Hata sie we need space.Yani nikimuona tu Habby haeleweki yani ctomuuliza na ctokagua cm yake,ila vitendo nyangu vitatosha kujieleza na huduma zote zitasitishwa mpaka atakapojilekebisha.
ivi nyie wanaume sijui mmeumbwaje?,
Wanaume wote baba yao na mama yao ni mmoja wanafanana kwa kila kitu kuanzia uongo mpaka tabia G3T tutaona nani mbabe hapa maana ukisitisha huduma small house si ipo pale pale nasepa tuu utakuwa unaniona home majogoo
Last edited by a moderator: