Hayajamani
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 883
- 272
hao mahayawani wamesha checkin na wapo waiting lounge room? ....
Kuna Dege kubwa sana lime-land Kilimanjaro International Airport.
Kwa ukubwa huu ninaouona hata twiga anaingia bila matatizo, kudhihirisha kwamba hili sio tukio la kawaida hapa, naona hata wafanyakazi wa KIA wametoka nje kulishangaa jinsi hili dege lilivyo kubwa.
Ubavuni limeandikwa UNITED ARAB EMIRATES!
Wazungu hawaji africa kuchukua rasilimali?lingetua la mashoga wazungu,watu kama nyie mngesifia watalii wamekuja watatuingizia fedha za kigeniUsilete udini kwenye issue ya rasilimali ya taifa
Teh teh teh!weka mbali na nyara za serikali!Kinana yupo Arusha?
Teh teh teh!wanaume wako,hongera!Wanaume wameteremka na hili pipa :-![]()
...wenyewe' hawataki hilo dege lipigwe picha...! Wanaturushia maweSasa ndio jukumu lako kama mTanzania kuchunga mali yetu.......lete reg no yake na picha kama unaweza.......na uchunguze imekuja kufanya nini........ni haki yako kujua.......
sasa vijitu 50 dege lote hilo la nini.., au ndio wamekuja kufanya shopping ya tembo na twiga..?TANZANIA na mikataba wenyewe kuridhia;-
Saudi Arabia and Tanzania take steps beyond tourism relations
![]()
BY APOLINARI TAIRO, ETN TANZANIA CORRESPONDENT | JAN 21, 2014TANZANIA (eTN) - Building good relations in tourism, Saudi Arabia and Tanzania are looking at biodiversity conservation and wildlife protection as areas of cooperation involving youths from the two countries.
Rich in history and religious antiquities, Saudi Arabia is now borrowing a leaf from Tanzania's wildlife resources for the Kingdom's future biodiversity conservation and tourism.
The Kingdom of Saudi Arabia has organized and sponsored a ten-day Youth Dialogue Forum in Tanzania and which brought together 50 youths from both Tanzania and Saudi Arabia.
The Minister of State for Foreign Affairs of the Kingdom of Saudi Arabia Dr. Nizar bin Obaid Madani inaugurated Saudi-Tanzanian Youth Dialogue Forum taking place in Tanzania's northern tourist city of Arusha, reports from the Kingdom's Ministry of Foreign Affairs said.
A delegation of Saudi youths participating the forum including specialists from Saudi Wildlife Commission, coordinators and supervisors of the Forum's organization, and 20 male and female youths from 13 Saudi universities, reports available to eTN from the Kingdom said.
With a theme "Construction and Implementation of the Regulatory Framework for Biodiversity Conservation", the Youth Forum is an initiative by King Abdullah Bin Abdul-Aziz of Saudi Arabia for promoting dialogue among youths worldwide under the program of Saudi International Youth Dialogue Forums.
Youths attending the forum are expected to visit Tanzania's famous Serengeti National Park for three days to gain a field experience from various wildlife conservation projects in the park, among them, the black rhino management program; wild dogs reintroduction project, lion and hyena research projects.
kweli ati.Daaah tutupiemo hata kapicha ndugu
Kuna Dege kubwa sana lime-land Kilimanjaro International Airport.
Kwa ukubwa huu ninaouona hata twiga anaingia bila matatizo, kudhihirisha kwamba hili sio tukio la kawaida hapa, naona hata wafanyakazi wa KIA wametoka nje kulishangaa jinsi hili dege lilivyo kubwa.
Ubavuni limeandikwa UNITED ARAB EMIRATES!