Mimi yoga bado na mwaminia. Alisema hapa kuwa wamejiandAa shoot to kill.sometimes upende usipende. Leo mmedhibitisha.
Yoga pia alisema Kuna karatas ya udini na sasa imepamba moto rasmi MaSheikh sasa hivi kila ijumaa na Magroup trending ni kwamba Wakatoliki ni waovu Wana Nia ovu na waratibu wa Fujo kisa Rais Muislamu kawashika pabaya .Mimi yoga bado na mwaminia. Alisema hapa kuwa wamejiandAa shoot to kill.
Yoga, now I see....Kwa kauli ya Leo kuwa hata mkiairisha ikawa December 26...kivyovyote, na kwa Wakati wowote tuko tayari....na kurejea nyuma kauli zako ambazo umekuwa ukasema hivi karibuni...kuwa Jamaa hawana plan ya kurudi nyuma wala kuomba msamaha...Sio kwahiyo calender Yako iyo Ina kitu kinaitwa shoot to kill
Akili ya hovyo hii. Hiyo jana spana zipi alipigwa raisi? Au ikisemwa serikali anasemwa raisi directly?Yoga pia alisema Kuna karatas ya udini na sasa imepamba moto rasmi MaSheikh sasa hivi kila ijumaa na Magroup trending ni kwamba Wakatoliki ni waovu Wana Nia ovu na waratibu wa Fujo kisa Rais Muislamu kawashika pabaya .
Jana kabla ya hotuba ya Rais Padri Kitima katoa spana kwa Rais tena za Nguvu za kuchoma.
Leo Rais kawachamba na kuwachana.
Na baada ya Press ya Kitima MaSheikh na Waislamu wengi wameona kuwa Kanisa Katoliki linaleta ubabe na kujiona wao ndio vinara katika Nchi.
Ukijumlisha na hotuba ya Rais kuwavaa TEC directly sasa upande wa MaSheikh na Waislamu washaona dhahiri kuwa TEC wanahusika kumhujumu Rais .
Wiki hii sipati picha jinsi hotuba za ijumaa zitakavyokuwa na impact yake .
Kwani hili ni mpaka uambiwe?Yoga alidokeza kuwa hawa jamaa wana dharau na wamedhamiria kubaki madarakani kwa njia yoyote ile....
Binafsi nimeanza kuamini.
Mwenyewe leo ana cheeeka, ...........
😅😅😅👋 Kilikosekana tu kijora leo😅😂🤣.... Mmechambwa leo🤣🙏(jokes jamani msinune sasa)
Any ways Poleni wapendwa, Iko hvi jumamosi wiki hii tunaanza rasmi
Title ni " The shadow president"
uskose
Enheeee, nawakumbusha....... Safarii hii wamewapa na RPG 😂😂👋 WALE WAKAKI, (Jokes) Sema maelekezo ni asionekane mtu barabarani ana kitu kinaitwa ngoba, ni mwendo wa shoot to kill!!
Kama walivyo mpongeza kwa lakimbili security guard mmoja kwa kumimina za kutosha ndivyo wamehaidiwa zaidi, so watch out!! Stay safe ...
Baadae ntarudi Kuna kajambo kananikereketa sana!!
Urudi Tu utupe dondooo japo ni ngumu kumeza!Mwenyewe leo ana cheeeka, ...........
😅😅😅👋 Kilikosekana tu kijora leo😅😂🤣.... Mmechambwa leo🤣🙏(jokes jamani msinune sasa)
Any ways Poleni wapendwa, Iko hvi jumamosi wiki hii tunaanza rasmi
Title ni " The shadow president"
uskose
Enheeee, nawakumbusha....... Safarii hii wamewapa na RPG 😂😂👋 WALE WAKAKI, (Jokes) Sema maelekezo ni asionekane mtu barabarani ana kitu kinaitwa ngoba, ni mwendo wa shoot to kill!!
Kama walivyo mpongeza kwa lakimbili security guard mmoja kwa kumimina za kutosha ndivyo wamehaidiwa zaidi, so watch out!! Stay safe ...
Baadae ntarudi Kuna kajambo kananikereketa sana!!
Tulale ama tusubirie hiko kinachokuwasha washa. Hebu kiweke hapa asee tukalale.Mwenyewe leo ana cheeeka, ...........
😅😅😅👋 Kilikosekana tu kijora leo😅😂🤣.... Mmechambwa leo🤣🙏(jokes jamani msinune sasa)
Any ways Poleni wapendwa, Iko hvi jumamosi wiki hii tunaanza rasmi
Title ni " The shadow president"
uskose
Enheeee, nawakumbusha....... Safarii hii wamewapa na RPG 😂😂👋 WALE WAKAKI, (Jokes) Sema maelekezo ni asionekane mtu barabarani ana kitu kinaitwa ngoba, ni mwendo wa shoot to kill!!
Kama walivyo mpongeza kwa lakimbili security guard mmoja kwa kumimina za kutosha ndivyo wamehaidiwa zaidi, so watch out!! Stay safe ...
Baadae ntarudi Kuna kajambo kananikereketa sana!!
Mwenyewe leo ana cheeeka, ...........
😅😅😅👋 Kilikosekana tu kijora leo😅😂🤣.... Mmechambwa leo🤣🙏(jokes jamani msinune sasa)
Any ways Poleni wapendwa, Iko hvi jumamosi wiki hii tunaanza rasmi
Title ni " The shadow president"
uskose
Enheeee, nawakumbusha....... Safarii hii wamewapa na RPG 😂😂👋 WALE WAKAKI, (Jokes) Sema maelekezo ni asionekane mtu barabarani ana kitu kinaitwa ngoba, ni mwendo wa shoot to kill!!
Kama walivyo mpongeza kwa lakimbili security guard mmoja kwa kumimina za kutosha ndivyo wamehaidiwa zaidi, so watch out!! Stay safe ...
Baadae ntarudi Kuna kajambo kananikereketa sana!!
Washauri wa bibi wanampoteza mazima
Naona habil yuko vzr dawa ni kukosa fedha za kuendesha .....Akina Habil na Redcross 26 au siyo?
Wanaipiga CCM mtandao na Gov paralysis ya hatari.
Cyber war imeshika kasi ...
PSYOPs za kutisha.
😂😂😂😂😂Na misukule inamuona km mtu yupo deep state kweli 😹😹
Yoga km alivyo mjombaake uyoga anaenda na msimu 🤣