C&P
October 2pm
Mwakumbuka nilikuwa chawa wake. Nilimhusudu. Aliwahi sema hataki kuendelea lakini weeeh weee! Akaambiwa kelele. Hutaki utakuwa wataka utakuwa. Ole weeye upenge hata kamasi. Bibiye aliya aliya wee. Wahuni hawajali. Atishiwa basi bibiye mwenyewe aogopa akakubali. Nye Nye Nye afu hiyo ya MO29 Bibiye aambiwa atoe kafara bibie akasusa akaenda kwao. Wamjuza weeye huku mambo yaenda kihuni.
Ikaamuliwa SGR wapigike watu ili kafala litokee. Mayii! Ikagoma waambiwa Majini yaligoma kafala. Hayataki. Wahuni wakaleta mganga kutoka huko kwa ujomba. Ndo aambiwa muda umebaki mchache. Hakuna jinsi risasi ndo kafala.
Bibiye akauliza wangapi wafa. Apewe idadi ahamaki. Hee nye mbona wengi. Akaambiwa atoe mwanafamilia akagoma. Mo29 kafala llikatolewa. Hapa aambiwa lile kafala limekataliwa kuna masharti yalikosewa. So ama akubali kafala jingine au familia yake au yeye aondolewe. Au apigwe kiharusi. Sijui walahi. Na bado
aliya aliya wee. Wahuni hawajali. Atishiwa basi bibiye mwenyewe aogopa akakubali. Nye Nye Nye afu hiyo ya MO29 Bibiye aambiwa atoe kafara bibie akasusa akaenda kwao. Wamjuza weeye huku mambo yaenda kihuni. Ikaamuliwa SGR wapigike watu ili kafala litokee. Mayii! Ikagoma waambiwa Majini yaligoma kafala. Hayataki. Wahuni wakaleta mganga kutoka huko kwa ujomba. Ndo aambiwa muda umebaki mchache. Hakuna jinsi risasi ndo kafala.
Bibiye akauliza wangapi wafa. Apewe idadi ahamaki. Hee nye mbona wengi. Akaambiwa atoe mwanafamilia akagoma. Mo29 kafala llikatolewa. Hapa aambiwa lile kafala limekataliwa kuna masharti yalikosewa. So ama akubali kafala jingine au familia yake au yeye aondolewe. Au apigwe kiharusi. Sijui walahi. Na bado
October 2pm said:
Mwakumbuka nilikuwa chawa wake. Nilimhusudu. Aliwahi sema hataki kuendelea lakini weeeh weee! Akaambiwa kelele. Hutaki utakuwa wataka utakuwa. Ole weeye upenge hata kamasi. Bibiye aliya aliya wee. Wahuni hawajali. Atishiwa basi bibiye mwenyewe aogopa akakubali. Nye Nye Nye afu hiyo ya MO29 Bibiye aambiwa atoe kafara bibie akasusa akaenda kwao. Wamjuza weeye huku mambo yaenda kihuni. Ikaamuliwa SGR wapigike watu ili kafala litokee. Mayii! Ikagoma waambiwa Majini yaligoma kafala. Hayataki. Wahuni wakaleta mganga kutoka huko kwa ujomba. Ndo aambiwa muda umebaki mchache. Hakuna jinsi risasi ndo kafala.
Bibiye akauliza wangapi wafa. Apewe idadi ahamaki. Hee nye mbona wengi. Akaambiwa atoe mwanafamilia akagoma. Mo29 kafala llikatolewa. Hapa aambiwa lile kafala limekataliwa kuna masharti yalikosewa. So ama akubali kafala jingine au familia yake au yeye aondolewe. Au apigwe kiharusi. Sijui walahi. Na bado
Na bado yapo maji kwa shingo. Point yake iko no return. Wanamtandao wamemtelekeza wamuambia aamue kusuka au kunyoa. Lawama apewa yeye. Wao wasema hawapo serikalini.
Huyo mstaafu antumia bibiye kuua adui zake alimtumia kwa mapadlock kumblakmail na kutoa siri za vikao. Siko kujua kitu walahi. Na bado
October 2pm said:
Bibi wa watu aliya aliya. Mumewe alimshauri akampuuza. Kuna watoto wake wawili walimuambia asiendelee lakin mutandao wakamtishia maisha. Mayii! Imagine amir jeshi ni mateka na anatishiwa kama kinyago heeeheee. Dunia vioja walahi
Mimi uzuri siku hizi watu wanaoandika kichizichizi ndio ninaowangatia zaidi siwapuuzii hata kidogo... wapo machizi wanaoongea ukweli niamini mimi