Dhibiti muda anaospend mumeo kwa small house...

Sijawahi kuchunga boyfriend...

Hakuna cheating kwenye u boy friend...uta mu accuse ana cheat kwa mkataba upi?

Ila ukibweteka mwanaume akaanzisha familia nyingine huko nje ni uzembe...na utalaumiwa hata na watoto wako kwa kutoweza kumthibiti baba yao...

Hivi na majukumu yote haya nyie wanaume mnataka uhuru ili mkazurure wapi...au ni wale dot com...

Wengine masaa 24 hayatoshi afu nyie mnaongelea 70%ya muda mnataka muwe mitaani.

Mtakuwa mmelelewa hivyo toka kwenu...na hili kwa sasa lipo hata kwa wanawake...

unakuta mke wa mtu ni mzururaji mwanzo mwishoo...

Mtafute kazi za kufanya haya ya vijiweni yamepitwa na wakati

Uvivu ni mzizi wa dhambi

Uko makwenu mnakukimbia kuna miiba au misumari?

Yup kwangu mimi hivyo ndivyo nionavyo shemeji...na kwa maandishi hayo tu mtu aliye kwenye ndoa atayari anaweza kugundua kuwa mwandishi KAOLEWA au BADO YUPO YUPO...

Mmmh inategemea na unavyoelewa maana ya neno kujali, kwangu mimi naona yanatoa mbinu za kuchunga na ndio maana hata HEADING ukaipa jina lenye muelekeo huo. Neno 'DHIBITI' maana yake ni zaidi ya kuchunga, ni kama kumfanya mtu asifurukute au kuonesha makeke...
 
Sijawahi kuchunga boyfriend...

Hakuna cheating kwenye u boy friend...uta mu accuse ana cheat kwa mkataba upi?

Ila ukibweteka mwanaume akaanzisha familia nyingine huko nje ni uzembe...na utalaumiwa hata na watoto wako kwa kutoweza kumthibiti baba yao...

Hivi na majukumu yote haya nyie wanaume mnataka uhuru ili mkazurure wapi...au ni wale dot com...

Wengine masaa 24 hayatoshi afu nyie mnaongelea 70%ya muda mnataka muwe mitaani.

Mtakuwa mmelelewa hivyo toka kwenu...na hili kwa sasa lipo hata kwa wanawake...

unakuta mke wa mtu ni mzururaji mwanzo mwishoo...

Mtafute kazi za kufanya haya ya vijiweni yamepitwa na wakati

Uvivu ni mzizi wa dhambi

Uko makwenu mnakukimbia kuna miiba au misumari?

hhhhhaaaa!! na mie ndio wananishangaza hapo tu! maisha yalivyo mchaka mchaka sometimes kuwa na familia kwa pamoja ni weeekend hadi weekend lakini bado mtoto wa kiume anataka akazurule na unajua hana hata kibanda cha vocha kusema anaenda kagua mauzo. boyfriend hachungwi kweli lakini mme kitu kingine bana! kwanini mambo yaende vibaya wakati incharge upo! hapo mpaka vitukuu vitakuja kukulaumu ati.
 
Good!
Unapojadili namna ya kuishi na mume mwenye nyumba ndogo inaonekana mwanaume anaweza kuwa na nyumba ndogo hivi hivi tu

Yaani bila kuwa na tatizo!

Unapogundua mumeo ana hii kitu cha kufanya sio kuhalalisha hili bali ni kukagua mahali ambapo wewe kama mke unaweza kuwa umeteleza kwani naamini kwenye kadhia hizi mara nyingi wanawake[mke] wanakuwa wanahusuka kwa kiwango kikubwa!

Dawa di kudeal na vyanzo hivyo!
mwenye masikio........................
 
jamani nitumie downloader gani tofauti na youtube downloader ambayo ni multi purpose?

kuna file nataka nichukue humu!

cc sunshine1, Dotworld
 
Last edited by a moderator:
haya jamani.... kwa wale waliiolewa na wanahisi wanaume zao wana nyumba ndogo, hii inawahusu, siguarantee kuwa mmeo atamuacha huyo (kama anae) ila itasaidia kufanya nyumba yako isitetereke.

1.dhibiti matumizi ya simu.

kiukweli mawasiliano ndio msingi imara wa mahusiano yoyote. mawasiliano yanapokuwa lege lege hata penzi hufifia na linaweza kufa kabisa. hapa cha kufanya ni kumdhibiti baba watoto, akishaingia nyumbani hakuna kuchati chati tena, hakikisha hawi karibu na simu yake. sio mwanaume mpaka mnapanda kitandani yeye anachati tu, sa tano za usiku anachati na nani? hapo unaibiwa. akifika home ni muda wake yeye na familia tu, kismol house kama kipo kisubiri text msg kesho.

2. dhibiti mapato na matumizi.
small house siku zote yupo kipesa zaidi, kama mmeo anamwaga madolari ya kutosha si ajabu small house akang'ang'ania hapo mpaka azeekee kwa mmeo. katika kudhibiti mapato yenu mnaweza mkawa mnaandaa budgets zenu pamoja, mnapanga kiasi gani mnaiingiza kwa mwezi na vipi mtatumia.kudhibiti mapato itasaidia kupunguza fungu analokabidhiwa bi mdogo na si ajabu akakimbia mwenyewe baada ya kuona hakuna mavuno tena. kama mna mapato makubwa na matumizi mengi mnaweza kuajiri financial controller kabisa. lol.

3.verify safari zake za kikazi.

wanaume wenye vismall houses wakipata safari za kikazi unaweza kuta siku tatu kazini siku nne kwa bi mdogo wewe nyumbani unaambiwa safari ya siku saba kumbe mtu kasharudi amejichimbia sehemu wanakula bata. hapa unatakiwa kukaba, hakikisha siku ya safari unamsindikiza uwanja wa ndege au stand ya mkoa na siku ya kurudi ukampokee, hakikisha anarudi na risiti ya hotel na tickets za bus/ndege (tena hapa tafuta na file kabisa la kuwekea hizo receipts, mwambie umeanza utaratibu wa kutunza kumbukumbu. lol).

4.dhibiti ratiba zake za weekend.

uwe unatoka nae weekend, mnaweza kuwa mnaenda tembelea shamba, shopping na familia, beach, etc. jitahidi kuvurugua ratiba zake za weekend haswa zile ambazo una mashaka nazo... nyumba ndogo akikosa muda wa kuspend na mmeo ndio dalili nzuri la penzi lao kuchuja huku lako likishine.

5.timiza wajibu wako kama mke na ibada za pamoja.

hapa kila mtu anajua wajibu wake na anayoyafanya kudumisha furaha ya ndoa. usihesabu mazuri unayomfanyia mwenzio. we endelea kufanya tu. pia jiwekeni karibu na mungu kwa kusali pamoja na kufanya yale mema kwa pamoja.

mwageni mambinu jamani hata kama ni ya kialshabab! hizi zinafaa kwa mnaokaa nyumba moja.

Item 1. Je kama anasurf JF itakuwaje?
 
nimeikuta mahali hii, sijui inaukweli...............''kumlinda mwanaume ni sawa na kulinda bahari, ukilinda kawe wenzio wako coco beach wanavua''
 
Mnataka tuamini kuwa zipu haziwezi kufungwa...

Maana najiuliza hivi kama wanaume wote wapo sampuli hii...kuna haja gani kuwa na ndoa?

Kwa kweli ningekuwa member wa JF kabla sijaolewa nisingeolewa...inakatisha tamaa kwa kweli...

Thank God...mine is one in a million
 
yaani wanakatisha tamaa kweli kweli ila maisha ya ndoa ni vile unataka yawe, ukitaka uishi kwa furaha na amani inawezekana sana tu, sio wanaume wote vitombi jamani.
 
Item 1. Je kama anasurf JF itakuwaje?
asurf tu ila si kwa muda ambao nahitaji kuwa nae kiukaribu zaidi. ofisini kutwa nzima unasurf umefungua blogs zote. bado umefika home muda wa kukaa na familia masaa mawili matatu kabla hamjalala bado tu unataka kusurf! aaah jamani... taratibu banaaa!
 
Bora utafute shamba ukalime, utavuna chakula, kuliko kazi ya kudhibiti mwanaume mama yangu.
Timiza wajibu wako kama mke, na hayo mengine Mungu atakutetea.
Hizo njia ulizoziainisha naweza kuziita ni NJIA ZA KUVUNJA NDOA YAKO!!!!
 
Mnataka tuamini kuwa zipu haziwezi kufungwa...

Maana najiuliza hivi kama wanaume wote wapo sampuli hii...kuna haja gani kuwa na ndoa?

Kwa kweli ningekuwa member wa JF kabla sijaolewa nisingeolewa...inakatisha tamaa kwa kweli...

Thank God...mine is one in a million
wewe mwenyewe unajiita nyumba kubwa huoni kama unaamini kuna ndogo?
 
Last edited by a moderator:
haya jamani.... kwa wale waliiolewa na wanahisi wanaume zao wana nyumba ndogo, hii inawahusu, siguarantee kuwa mmeo atamuacha huyo (kama anae) ila itasaidia kufanya nyumba yako isitetereke.

1.dhibiti matumizi ya simu.

kiukweli mawasiliano ndio msingi imara wa mahusiano yoyote. mawasiliano yanapokuwa lege lege hata penzi hufifia na linaweza kufa kabisa. hapa cha kufanya ni kumdhibiti baba watoto, akishaingia nyumbani hakuna kuchati chati tena, hakikisha hawi karibu na simu yake. sio mwanaume mpaka mnapanda kitandani yeye anachati tu, sa tano za usiku anachati na nani? hapo unaibiwa. akifika home ni muda wake yeye na familia tu, kismol house kama kipo kisubiri text msg kesho.

2. dhibiti mapato na matumizi.
small house siku zote yupo kipesa zaidi, kama mmeo anamwaga madolari ya kutosha si ajabu small house akang'ang'ania hapo mpaka azeekee kwa mmeo. katika kudhibiti mapato yenu mnaweza mkawa mnaandaa budgets zenu pamoja, mnapanga kiasi gani mnaiingiza kwa mwezi na vipi mtatumia.kudhibiti mapato itasaidia kupunguza fungu analokabidhiwa bi mdogo na si ajabu akakimbia mwenyewe baada ya kuona hakuna mavuno tena. kama mna mapato makubwa na matumizi mengi mnaweza kuajiri financial controller kabisa. lol.

3.verify safari zake za kikazi.

wanaume wenye vismall houses wakipata safari za kikazi unaweza kuta siku tatu kazini siku nne kwa bi mdogo wewe nyumbani unaambiwa safari ya siku saba kumbe mtu kasharudi amejichimbia sehemu wanakula bata. hapa unatakiwa kukaba, hakikisha siku ya safari unamsindikiza uwanja wa ndege au stand ya mkoa na siku ya kurudi ukampokee, hakikisha anarudi na risiti ya hotel na tickets za bus/ndege (tena hapa tafuta na file kabisa la kuwekea hizo receipts, mwambie umeanza utaratibu wa kutunza kumbukumbu. lol).

4.dhibiti ratiba zake za weekend.

uwe unatoka nae weekend, mnaweza kuwa mnaenda tembelea shamba, shopping na familia, beach, etc. jitahidi kuvurugua ratiba zake za weekend haswa zile ambazo una mashaka nazo... nyumba ndogo akikosa muda wa kuspend na mmeo ndio dalili nzuri la penzi lao kuchuja huku lako likishine.

5.timiza wajibu wako kama mke na ibada za pamoja.

hapa kila mtu anajua wajibu wake na anayoyafanya kudumisha furaha ya ndoa. usihesabu mazuri unayomfanyia mwenzio. we endelea kufanya tu. pia jiwekeni karibu na mungu kwa kusali pamoja na kufanya yale mema kwa pamoja.

mwageni mambinu jamani hata kama ni ya kialshabab! hizi zinafaa kwa mnaokaa nyumba moja.

Kiukweli ingawa yote ni strong, lakini kwangu labda la tano tu ndo lingefanya kazi (nashukuru kwa sasa nimeamua kuachana na hayo mambo mwenyewe bila kudhibitiwa)...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom