa mnaokaa nyumba moja.

Hizi longo longo ukiniletea mimi ndio nakupiga chini kabisaaaaaaaaaaaaa!
 
mambo mengne magumu sana, si kama watu waongeavyo hapa. Wako wazee wanakwambia mkeo hatakiwi kujua kpato chako, sa sijui atawezaje kuyabana matumizi yake.
 
Back
Top Bottom