Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,512
- 9,552
Wananchi haina haja ya kuwategemea wanasiasa, tumeshashtuka hawako kwa ajili ya maslahi mazuri ya raia wa kawaida bora watu waende road tuu.
Nakusahihisha kidogo. Alisema hivi matatizo mengi ya Afrika ikiwemo "nchi aliyokulia", ujue Kagame alikulia Uganda na ALIWAHI kuwa kiongozi mkubwa sana wa jeshi na inteligensia huko Uganda. Kwahiyo Kagame hazingumzii Rwanda hapo anazungumzia Uganda.Rais wa Rwanda, Paul Kagame, amesema bara la Afrika linaweza kushuhudia mapinduzi zaidi, hasa kutokana na mtindo wa vijana wa kizazi kipya, maarufu kama Gen Z kuonyesha nia ya kupindua tawala ambazo hazitekelezi matakwa ya wananchi.
Akizungumza kufuatia mfululizo wa mapinduzi barani Afrika, ikiwemo Madagascar mwezi uliopita na machafuko ya kijeshi Guinea-Bissau wiki hii, Kagame amesema ni muhimu viongozi wa Afrika “kujiuliza sababu za mapinduzi haya badala ya kushangazwa nayo.”
Kwa mujibu wa takwimu zilizowasilishwa, tangu mwaka 1952 kumetokea mapinduzi 130 katika nchi 36 barani Afrika, huku karibu mapinduzi 10 yakitokea ndani ya miaka mitano iliyopita pekee.
Kagame amesema mataifa mengi ya Afrika, ikiwemo Rwanda, yana matatizo katika namna yanavyoendeshwa, jambo linalochochea misuguano kati ya watawala na wananchi. “Namna viongozi wanavyoendesha nchi zao inaweza kujenga mazingira ya mapinduzi,” amesema, akisisitiza kuwa vijana wanafanya hivyo wakiamini wanatafuta mabadiliko ya kiutawala na kiuchumi.
Ameongeza kuwa suluhisho si kuwadhibiti vijana, bali ni kujenga mifumo yenye uwajibikaji, haki, na kusikiliza kilio cha wananchi, hasa vizazi vipya vinavyotumia teknolojia na mitandao ya kijamii kuhamasisha hoja zao.
Asante sana.Watch out!
Hana ukweli wowote ana play mind games..unahitaji akili ya ziada kuuelewa mind games zake!huwa nakuelewa sana jinsi unaongea ukweli japo wengi huwa tunapenda kusikia yale tunayoyataka na si vnginevyo..ili tuishinde hii vita tunaitaji akili na kutumia kila aina ya mbinu itakayo tusaidia..
BETTER LATE THAN NEVER.The good part is : it has started and it's working,
The bad part is: it will take time....
The important thing is: be patient as now brains are working not emotions
CAUTION: to whom it may concern, "SHOOT TO KILL IS STILL THEIR PLAN" Watch out!
Majini ya Samuya yalikataa haitoshi damu na kafara za MO29 kwa hiyo inatakiwa kafara na damu nyingine D9?Sio kwahiyo calender Yako iyo Ina kitu kinaitwa shoot to kill
Samia ni mpumbavu sana kulikuwa na ulazima gani wa kuingia kwenye uchaguzi akiwa peke yake huku mshindani akiwa gerezani kwa kesi za mchongoWatu wanatumia upepo na mwanya wanapita nao kiukweli Tz tulikuwa tunapiga hatua watalii mwaka Jana tu Masupertar wa mambele kibao wamekuja Tz wakati Rwanda wanahangaika kumtangaza kwenye matimu kibao makubwa Ulaya kwa kutumia Fedha nyingi sisi nchi yenyewe ilikuwa inajitangaza . Na Vilevile Kasi ya miundombinu tulikuwa tunaenda 4G .
Kwenye michezo na Sanaa ndio kabisa Afrika Mashariki walikuwa hawanusii yaani sisi ndio tukawa tumekamata trend zote mpaka majirani wakawa wanafosi battle.
Mistakes zilizotokea majirani wametumia fursa haswa na Kupiga spana za maana mpaka sasa tumebanwa kila kona tunasubiri kupigwa KO tu mchezo uishe mapema.
Sio kwahiyo calender Yako iyo Ina kitu kinaitwa shoot to kill
Akili za bange hizi , kwa bundukintani tunawezaje kuanzisha vita na kikosi kamili chenye silaha zote mpaka drone pamoja na mafunzo kamili ?Mkakati ni mmoja tu, hao shoot to kill tunawawinda na mishale. Tukiua watano tumepata bunduki 5 zitatosha kuanzisha VITA RASMI.
Sio kinyonge
Akili za bange hizi , kwa bundukintani tunawezaje kuanzisha vita na kikosi kamili chenye silaha zote mpaka drone pamoja na mafunzo kamili ?
Risasi zikiisha mtafanyaje ?
Hatuwezi kushinda tukitokea ndaniWatu wanataka kuambiwa kama Mange " Watanzania hii game tutashinda, Trust Me" fvck this lady
I highly doubt that. In fact i doubt kama kutakuwa na polisi au askari yeyote tofauti na TPDF siku hiyo.Sio kwahiyo calender Yako iyo Ina kitu kinaitwa shoot to kill
The problem that tyrants ultimately face is that they're really not able to achieve permanent stability. 🌚Sio kwahiyo calender Yako iyo Ina kitu kinaitwa shoot to kill
I highly doubt that. In fact i doubt kama kutakuwa na polisi au askari yeyote tofauti na TPDF siku hiyo.