Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,255
- 10,503
haya jamani.... kwa wale waliiolewa na wanahisi wanaume zao wana nyumba ndogo, hii inawahusu, siguarantee kuwa mmeo atamuacha huyo (kama anae) ila itasaidia kufanya nyumba yako isitetereke.
1.dhibiti matumizi ya simu.
kiukweli mawasiliano ndio msingi imara wa mahusiano yoyote. mawasiliano yanapokuwa lege lege hata penzi hufifia na linaweza kufa kabisa. hapa cha kufanya ni kumdhibiti baba watoto, akishaingia nyumbani hakuna kuchati chati tena, hakikisha hawi karibu na simu yake. sio mwanaume mpaka mnapanda kitandani yeye anachati tu, sa tano za usiku anachati na nani? hapo unaibiwa. akifika home ni muda wake yeye na familia tu, kismol house kama kipo kisubiri text msg kesho.
2. dhibiti mapato na matumizi.
small house siku zote yupo kipesa zaidi, kama mmeo anamwaga madolari ya kutosha si ajabu small house akang'ang'ania hapo mpaka azeekee kwa mmeo. katika kudhibiti mapato yenu mnaweza mkawa mnaandaa budgets zenu pamoja, mnapanga kiasi gani mnaiingiza kwa mwezi na vipi mtatumia.kudhibiti mapato itasaidia kupunguza fungu analokabidhiwa bi mdogo na si ajabu akakimbia mwenyewe baada ya kuona hakuna mavuno tena. kama mna mapato makubwa na matumizi mengi mnaweza kuajiri financial controller kabisa. lol.
3.verify safari zake za kikazi.
wanaume wenye vismall houses wakipata safari za kikazi unaweza kuta siku tatu kazini siku nne kwa bi mdogo wewe nyumbani unaambiwa safari ya siku saba kumbe mtu kasharudi amejichimbia sehemu wanakula bata. hapa unatakiwa kukaba, hakikisha siku ya safari unamsindikiza uwanja wa ndege au stand ya mkoa na siku ya kurudi ukampokee, hakikisha anarudi na risiti ya hotel na tickets za bus/ndege (tena hapa tafuta na file kabisa la kuwekea hizo receipts, mwambie umeanza utaratibu wa kutunza kumbukumbu. lol).
4.dhibiti ratiba zake za weekend.
uwe unatoka nae weekend, mnaweza kuwa mnaenda tembelea shamba, shopping na familia, beach, etc. jitahidi kuvurugua ratiba zake za weekend haswa zile ambazo una mashaka nazo... nyumba ndogo akikosa muda wa kuspend na mmeo ndio dalili nzuri la penzi lao kuchuja huku lako likishine.
5.timiza wajibu wako kama mke na ibada za pamoja.
hapa kila mtu anajua wajibu wake na anayoyafanya kudumisha furaha ya ndoa. usihesabu mazuri unayomfanyia mwenzio. we endelea kufanya tu. pia jiwekeni karibu na mungu kwa kusali pamoja na kufanya yale mema kwa pamoja.
mwageni mambinu jamani hata kama ni ya kialshabab! hizi zinafaa kwa mnaokaa nyumba moja.