Dege Kubwa latua KIA

Dege Kubwa latua KIA

Okay Fido, wewe tukuletee nini ufaidi? (ngamia)... Good Fideli usijumlishe, sema baadhi au nipe point zako tuzitafakari wewe weka chuki aside lete mantik.

Njoo uone huku Loliondo ukatiri wa waarabu, na wanavyo jimilikisha vitaru
 
Picha haraka

hakuna picha mkuu hakuwahi iona ndege aina Boeing 777-300 au boeing 787 dreamliner hizi ni ndege aina mpya kwenye fleet ya UAE na hata Kenya airways wanayo ,,,,
 
Kibaya zaidi ni Twiga na vifaru wetu
Fact Mr. Remote.... Kwa busara na long vision Mipangilio ya Mungu "anakupa wewe ana mnyima yule" Kawapa Wazungu akili/elimu na kujituma wakaweza kuunda hi-tech, Mungu kawapa waafrika ardhi,Rasilimali na maliasili lakini akapunguza " " na Mungu akawapa Waarabu jangwa tupu kavu,kame lakini wanajimbua MAFUTA na kupata PETRODOLA.....Cash money to buy life leasures!!! Mungu akawapa waChina maarifa wakaweza kututengeneza Basic items!! Sasa Shida ipo wapi? hapo kila mmoja anamfaa mwengine!!
Je, Mungu angelituweka wote sawa ?ingelikuwaje? hii nuture.....
 
Njoo uone huku Loliondo ukatiri wa waarabu, na wanavyo jimilikisha vitaru
FidoEee Loliondo ipo nje ya TANZANIA ??????????????? yaani unasema hakuna serikali huko? FYI, nimeshuhudia kuna shule za maana kuliko Dar mjini, nimeona Cliniki (zahanati/Hospitali) zenye vifaa bora,dawa kuliko MNH, nimeona barabara yenye kuvutia, nimeona maji yatokayo bombani safi 24/7 ...acha mkuu tafadhali wewe uende mwenyewe usisikie ya kuambiwa!!
Nyie mtupe nchi hii tuiendeshe kiuhaki na usawa !! nakuhakikishia hutomuona Mwanamke kuvaa kanga moja thru her life poorlady!! hutoona wanafunzi kukaa chini kwenye udongo, hutoona wajawazito3 katika kitanda kimoja!! na mengi ya kusikitisha na kuliza!! !! !! Mkuu this time tunaFWEDHA $ tutawanufaisha !!
 
Fact Mr. Remote.... Kwa busara na long vision Mipangilio ya Mungu "anakupa wewe ana mnyima yule" Kawapa Wazungu akili/elimu na kujituma wakaweza kuunda hi-tech, Mungu kawapa waafrika ardhi,Rasilimali na maliasili lakini akapunguza " " na Mungu akawapa Waarabu jangwa tupu kavu,kame lakini wanajimbua MAFUTA na kupata PETRODOLA.....Cash money to buy life leasures!!! Mungu akawapa waChina maarifa wakaweza kututengeneza Basic items!! Sasa Shida ipo wapi? hapo kila mmoja anamfaa mwengine!!
Je, Mungu angelituweka wote sawa ?ingelikuwaje? hii nuture.....

Ndio kusema unasapoti utoroshwaji wa twiga!?
 
Ndio kusema unasapoti utoroshwaji wa twiga!?
Mkuu R, Fact is fact hakuna kupindisha habari:-
Wenzetu wamejenga ZOO inahitaji wanyama, wana maonesho ya WONDERLAND wanahitaji kila aina ya vivutivo!!
Okay siye hapa tuna barabara,Viwanda na makazi tunahitaji Mafuta ilituendeshe shughuli za kimaisha ya kila siku....
Lakini bei ya mafuta kwa soko la leo ni $120 kwa brl. Sasa kwa sisi bei hiyo hailipi, Hivyo tumefunguliwa soko la uwani(backdoor) ambayo tunapata bei zaidi ya nafuu!! Umeona hiyo remote? Hivyo wengine wenye kununua kwa 120 watasemajee? Kuwa TUNASAPOTI KUNUNUA MAFUTA YA WIZI ya utoroshaji?
2.Mkuu madamu kuna makubaliano kati ya mkulima na dalali na mtumiaji hapo hakuna utata.... Mkulima akikaidi kuuza mazao yake katika wakati maalumu atapatwa na jangaa la kuharibikiwa. Hivyo TEMBO zikizidi wataharibu mashamba !! (ref: Zimbabwe)
 
Sijui mnashangaa nini hapa hawa watu wame invest kila kona ya dunia, Mohammed al Fayed alipouza Harrods la Knightsbridge wamenunua ma tycoons wa Qatar timu za mipira ulaya wamewekeza sasa nyie mnalalamikia tembo kama tunawauzia kila tembo $100,000 au zaidi waacheni wakarembe garden zao so whaaaaaat
 
Wanajikamatia tu! Hii habari is unstoppable, coz ninyi wa mjini tu ndio mnaiona nongwa but ni kawaida tu haya maeneo.
 
Attachments

  • 1390471394857.jpg
    1390471394857.jpg
    110.3 KB · Views: 159
Sijui mnashangaa nini hapa hawa watu wame invest kila kona ya dunia, Mohammed al Fayed alipouza Harrods la Knightsbridge wamenunua ma tycoons wa Qatar timu za mipira ulaya wamewekeza sasa nyie mnalalamikia tembo kama tunawauzia kila tembo $100,000 au zaidi waacheni wakarembe garden zao so whaaaaaat
Well said... funga file.
 
Kuna Dege kubwa sana lime-land Kilimanjaro International Airport.

Kwa ukubwa huu ninaouona hata twiga anaingia bila matatizo, kudhihirisha kwamba hili sio tukio la kawaida hapa, naona hata wafanyakazi wa KIA wametoka nje kulishangaa jinsi hili dege lilivyo kubwa.

Ubavuni limeandikwa UNITED ARAB EMIRATES!
Jizi likiona jambo la kigeni linadhani jizi jingine linataka kumpiga bao!
 
Jizi likiona jambo la kigeni linadhani jizi jingine linataka kumpiga bao!
Wonderfull comment and well said Mkuu Kapongo umesema ya kweli na wasawahili husema hivi "Msema kweli mpenzi wa Mungu" Big-UP ujaaliwe kila la kheri.Good luck...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom