Prishaz
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 2,917
- 5,107
Kuna tembo wanaenda walsha oman.
hahaha inawezekana kabisa
Kuna tembo wanaenda walsha oman.
Sasa ndio jukumu lako kama mTanzania kuchunga mali yetu.......lete reg no yake na picha kama unaweza.......na uchunguze imekuja kufanya nini........ni haki yako kujua.......
Bizines, Trade, open market, batter tarde, Masikilizano kibiashara... Bei yako malipo ni yangu !!Hawa waarabu wamekuja kufanya nyao Nyalandu simwamini katu.
Lingekua la wazungu ungesema hivyo?
mmemfanyia fitna kagasheki mnategemea nini..?
Wawabebe tu
na mimi nasema wawabebe tu
Kuna Dege kubwa sana lime-land Kilimanjaro International Airport.
Kwa ukubwa huu ninaouona hata twiga anaingia bila matatizo, kudhihirisha kwamba hili sio tukio la kawaida hapa, naona hata wafanyakazi wa KIA wametoka nje kulishangaa jinsi hili dege lilivyo kubwa.
Ubavuni limeandikwa UNITED ARAB EMIRATES!
Bizines, Trade, open market, batter tarde, Masikilizano kibiashara... Bei yako malipo ni yangu !!
![]()