Dege Kubwa latua KIA

Dege Kubwa latua KIA

Kuna Dege kubwa sana lime-land Kilimanjaro International Airport.

Kwa ukubwa huu ninaouona hata twiga anaingia bila matatizo, kudhihirisha kwamba hili sio tukio la kawaida hapa, naona hata wafanyakazi wa KIA wametoka nje kulishangaa jinsi hili dege lilivyo kubwa.

Ubavuni limeandikwa UNITED ARAB EMIRATES!

24112054-zagreb-croatia--november-10-loading-heavy-weight-cargo-to-the-antonov-225-mriya-airplan.jpg
 
niombee lift mkuu nataka nikaone wanakoshushwa tembo wetu
 
Acheni hizo aisee! Tembo, twiga, simba, fisi, nyati, pundamilia, kenge, mbuni, ngedere na hata nyani, ni wanyama ambao hawapo hatarini kutoweka duniani. Wamejaa tele mbugani. Waacheni Waarabu wazoe ilhali wamefuata taratibu na kulipia. Wanyama wetu! Wanyama wetu! Mna mnyama nyie? Mnyama uliye naye ni yule aliye nyumbani kwako, ok?
 
Miaka ijayo watalii hawatakuja tena Africa,wataenda uarabuniiiii.
 
Hilo dege ni klubwa kama hili?


[URL="http://xqno.com/binb"]
http:/bineb
[TABLE="class: yiv8959096415"]
[TR]
[TD][TABLE="class: yiv8959096415"]
[TR]
[TD][TABLE="class: yiv8959096415"]
[TR]
[TD][TABLE="class: yiv8959096415"]
[TR]
[TD][TABLE="class: yiv8959096415"]
[TR]
[TD][TABLE="class: yiv8959096415"]
[TR]
[TD][TABLE="class: yiv8959096415"]
[TR]
[TD][TABLE="class: yiv8959096415"]
[TR]
[TD][TABLE="class: yiv8959096415"]
[TR]
[TD][TABLE="class: yiv8959096415"]
[TR]
[TD][TABLE="class: yiv8959096415"]
[TR]
[TD][TABLE="class: yiv8959096415"]
[TR]
[TD][TABLE="class: yiv8959096415"]
[TR]
[TD][TABLE="class: yiv8959096415"]
[TR]
[TD][TABLE="class: yiv8959096415"]
[TR]
[TD]
h

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/URL]
 
Wamekuja na watoto wao kuwaonesha chimbo la tembo na twiga!!!
Tanzania kweli shamba la bibi!
 
Kuna Dege kubwa sana lime-land Kilimanjaro International Airport.

Kwa ukubwa huu ninaouona hata twiga anaingia bila matatizo, kudhihirisha kwamba hili sio tukio la kawaida hapa, naona hata wafanyakazi wa KIA wametoka nje kulishangaa jinsi hili dege lilivyo kubwa.

Ubavuni limeandikwa UNITED ARAB EMIRATES!

tuwekee kapicha Mkuuu.
 
Lingekua la wazungu ungesema hivyo?

uccm umekuharibu akili tokalini wazungu wakaiba twiga? Wazungu wanakuja kuangalia wanyama wanatuachia mahela ya kigeni .wewe endelea tu kuwalamba miguu hao waarabu lakini hawana chochote mende wewe
 
Sasa ndio jukumu lako kama mTanzania kuchunga mali yetu.......lete reg no yake na picha kama unaweza.......na uchunguze imekuja kufanya nini........ni haki yako kujua.......

Nawe pia ni jukumu letu sote.
 
Acheni kuropoka. Serikali ipo makini kuliko mnavyodhani.
Kaa kimya kama huna lakuongea walivyo ondoka mara ya kwanza serikali ilienda holiday? acha kujitoa fahamu! unaweza ukapitiliza na fahamu zisirudi ukabaki chizi keep it for next use.
 
wanataka nini hawa watu,au kwa sababu jamaa yao anamaliza kazi mwakani ndio wanataka nini?watatumalizia wanyama wetu hawa,jamani tumake twendeni KIA kulala pale
628x471.jpg
 
...wenyewe' hawataki hilo dege lipigwe picha...! Wanaturushia mawe

attachment.php

Hii picha inatoa taswira halisi ya magamba. Hata wazee wanatoa mkongoto kwa watoto wao bila aibu. Napendekeza itolewe kuuubwa iwe inaonyeshwa kila mahali penye mikutano ya CDM ili wananchi wajionee wwnyewe aina ya vingozi uncouth wa naojifanya kuwaamani eti wana serikali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom