Blaine
JF-Expert Member
- Jan 11, 2012
- 2,259
- 1,657
huyo ana problems with trust. adding 'too many' restrictions kills the relationship. let things progress naturally na mtadumuanaekubana bana anakupenda the boss, hapendi uangukie huko.
huyo ana problems with trust. adding 'too many' restrictions kills the relationship. let things progress naturally na mtadumuanaekubana bana anakupenda the boss, hapendi uangukie huko.
Husninyo deal za hela hazina usiku wala mchana muda wowote natumiwa email au natumiwa sms za deal so nixziache kisa mke amebania simu yanguusiku wa manane unachati nini? ina maana unaechati nae ni muhimu zaidi kuliko wife wako?
hivi husikii raha mmeo anaconcetrate kwako tu kwa wakati huo badala ya kuhangaika na simu? huoni raha umeshuka kwa fast jet mbebi amekuja kukupokea? tusizitame kwa mtazamo hasi tu, kuchungwa kwa namna ya kujaliwa kunavutia zaidi. lolSintokaa nifanye hivyo hasa katika swala la sim........U will end up hurting yourself...........
Vitu vingine are more theoretical unlike what we are thinking.......
usiku wa manane unachati nini? ina maana unaechati nae ni muhimu zaidi kuliko wife wako?
Mmimi nikifanyiwa yote hayo na ndoa itakufa.....hata kama sina nyumba ndogo
crazy women......danganyaneni humu msisahau ALL MEN NEED SPACE SOMETIMES...
haya jamani.... kwa wale waliiolewa na wanahisi wanaume zao wana nyumba ndogo, hii inawahusu, siguarantee kuwa mmeo atamuacha huyo (kama anae) ila itasaidia kufanya nyumba yako isitetereke.
1.dhibiti matumizi ya simu.
2. dhibiti mapato na matumizi.
3.verify safari zake za kikazi.
4.dhibiti ratiba zake za weekend.
5.timiza wajibu wako kama mke na ibada za pamoja.
wanawake wenye gubu ndo wako hivyo
hujambo........wewe hupendi kulindwa?
hivi husikii raha mmeo anaconcetrate kwako tu kwa wakati huo badala ya kuhangaika na simu? huoni raha umeshuka kwa fast jet mbebi amekuja kukupokea? tusizitame kwa mtazamo hasi tu, kuchungwa kwa namna ya kujaliwa kunavutia zaidi. lol
DESPERATE WOMEN lol
Mmimi nikifanyiwa yote hayo na ndoa itakufa.....hata kama sina nyumba ndogo
crazy women......danganyaneni humu msisahau ALL MEN NEED SPACE SOMETIMES...
The Boss umeongea
we need space bana simu yangu unipangie muda wa kuchat na kuongea
Safari niende na ofisi inidai risiti na wewe mke unadai risiti ahhh mambo gani hayo