Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 3,411
- 4,682
britanica ni 99.% accurateYoga simuamini hana update namkubali brittanica pekee
britanica ni 99.% accurateYoga simuamini hana update namkubali brittanica pekee
Bora ulivyomchana, analemba utasema kaombwa kutuletea habari JF.Wee nawe mpaka umekuja kuandika hapa inamana tayari ushafanya maamuzi ya kusema au kutosema. Wacha kutafuta attention unnecessarily.
Anawapanga raia mijitu mizima inakesha kuja kulishwa propaganda eti!!Yoga ni tapeli kutoka team kizimkazi
Mkuu huu ume copy na ku paste kutokea wapi?C&P Ninja
Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa
Barua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana.
Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea Tanganyika (Tanzania Bara) yasitokee tena kamwe. Tunatamani mambo yarudi kama zamani.
Kwenye ulimwengu usioonekana kuna taarifa tuliyonayo na pia mmoja wenu anajua ni kwamba tarehe 9 sio tu kwamba yatafanyika maandamano makubwa, lakini kuna wauaji waliopandikizwa na wanamtandao kwa lengo la kufanya mauaji makubwa zaidi dhidi ya watanganyika na hasa vijana wa kikristo. ( kwa lengo maalum)
Kuna watanganyika watajibu kwa kuua wazanzibari walioko Tanganyika. Kuna waislamu watajibu kwa kuua wakristo. Kuna makanisa na misikiti itachomwa moto.
Kuna wahuni wataona fursa na kuanza kuua ovyo, kubaka, kupora mali za watu na wahuni hao watatoka kila kona kuanzia uraiani, majeshini, magerezani na kila kona.
Kule Zanzibar watanganyika watasakwa wauawe na wao wataanza kujitetea.
Kuna kikao kiliwahi kufanyika hapo awali ndani ya nchi A cha lengo la kuidhoofisha nchi ili kupora rasilimali.
Kuna nchi B na nchi C zitaingia kwa haraka Tanganyika na makomando wasio na sare ili kuua askari polisi kwa niaba ya raia lakini kwa lengo la kuharibu uimara wa ulinzi wa Taifa.
Jeshi litagawanyika kabisa. Kuna vikosi vya anga vya nchi jirani bila kujitambulisha vitaingia na kuharibu maeneo yote nyeti ikiwemo Ikulu za Dar na Dodoma, miradi yote mikubwa n.k. Silaha kinga tulizonunua wakati ule wa Col J hazitafanya kazi kuzuia.
Watanzania watatamani kukimbilia Sudan maana itakuwa ni bora kuliko yanayokwenda kutokea wiki chache zijazo.
Watakaoathirika kwa kiasi kikubwa sana ni watoto, wanawake, walemavu, wagonjwa na wanyonge wengine. Wengi watakimbia nchi. Wanaume wengi watauawa na wakati mwingine bila hata hatia.
Hakuna atakayekuwa salama, iwe komando au raia, mkristo au muislamu, mnyonge au mbabe, mbunge au mpiga debe.
Ziko nchi za karibu na za mbali zimejipanga kutumia hilo kama fursa kwao.
Wahuni watapanga kukimbilia nchi A na familia zao kama walivyoahidiwa lakini baadhi yao na hasa namba 1 na watu wake wa karibu hawataweza na watakamatwa na wakora na kufanyiwa ukatili utakaoweka rekodi ya kidunia tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Kuna watu wa karibu sana na namba 1, anawaamini sana. WATAMGEUKA kwa kiwango cha nyota saba.
Lengo la nchi A ni kushirikiana na nchi X na mpinzani wake nchi Y ili Tanzania ikishakuwa tepetepe kuliko DRC na Sudan basi wafanye kuchota rasilimali kama kulamba asali kwa kijiko.
Wakati huo majeshi yatakuwa yamedhoofishwa na mgawanyiko mkubwa na hivyo kundi kubwa litageuka kuwa waasi kwa maslahi ya taifa na lingine kwa maslahi binafsi.
Kuepuka haya yote, NINI KIFANYIKE!?
1. TUBUNI. Hapa muwaulize masheikh(sio maseikh ubwabwa) na wachungaji (sio kina Mwampesa) ili mjue kutubu maana yake ni nini.
2. Maamuzi magumu kwamba bora kuiokoa Tanzania kuliko kung'ang'ania madaraka..( Rais Ally Hassan Mwinyi aliwahi kufanya jambo la kishujaa enzi akiwa waziri wa mambo ya ndani)
3. Kuacha mara moja kuwachukulia watanzania wote kwa ujumla wao kama watoto wadogo wa kudanganywa na peremende. Eti maridhiano, tuache huo ugoro.
4. Humprey Polepole, Tundu Lissu, Mdude Nyagali, wote waliobambikiwa kesi za uhaini, wote waliobambikiwa kesi za kisiasa.. waachiwe MARA MOJA.
5. Madai ya Gen Z kwenye barua yao na madai ya raia wengineo yatekelezwe, ikiwemo katiba mpya, uchaguzi urudiwe, fidia kwa wahanga wa mauaji na madhara mengineyo katika uchaguzi haramu wa 29 Oktoba, pamoja na uwajibishwaji na uwajibikaji wa wahusika wote.
6. Serikali ya mpito inahitajika haraka kuongoza mapambano ya kulikomboa taifa, serikali ambayo itaaminiwa na wananchi wote. Hii iliyojipa madaraka haiaminiki.
7. Lengo liwe moja kwa pande zote. KULIKOMBOA TAIFA. Na sio kuonyeshana ubabe.
Je tunataka kuokoa taifa letu au tunataka kufa na vyeo vyetu na sifa zetu na viburi vyetu na kuifuta kabisa Tanzania kwenye uso wa ramani ya dunia?
TAFADHALI KAMATI, 9D Tuiepuke kwa gharama yeyote. Kuua raia, kuwatisha, kubambika kesi, kuteka wapinzani na yanayofanana na hayo ni kuongezea petroli kwenye moto wa 9D.
Nimeyaona hayo kwenye ulimwengu usioonekana. SIYAPENDI, SIYATAKI, SIYASHABIKII. Ningeweza kuyazuia ningeyazuia. NIMEYALETA KWENU kwa kuwa HILI NI LENU.
Ni tapeli kabisa huyu dadaAnawapanga raia mijitu mizima inakesha kuja kulishwa propaganda eti!!
Mkuu shukurani sana ndio kwanza naona post yake kwa mara ya kwanza.Kutoka kwa member anaitwa Ninja
Humu ndani kuna watu wawili ukitembelea nyuzi zao kuna uhakika angalau 50% watu hao ni britanicca na Ninja lakini huyu yoga kazi yake ni kutuadaa na ramli chonganishi
Tatizo lenu hamumuelewi ndio maana tulizeni akili zenuHumu ndani kuna watu wawili ukitembelea nyuzi zao kuna uhakika angalau 50% watu hao ni britanicca na Ninja lakini huyu yoga kazi yake ni kutuadaa na ramli chonganishi
Nchi inaenda kuwa kama DRC kisha Congo inaenda kuwa shwari,Utekaji utekaji utekaji.
🇹🇿😭🇹🇿😭🇹🇿
Je hili taifa halina wazee wastaafu?
Je wanachukizwa na utekaji unaoendelea?
Je hili taifa halina baraza la usalama wa taifa?
Wamemshauri nini rais wa nchi juu ya watu kutekwa, kupotezwa badala ya vyombo vya kisheria kutumika ikiwa wanaotekwa wana makosa?
Je Mkurugenzi mkuu wa usalama wa taifa analichukuliaje hili swala na Wamemshauri nini rais?
Je rais Samia kwa kiasi gani
anachukizwa kwa watu kutekwa?
Amechukua hatua zipi?
Je amewahi kuwakemea, kuwapa onyo watekaji?
Kikwete, Joseph Warioba, Steve Wassira, Davis Mwanyange, Mabeyo nk nk wako kimya je wako upande upi?
Wa wanaotekwa au wetekaji?
Liko wapi jeshi la Jwtz?
Uko wapi uzalendo wenu?
Polisi wameshindwa kuwalinda raia, wanasiasa nao ndio hawa mko wapi?
Wazee mnapokaa kimya huku vijana mliowarithisha vijiti vya uongozi taifa linabomoka Mungu atuepushe mwisho wa siku kuwa km Congo.
Watanzania mpo?Somalia ni mafuta...
2. Congo na tnyka Wana almost Mali nyinyi majini na ardhini. Na kuzitafuna vzr lazima nchi iwe haitawaliki
Ninja, SMARTER GHOST, naogopa kulingana na comment hii,Na pia Somalia ndio maana Wana msemo wao Wazungu kuwa "Somalia will never know peace until Jesus comes back"
Or "Tanganyika is peaceful coz DRC has war but the day DRC has peace then Tanganyika will have war".
Smartkahn ebu tupe madini zaidi kwenye hili mkuu.Mkuu unaonekana una point muhimu sana hapa, ila sijakusoma vizuri...
Fanya kufungua code kidogo yaani Kuna uhusiano gani kati ya afro shiraz na ayatolla kuwa na mafuta(wese).?
Nilishawahi kupata fununu kutoka chanzo kisicho cha uhakika nikapuuziaga... Sikuziamini.
Fununu ilikua inasema "Tz tukiamua kuchimba mafuta basi kunauwezekano tuka-divert mkondo wa mafuta kutoka nchi za kiarabu na ukahamia Tz"
kwa namna nyingine chanzo cha mafuta cha nchi za kiarabu ni huku Tz, na sababu inayofanya tusiyachimbe ni kwamba tumefanya fair kwakua nchi za kiarabu ni jangwa na hazina rasilimali za kutosha ukilinganisha na sisi huku Tz.
ChawaWaMama mkuu ebu dandavua tupate madini juu ya hiliAfro shiraz party ndiyo chanzo cha weze la ayatolla. Ukichimba huko wese panachimbika na wale wazee wa sushi ndiyo chanzo cha mafuta ya johari. Very complicated, late CEO alitaka afro shiraz party mapato ya johari na wachimbe wese duh killer wapo wengi yaani unakufa kwa kudai haki yako
z12fNamba 6; abundant natural resources.
This includes wildlife, timber, minerals, natural gas (and may be oil) etc.
Tanzania ina 55 trillion cubic feet of natural gas. Mozambique ina 100 trillion cubic feet of natural gas.
Key players in Tanzania, ni Royal Dutch Shell (huenda royal families za UK, na Uholanzi wana hisa kiasi fulani humo), Statoil (sasa Equinor, hawa ni Norway, huenda royal family ya Norway wana hisa kiasi fulani humo), ExxonMobil (hawa ni wamarekani). Puma (formerly BP, hawa ni waingereza) wana influence kwenye kuimport na kudistribute petroleum. Total (sasa TotalEnergies, hawa ni wafaransa), wanajenga bomba la mafuta kutoka Uganda. Wana import na kudistribute mafuta. Royal Dutch Shell na Puma (formerly BP) wana influence kubwa kwenye sector ya mafuta na gesi ya Nigeria.
Royal Dutch Shell wali inunua British Gas (on 15/2/2016), kwa hiyo, vitalu vyote vya gesi vya British Gas, vilivyokuwa Tanzania, sasa hivi ni vya Royal Dutch Shell.
Wajerumani walikuwa wanaimezea mate hii gesi ya Tanzania. Sasa hivi sehemu kubwa sana ya gesi ya Tanzania, iko mikononi mwa waingereza. Sidhani kama wajerumani wana kitu, labda kupitia hisa ndogo kwenye hayo makampuni mengine huko nchi za magharibi.
Waingereza waliogopa white hair atawapa gesi wenyeji au na atawapa share kubwa ya gesi wajerumani kuliko waingereza.
Late CEO alikuwa agent wa Anglo-Vatican-USA. Ali hitilafiana nao mbele ya safari.
Tapeli huyo.Finally watu wameanza kutambua huyu Yoga ni mwanafasihi wa kizimkazi anayeandaa watu kuwa watumwa wao....
Muda unazidi kuongea