Dege Kubwa latua KIA

Dege Kubwa latua KIA

Nyie wote mnaolialia "Wanyama wetu"!!! "Wanyama wetu"!!, na nyie vilevile mnaweza kusombwa, tena kwa hiyari zenu, kwenye dege la Waarabu mkapelekwa kwenye zoo Uarabuni sambamba na Twiga na Tembo, and believe me, you're always dispensable in Tanzania, na hamna faida yoyote kama kenge, twiga, na ngiri wa mwituni, unless Waarabu comes along and shows interest in your ass.
 
Kama dege la Kiarabu lingetua JKNIA kesho kuja kuwasomba waosha vyoo na wapangusa mavi ya watoto Uarabuni, sambamba na kubeba twiga na tembo, nadhani wengi mngekuwa mnapigana vikumbo na hata nyati na ngiri ili muweze kukwea dege la "United Arab Emirates". Daadeki!
 
Hii sasa kugeuka jamii ya wachovu kujadili hewa mwanzo mwisho siwezi
Mpendwa Mbugi, Za asubuhi ? Sasa tumetangaziwe utalii, na hao jamaa umeitika wito!! yaani matanagzo yetu wenyewe yanatuchanganya! Kama kuna la kujadili tulitafakari kweupe.
 
Kama dege la Kiarabu lingetua JKNIA kesho kuja kuwasomba waosha vyoo na wapangusa mavi ya watoto Uarabuni, sambamba na kubeba twiga na tembo, nadhani wengi mngekuwa mnapigana vikumbo na hata nyati na ngiri ili muweze kukwea dege la "United Arab Emirates". Daadeki!
Tena ajira nyingi zimeandaliwa 2014 ( jobs in UAE, Jobs in Saudi Arabia, Jobs in Qatar ) kwani hata wadhungu nao huzikimbilia !!
 
mmemfanyia fitna kagasheki mnategemea nini..?
Wawabebe tu
na mimi nasema wawabebe tu

naanza kukutilia mashaka wewe si mtanzania unastahili kabisa kukutana na operation tokomeza wakutese mpaka ufe, ufanye mapenzi na gogo la mti mpaka ukojoe. Hayo makontena ya pembe yaliyokuwa yanakamatwa bado unaona mtu kaonewa tu
 
Tende zenyewe wanafaidi waunguja na wapemba, waarabu hawafai nchini.
Okay Fido, wewe tukuletee nini ufaidi? (ngamia)... Good Fideli usijumlishe, sema baadhi au nipe point zako tuzitafakari wewe weka chuki aside lete mantik.
 
Kuna Dege kubwa sana lime-land Kilimanjaro International Airport.

Kwa ukubwa huu ninaouona hata twiga anaingia bila matatizo, kudhihirisha kwamba hili sio tukio la kawaida hapa, naona hata wafanyakazi wa KIA wametoka nje kulishangaa jinsi hili dege lilivyo kubwa.

Ubavuni limeandikwa UNITED ARAB EMIRATES!

worlds-largest-plane-5.jpg
 
Mi nashangaa wsnadhani mafuta yanatoka wapi? Acheni kupiga kelele zisizokuwa na faida kwa watanzania, kama mna chuki kwa sababu mnazozijua wenyewe, huyu raisi ni chaguo la watanzania go go kikwete, u have our full support
Mhe.Incharge upo sawa kabisa,,,, hao maneno tu, Ombaomba imewalemaza. Raisi JK analijua hilo ndo maana anapeta na kunyanyua kipato cha nchi. Longlive JK & watanzania waungwana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom