Dark days 17/03/20

Hii ameshakujibu?
 
Natamani niseme kitu basi tu!!
Yoga, (sijui ni dada au kaka), huenda ukawa umebeba nuru ya watanzania wenye maumivu juu ya mwelekeo wa nchi.

Unaposita kusema, unafifisha nuru hiyo na kuwaacha watanzania wazame gizani zaidi ya ilivyo sasa.

Fanya kitu, sema, huenda tutajua cha kufanya.
 
Hatutaki kujua jinsia yake, tunachotaka atupe vitu
 

Wana dharau, wajinga na guts zilizopitiliza. Ila kuashiria wana akili zilizopitiliza si sawa kwa kuangalia tu matendo yao na kauli zao za kustaajabisha.

Huwo ushujaa wao ni wa nguvu za dola na ushirikina. Wamulikwe na ya sirini yawekwe wazi, GIZA HALIDUMU PENYE MWANGA
 
Ana maslahi hataki kuyaacha, huku nafsi inamsuta.

Ni kama mtu anayejitambua na ana kaufahamu. Ila wajinga wenye maamuzi wako juu yake, wanachukua ushauri wa hapa na pale kutoka kwake huku wakimpuuza fulani.

Ni kama amekata tamaa hivi, anakuja huku kuburudisha nafsi yake kwa kutupa za jikoni kwa codes.

She has been playing backup for long
Asilimia mia anakuja hapa kuwaazoofisha kisaikolojia!shtuka!
 
What a disgrace, tunashabikia sijui timu magu na timu blaablaa wakati tunaoumia ni sisi raia wa kawaida, eti timu flani hawajausoma mchezo, kuna wapumbavu wengi hapa mkipewa nafasi mtatupeleka kuzimu na sio shimoni.
Ni ujinga mkubwa na inaumiza sana mkuu hizi vita zao waaathirika wakubwa ni Wananchi wa hali ya chini na kuidhoofisha nchi.
 
What a disgrace, tunashabikia sijui timu magu na timu blaablaa wakati tunaoumia ni sisi raia wa kawaida, eti timu flani hawajausoma mchezo, kuna wapumbavu wengi hapa mkipewa nafasi mtatupeleka kuzimu na sio shimoni.
Hili ndilo lililocheleweaha maandamano na ukombozi watu wanaogopa kusema haya matatizo alianzisha Magu.
 
If you want to shift the balance, you have to hit them where the blow hurts the most. 👉 And you already know:
  1. Their nest
  2. The paths to wealth and the country’s entry points
  3. The voices that connect and the fires that fuel the city
Forgive the bluntness, but it’s the only way.
If not, it’s a wasted trip.
Bye!
 
Asilimia kubwa ya waliondamana ni wafuasi wa Magu……
Na asilimia kubwa ya wanaotekwa? Mmeshindwa udini ,siasa mnatafuta pa kutokea ,hiki kizazi ni tofauti na huko nyuma hao wanaomiliki kampuni wanapaswa kuwaza tofauti hivi visingizio havitasaidia vijana wamekataa ,siku watapata tu mbinu na njia na mbuyu utaanguka
 
Hili ndilo lililocheleweaha maandamano na ukombozi watu wanaogopa kusema haya matatizo alianzisha Magu.
We nae ni mpuuzi,Magu ndiye alieasisi katiba mbovu ya hii nchi?kutekana hakujaanza enzi za magu ,kumbuka issue ya Dr ulimboka alitekwa kwenye utawala wa nani?Suala la wapinzani kubambikiwa kesi za kipuuzi halijaanzia kwa magu ni toka huko enzi za mkapa.
Ebu acheni kumsingizia huyo mzee mambo yenu ya kipuuzi mliyoyafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…