Dhibiti muda anaospend mumeo kwa small house...

Dhibiti muda anaospend mumeo kwa small house...

hhhhhaaaaa!!! mwandishi anafanya yale yote yakumpendeza na anayoona yanamuweka mume wake karibu yake na yatayomuepusha na vishawishi... .. na uzuri hata mumewe anafurahia na haoni kama anachungwa ..haya ndio mapenzi, hayana sheria bali mwongozo.

Swali dogo tu kwako, ni nini haswa kilichomfanya huyo mwandishi kuyafanya yote hayo?
 
Eiyer sababu za kuwa na kasmol hausi zimegawanyka ktk makundi mawili yaani mifarakano ya ndani ya ndoa mfano kunymwa unyumba, kero za mara kwa mara, dharau, kutokujaliwa n.k n.k. Nyngne ni misukumo ya nje mfano ushawish wa marafk, ulevi, wanawake kujtongozesha, tamaa mbaya n.k n.k

Good!
Unapojadili namna ya kuishi na mume mwenye nyumba ndogo inaonekana mwanaume anaweza kuwa na nyumba ndogo hivi hivi tu

Yaani bila kuwa na tatizo!

Unapogundua mumeo ana hii kitu cha kufanya sio kuhalalisha hili bali ni kukagua mahali ambapo wewe kama mke unaweza kuwa umeteleza kwani naamini kwenye kadhia hizi mara nyingi wanawake[mke] wanakuwa wanahusuka kwa kiwango kikubwa!

Dawa di kudeal na vyanzo hivyo!
 
1 - 3. Stay sexy. Mind you huko nje huwa hawaendi kupiga stori! (kuongezeka kilo 50 toka ulipoolewa na leo isn't exactly the biggest achievement in the world)

4. Cook great and be excited about sex...sio mpaka kila siku yeye ndo aombe!!unamgeuza jamaa beggar

5. Give your man some breathing space...mtu akitoka kazini ana mengi kichwani, give him some alone time while caring for him kwa mbali (ha ha..lectures are suicidal!!).
 
umejaribu kutoa ushauri mzuri lakn ni mgumu kuutekeleza ukzingatia wanaume wnyewe wa.... 'kama vp sepa' hawa daah ni taabu sana
 
Hhaaaaaaaaaaa Husninyo umenichekesha hadi lol.......

Ko kwandishi anapenda mume wake amfanyie hivo........

hhhhhaaaaahhha!! ujue haramu kwako kwa mwenzio halali ati. kuna wanaume wanatamani wake zao wangekuwa na wivu japo kidogo. kuchungwa chungwa kwao inawapa tafsiri tofauti.
 
1 - 3. Stay sexy. Mind you huko nje huwa hawaendi kupiga stori! (kuongezeka kilo 50 toka ulipoolewa na leo isn't exactly the biggest achievement in the world)

4. Cook great and be excited about sex...sio mpaka kila siku yeye ndo aombe!!unamgeuza jamaa beggar

5. Give your man some breathing space...mtu akitoka kazini ana mengi kichwani, give him some alone time while caring for him kwa mbali (ha ha..lectures are suicidal!!).

ahsante kwa kuongezea ila hayo mengine yameingia kwenye namba tano inayosema timiza majukumu yako kama mke.
 
Namba 5 peke yake ndio valid,hizo zingine ziko applicable kenya.
Hiyo inakua ndoa au mahabusu? Khaaa
 
haya jamani.... kwa wale waliiolewa na wanahisi wanaume zao wana nyumba ndogo, hii inawahusu, siguarantee kuwa mmeo atamuacha huyo (kama anae) ila itasaidia kufanya nyumba yako isitetereke.

1.dhibiti matumizi ya simu.

kiukweli mawasiliano ndio msingi imara wa mahusiano yoyote. mawasiliano yanapokuwa lege lege hata penzi hufifia na linaweza kufa kabisa. hapa cha kufanya ni kumdhibiti baba watoto, akishaingia nyumbani hakuna kuchati chati tena, hakikisha hawi karibu na simu yake. sio mwanaume mpaka mnapanda kitandani yeye anachati tu, sa tano za usiku anachati na nani? hapo unaibiwa. akifika home ni muda wake yeye na familia tu, kismol house kama kipo kisubiri text msg kesho.

2. dhibiti mapato na matumizi.
small house siku zote yupo kipesa zaidi, kama mmeo anamwaga madolari ya kutosha si ajabu small house akang'ang'ania hapo mpaka azeekee kwa mmeo. katika kudhibiti mapato yenu mnaweza mkawa mnaandaa budgets zenu pamoja, mnapanga kiasi gani mnaiingiza kwa mwezi na vipi mtatumia.kudhibiti mapato itasaidia kupunguza fungu analokabidhiwa bi mdogo na si ajabu akakimbia mwenyewe baada ya kuona hakuna mavuno tena. kama mna mapato makubwa na matumizi mengi mnaweza kuajiri financial controller kabisa. lol.

3.verify safari zake za kikazi.

wanaume wenye vismall houses wakipata safari za kikazi unaweza kuta siku tatu kazini siku nne kwa bi mdogo wewe nyumbani unaambiwa safari ya siku saba kumbe mtu kasharudi amejichimbia sehemu wanakula bata. hapa unatakiwa kukaba, hakikisha siku ya safari unamsindikiza uwanja wa ndege au stand ya mkoa na siku ya kurudi ukampokee, hakikisha anarudi na risiti ya hotel na tickets za bus/ndege (tena hapa tafuta na file kabisa la kuwekea hizo receipts, mwambie umeanza utaratibu wa kutunza kumbukumbu. lol).

4.dhibiti ratiba zake za weekend.

uwe unatoka nae weekend, mnaweza kuwa mnaenda tembelea shamba, shopping na familia, beach, etc. jitahidi kuvurugua ratiba zake za weekend haswa zile ambazo una mashaka nazo... nyumba ndogo akikosa muda wa kuspend na mmeo ndio dalili nzuri la penzi lao kuchuja huku lako likishine.


5.timiza wajibu wako kama mke na ibada za pamoja.

hapa kila mtu anajua wajibu wake na anayoyafanya kudumisha furaha ya ndoa. usihesabu mazuri unayomfanyia mwenzio. we endelea kufanya tu. pia jiwekeni karibu na mungu kwa kusali pamoja na kufanya yale mema kwa pamoja.

mwageni mambinu jamani hata kama ni ya kialshabab! hizi zinafaa kwa mnaokaa nyumba moja.

Duuh, haka ni kafull time job tena with over time. juhudi kama hii ikitumika kwenye biashara unakuwa milionea.
 
desperate women lol


mmimi nikifanyiwa yote hayo na ndoa itakufa.....hata kama sina nyumba ndogo

crazy women......danganyaneni humu msisahau all men need space sometimes...

all men need space always.
 
Hus nimekuelewa sana...ila najua si kila mtu anaweza ku buy idea zako; kwa sababu kama huna hayo anayosema Hus huwezi kuyaanzisha ghafla bin Vup.

Mi ni mmoja ya wanaoamini kwenye closeness...

Closer to my man and God...huo ndio uchawi wangu (nikisafiri bado huwa nasali na familia yangu kwa Skype, na yeye akisafiri lazima awe hewani mida ya usiku kabla ya kulala ili tusali na watoto)

Wow,what a lovely family.
 
Au awe mchunga kondoo kama mimi...........Lol!!!!!!!

nna mashaka una uchungaji wako ujue. haiwezekani uchunge kondoo jike tu madume yote umeyahamisha bandani.
 
mme wake ndio anapenda hivo.

Kama mume ndiye apendaye hivyo iweje uwashauri wanawake ndio wawe wanadhibiti muda...?
Je unadhani wanaume wengine pia tutapenda hivyo?
 
Back
Top Bottom