Dhibiti muda anaospend mumeo kwa small house...

Dhibiti muda anaospend mumeo kwa small house...

mambo mengne magumu sana, si kama watu waongeavyo hapa. Wako wazee wanakwambia mkeo hatakiwi kujua kpato chako, sa sijui atawezaje kuyabana matumizi yake.

kuna wanandoa wanajuana vipato vyao na wanapanga mipango yao ya kimaendeleo pamoja, acha hawa wengine ambao ni wabinafsi sana.
 
Eiyer sababu za kuwa na kasmol hausi zimegawanyka ktk makundi mawili yaani mifarakano ya ndani ya ndoa mfano kunymwa unyumba, kero za mara kwa mara, dharau, kutokujaliwa n.k n.k. Nyngne ni misukumo ya nje mfano ushawish wa marafk, ulevi, wanawake kujtongozesha, tamaa mbaya n.k n.k
 
Last edited by a moderator:
sasa Husninyo hawa wabinafsi watafanyaje ktk kudhbiti small housi kimapato?
 
Last edited by a moderator:
yaani mahusiano ya kawaida tu ndio umchunge hivo? hapana kwakweli....
Yup kwangu mimi hivyo ndivyo nionavyo shemeji...na kwa maandishi hayo tu mtu aliye kwenye ndoa atayari anaweza kugundua kuwa mwandishi KAOLEWA au BADO YUPO YUPO...

halafu hayo nimeelezea mengine yanaonesha kujali na si kuchunga kama wengi mnavyodhani.

Mmmh inategemea na unavyoelewa maana ya neno kujali, kwangu mimi naona yanatoa mbinu za kuchunga na ndio maana hata HEADING ukaipa jina lenye muelekeo huo. Neno 'DHIBITI' maana yake ni zaidi ya kuchunga, ni kama kumfanya mtu asifurukute au kuonesha makeke...
 
Yup kwangu mimi hivyo ndivyo nionavyo shemeji...na kwa maandishi hayo tu mtu aliye kwenye ndoa atayari anaweza kugundua kuwa mwandishi KAOLEWA au BADO YUPO YUPO...

Mmmh inategemea na unavyoelewa maana ya neno kujali, kwangu mimi naona yanatoa mbinu za kuchunga na ndio maana hata HEADING ukaipa jina lenye muelekeo huo. Neno 'DHIBITI' maana yake ni zaidi ya kuchunga, ni kama kumfanya mtu asifurukute au kuonesha makeke...

lakini kama mtu anakuchunga kwa namna ya kukujali nafikiri unafurahia zaidi badala ya kuona kero.... halafu huyu mwandishi kashaolewa ujue sema tu hapendi kujionesha. lol.
 
lakini kama mtu anakuchunga kwa namna ya kukujali nafikiri unafurahia zaidi badala ya kuona kero....

Once you're detained huwa hakuna uhuru, na kama hakuna uhuru siwezi kuita jambo hilo kuwa ni "care"..la sivyo watu wangelikuwa wanang'ang'ania kubaki magerezani kwa kuwa tu huko huwa wanachungwa 24/7.

Hapo juu mimi nakubaliana na nambari 2 na 4 tu, hizo nyingine ni kutokujiamini tu kwa huyo mwandishi...

Kama unaamini MWANAUME ni wa kwako, why all the drama? au alimpata kwa kuwapora wanawake wenzake?

halafu huyu mwandishi kashaolewa ujue sema tu hapendi kujionesha. lol.

To some point, ninamuonea huruma mume wake...na kwa upande mwingine namuonea huruma pia huyo mwandishi.
 
Once you're detained huwa hakuna uhuru, na kama hakuna uhuru siwezi kuita jambo hilo kuwa ni "care"..la sivyo watu wangelikuwa wanang'ang'ania kubaki magerezani kwa kuwa tu huko huwa wanachungwa 24/7.

Hapo juu mimi nakubaliana na nambari 2 na 4 tu, hizo nyingine ni kutokujiamini tu kwa huyo mwandishi...

Kama unaamini MWANAUME ni wa kwako, why all the drama? au alimpata kwa kuwapora wanawake wenzake?

To some point, ninamuonea huruma mume wake...na kwa upande mwingine namuonea huruma pia huyo mwandishi.

hhhhhaaaaa!!! mwandishi anafanya yale yote yakumpendeza na anayoona yanamuweka mume wake karibu yake na yatayomuepusha na vishawishi... .. na uzuri hata mumewe anafurahia na haoni kama anachungwa ..haya ndio mapenzi, hayana sheria bali mwongozo.
 
sentensi ipo clear kuwa mume wangu hana small house, ufafanuzi gani baba paroko......?

Unadhani mimi nilikuwa nakuuliza wewe kama wewe?
Niliuliza swali kwa muwakilishi wa mada[husninyo hili sio jina lako] ili kujua ni kwanini hadi ifikie mume anakuwa na nyumba ndogo ndipo uanze kudhibiti?
Kwanini usijiulize sababu za huyo mwanaume kuwa na nyumba ndogo?
 
aliesema haikwepeki nani? taratibu mzee tusimezeshane maneno. lol... miss u ankal.

Hahahaa hisia tu kwamba anayo zinatosha kuonyesha kuwa hii makitu haikwepeki bana
..mambo?
 
Unadhani mimi nilikuwa nakuuliza wewe kama wewe?
Niliuliza swali kwa muwakilishi wa mada[husninyo hili sio jina lako] ili kujua ni kwanini hadi ifikie mume anakuwa na nyumba ndogo ndipo uanze kudhibiti?
Kwanini usijiulize sababu za huyo mwanaume kuwa na nyumba ndogo?

dah! sababu zipo nyingi labda niandae thread kabisa. lol.
 
Hahahaa hisia tu kwamba anayo zinatosha kuonyesha kuwa hii makitu haikwepeki bana
..mambo?

hhhhhaaa!!! inakwepeka endapo tu mwanamke ndio amesababisha mmewe awe na nyumba ndogo...
 
Hapo kwenye sababu ndipo penye jibu na sio kumlinda mumeo kuhusiana na nyumba ndogo!

haya baba paroko... kama nilivyosema neno langu si sheria ati.. ile wengine inafanya kazi sana tu. lol.
 
Back
Top Bottom