Dhibiti muda anaospend mumeo kwa small house...

Dhibiti muda anaospend mumeo kwa small house...

Wanawake wa aina hii ni kero mf toka nijitambue ni shabiki wa soccer hata wakati nipo skuli nilikuwa natoroka tena umbali mrefu kucheki match sasa baada ya kuoa mke anakuambia uchague yy au mpira? Mambo ya kuharibiana ratiba inahusu wivu mtindo mmoja ndani mnaishi kwa mazoea!
 
husninyo kumlinda mwanaume ni sawa na bahar.. wewe uko kawe wenzio wanavua coco beach, hamna haja ya kuhangaika kias hicho
mwanaume ni mwanaume tu, haitakaa ibadilike
 
haya jamani.... kwa wale waliiolewa na wanahisi wanaume zao wana nyumba ndogo, hii inawahusu, siguarantee kuwa mmeo atamuacha huyo (kama anae) ila itasaidia kufanya nyumba yako isitetereke.

1.dhibiti matumizi ya simu.

kiukweli mawasiliano ndio msingi imara wa mahusiano yoyote. mawasiliano yanapokuwa lege lege hata penzi hufifia na linaweza kufa kabisa. hapa cha kufanya ni kumdhibiti baba watoto, akishaingia nyumbani hakuna kuchati chati tena, hakikisha hawi karibu na simu yake. sio mwanaume mpaka mnapanda kitandani yeye anachati tu, sa tano za usiku anachati na nani? hapo unaibiwa. akifika home ni muda wake yeye na familia tu, kismol house kama kipo kisubiri text msg kesho.

2. dhibiti mapato na matumizi.
small house siku zote yupo kipesa zaidi, kama mmeo anamwaga madolari ya kutosha si ajabu small house akang'ang'ania hapo mpaka azeekee kwa mmeo. katika kudhibiti mapato yenu mnaweza mkawa mnaandaa budgets zenu pamoja, mnapanga kiasi gani mnaiingiza kwa mwezi na vipi mtatumia.kudhibiti mapato itasaidia kupunguza fungu analokabidhiwa bi mdogo na si ajabu akakimbia mwenyewe baada ya kuona hakuna mavuno tena. kama mna mapato makubwa na matumizi mengi mnaweza kuajiri financial controller kabisa. lol.

3.verify safari zake za kikazi.

wanaume wenye vismall houses wakipata safari za kikazi unaweza kuta siku tatu kazini siku nne kwa bi mdogo wewe nyumbani unaambiwa safari ya siku saba kumbe mtu kasharudi amejichimbia sehemu wanakula bata. hapa unatakiwa kukaba, hakikisha siku ya safari unamsindikiza uwanja wa ndege au stand ya mkoa na siku ya kurudi ukampokee, hakikisha anarudi na risiti ya hotel na tickets za bus/ndege (tena hapa tafuta na file kabisa la kuwekea hizo receipts, mwambie umeanza utaratibu wa kutunza kumbukumbu. lol).

4.dhibiti ratiba zake za weekend.

uwe unatoka nae weekend, mnaweza kuwa mnaenda tembelea shamba, shopping na familia, beach, etc. jitahidi kuvurugua ratiba zake za weekend haswa zile ambazo una mashaka nazo... nyumba ndogo akikosa muda wa kuspend na mmeo ndio dalili nzuri la penzi lao kuchuja huku lako likishine.


5.timiza wajibu wako kama mke na ibada za pamoja.

hapa kila mtu anajua wajibu wake na anayoyafanya kudumisha furaha ya ndoa. usihesabu mazuri unayomfanyia mwenzio. we endelea kufanya tu. pia jiwekeni karibu na mungu kwa kusali pamoja na kufanya yale mema kwa pamoja.

mwageni mambinu jamani hata kama ni ya kialshabab! hizi zinafaa kwa mnaokaa nyumba moja.
Asee hii kitu Inaonekana umeifanyia research ya kutosha sana
 
Best mtu mzima hachungwi, hapo labda namba 5 ndo inahusika, lakini hvo vingine unaweza ukavifanya na bado vikaleta negative effects kwenye ndoa yako
 
Hus nimekuelewa sana...ila najua si kila mtu anaweza ku buy idea zako; kwa sababu kama huna hayo anayosema Hus huwezi kuyaanzisha ghafla bin Vup.

Mi ni mmoja ya wanaoamini kwenye closeness...

Closer to my man and God...huo ndio uchawi wangu (nikisafiri bado huwa nasali na familia yangu kwa Skype, na yeye akisafiri lazima awe hewani mida ya usiku kabla ya kulala ili tusali na watoto)
 
You see...afu nachoshangaa watu wanaongea kama vile ni wanawake tu ndio tuna wivu na tunawalinda wenza wetu...mbona mimi mme wangu yuko makini sana na kila ninachofanya...

Hakasiriki ikitokea nikamuhoji....na mimi hategemei nitakasirika akifanya hivyo kwangu...uhuru tuliuza siku tuliposema 'I do'




ukishaolewa jua kabisa umeuza sehemu ya uhuru wako, kuna mambo huwezi kujiamulia mwenyewe.
 
Mh ebu mweleze..wenzie tunakaa kwa busara zetu..japokuwa kuna wakati unadanganywa unaona kabisa..lakini unajinyamazia tu..hipo siku atajiona mjinga ataacha..
 
Mbona wengi ndio zao...ata mkiwa karibu kiasi gani atakutoka tu..kuna kila rangi ndani ya hizi nyumba ulianza kufatiliana ndio utatamani kufa..usione nini kinaendelea tena ukikutana na asie na adabu atakuonyesha kila kitu..
 
namba 2 mpango mzima

Namba 4 ado ado

Ila yote ninkumwachia Mungu aisee binadamu achungiki utaishia kupata heart-attack bureee ukaacha wanao wadogo
 
Hus nimekuelewa sana...ila najua si kila mtu anaweza ku buy idea zako; kwa sababu kama huna hayo anayosema Hus huwezi kuyaanzisha ghafla bin Vup.

Mi ni mmoja ya wanaoamini kwenye closeness...

Closer to my man and God...huo ndio uchawi wangu (nikisafiri bado huwa nasali na familia yangu kwa Skype, na yeye akisafiri lazima awe hewani mida ya usiku kabla ya kulala ili tusali na watoto)

yaani nyumba kubwa huwa unaniinspire kwenye kwenye mambo ya ndoa. nashangaa kweli eti mtu anasema huna kazi ya kufanya ooh muda utautoa wapi! khaa, hivi kweli mmeo usihoji kwa madai kuwa mwanaume ni mwanaume tu. no wonder kuna watu wanaona ndoa chungu sana kisa tu hawajiweki karibu na waume zao kwa kuhisi wataonekana wanawachunga. mungu ailinde ndoa yenu kwa kweli, mie nakusoma tu lazma nije niapply maujanja yako. lol
 
Last edited by a moderator:
namba 2 mpango mzima

Namba 4 ado ado

Ila yote ninkumwachia Mungu aisee binadamu achungiki utaishia kupata heart-attack bureee ukaacha wanao wadogo

tusimuachie mungu kila kitu, atachoka. lol, vingine tujitahidi/tujaribu kwanza.
 
Mh ebu mweleze..wenzie tunakaa kwa busara zetu..japokuwa kuna wakati unadanganywa unaona kabisa..lakini unajinyamazia tu..hipo siku atajiona mjinga ataacha..

dah, nawaonea huruma sana wanawake wa hivi... haya endelea kujinyamazia mwaya.
 
Husninyo dah sawa kabisa ila kumbuka kuwa mwanaume mwenye small house akiamua hata ule muda wa kazi atacheat tuu na wala huwezi kuzuia
Nitasafiri utanisindikiza na utakuja kunipokea ila kumbuka huko hotelini ninakolala hauko na mimi nalala na mtu ninayependa kuwa nae na nikitaka hata small house yangu naitumia nauli inanifuata nakaa nae na siku ya kurudi kila mtu na usafiri wake

mweeee kwa ufuska huo kifo cha ukimwi chakumendea kaka lol
 
Last edited by a moderator:
Husninyo dah sawa kabisa ila kumbuka kuwa mwanaume mwenye small house akiamua hata ule muda wa kazi atacheat tuu na wala huwezi kuzuia
Nitasafiri utanisindikiza na utakuja kunipokea ila kumbuka huko hotelini ninakolala hauko na mimi nalala na mtu ninayependa kuwa nae na nikitaka hata small house yangu naitumia nauli inanifuata nakaa nae na siku ya kurudi kila mtu na usafiri wake
Hapo nilipo bold hapo, ni kweli kabisaaaaaaaa, mwanamke anakaba ile mbaya, boss anafuatwa home na STK , safari inaanza kumbe small house imepewa nauri inapanda basii , kitu kinatua Dodom watu wanaspend ile mbaya, wakimaliza Boss anarudi na gari kitu kinapanda basi, utamkamatia wapi? kwa kweli ni kumuacha tu yeye mwenyewe ajiheshimu, kuliko kumchunga maana unamuongezea akili ya kukuchit zaidi.
 
Fanya vile moyo wako unakwambia ufanye. Kuchungana hakusaidii ni kuomba tu roho mtakatifu akuongoze.
 
Back
Top Bottom