Inaelekea baadhi ya global na continental agents wa illuminati walitaka akae mpaka Oct 2025, halafu astaafu.
Kuna baadhi ya agents wa illuminati wanataka akae hadi Oct 2030.
Ni global na continental agents wa illuminati hao hao ambao hawakumpenda the late ceo aliemaliza muda wake in March 2021.
Toka Lowassa ajiuzulu on the 7th of February 2008, kwa miaka 17 hakujawahi kuwa na kiongozi mprotestanti kwenye position ya rais, makamu wa rais, na waziri mkuu, mpaka hivi karibuni alipoteuliwa huyu waziri mkuu wa sasa on the 13th of November 2025.
Ili kuwa na political inclusivity nzuri, ni vizuri kwenye kila mzunguko wa miaka 30, miaka 10 apewe mkatoliki, miaka 10 apewe mprotestanti, na miaka 10 apewe muislamu wa sunni.
Na kwenye top 3 positions za rais, makamu wa rais, na waziri mkuu, haya makundi yawepo.
Halafu urais uwe unazunguka kanda kwa kanda sio kurudia kanda zile zile.
Watu wote wanaoshika hizo nafasi za juu, wanatakiwa kwanza kuwa na vigezo na sifa nzuri za uongozi, halafu ndio yanafuata mambo ya madhehebu na kanda.
Of course, hakuna umuhimu wa kufuata power formulae hizo hapo juu, kama kutakuwa na viongozi wazuri sana, wenye vigezo na sifa nzuri sana, ambao hawaendani na hizo formulae hapo juu.
30% - 40% ya watanzania ni wakatoliki.
30% - 40% ya watanzania ni waprotestanti.
20% - 30% ya watanzania ni waislamu.
Huyu ame post sana, lakini kuna assumptions anakosea:
View: https://x.com/SGahamanyi/status/1993565117825368315?s=20
Huyu wakati mwingine, kuna posts anadanganya kabisa, na pia kuna assumptions anakosea:
View: https://x.com/kwamekivaisi/status/1993585444093571131?s=20
May - June, 2026 AD, ni miaka 2,000 tangu Bwana Yahushua Mashiach abatizwe na Yohana Mbatizaji, in the day of Pentecost, in May - June, 26 AD.
May - June, 2030 AD, ni miaka 2,000 ya kuhubiriwa kwa injili ya Bwana Yahushua Mashiach, kwa mataifa yote ya dunia (since the day of Pentecost, in May - June, 30 AD), baada ya kuteswa, kusulubiwa, kufa na kufufuka kwake, in April, 30 AD.
Kwa hiyo dunia, waafrika, na watanzania tunapitia kwenye majira na nyakati muhimu.