Dark days 17/03/20

Dark days 17/03/20

Ameingia mikataba na majini, (kuzimu) ili aendelee kuwa na cheo kwa malipo ya kumwaga damu nyingi za watu wake wasio na hatia,

Mwisho wa siku anapokuwa Dodoma, Magogoni na Kizimkazi anaishi na kulala kwenye mahandaki.

Lakini hayo hayo majini yanaenda kumnyonga mwenyewe.

Mwache ahahe kuwawinda askari 10 waliokimbia nje ya nchi.

End of the day majini yanaenda kumgeuka.
 
Kuna uzi humu JF huwa unamwaga codes za kufa mtu. Ila codes zenyewe zimesukwa kwa ufundi mno, usipotuliza akili utahisi jamaa ni kichaa!
 
Attachments

  • Screenshot_20251113-071506.png
    Screenshot_20251113-071506.png
    175.8 KB · Views: 16
Uzi wa nani huu?

Anajiita Makanyaga. Na alitoa angalizo, hautakiwi kucomment kwenye huo uzi ili usiharibu mtiririko. Wewe soma tu, kisha kahangaikie pembeni kufungua code.
 
Aah huyu bwana Makanyaga niliufuatilia sana uzi wake...badae nikaona code zimezidi mnoo nikaamua kuukacha! Nitarudi tena kumsoma
 
Jamaa inaonekana yupo jikoni oabisa, na codes zake ni pure, ndio maana anazikaza sana ili mchele usimwagike sana. Hata hii ya Esther sikuielewa, nilijua inamhusu Mwigulu, ila nikashindwa kuunganisha dots.
 
Anajiita Makanyaga. Na alitoa angalizo, hautakiwi kucomment kwenye huo uzi ili usiharibu mtiririko. Wewe soma tu, kisha kahangaikie pembeni kufungua code.
duu..watu ni vichwa haswa
 
Generation huwa inajirudia , ama history repeats itself. Kwa wakurya wanaita amakora Kuna amakora manne, yaani vizazi vinne. Kuna muda inafikia mfano akina Nyerere kizazi kinaisha yaani watu wote waliozaliwa enzi za Nyerere wanaisha wanabakia watt wao ndio wazee so kizazi kinachofuata kitaitwa jina ambalo Nyerere waliitwa yaani ni cyclical.
Mfano alikuwepo babu, baba, mtoto , mjukuu so mjukuu akianza kuzaa anazaa kizazi cha akina Babu. Huwezi ama ni nadra mno kukuta vizazi vitano duniani. Sijui sana Ila nadhani kama Kuna mtu anaelewa haya amakora anaweza akaelezea kwa undani zaidi ambaye ni mkurya , Kuna muda unashindwa kuoa Mana unayemuoa ni mtt wako kwa ilikora sema huku nje mnalingana.
Mana labda baby yake aliwahi kuoa wewe Babu yako akachelewa kuoa so inafikia huyu wajukuu zake wanalingana na watt wako
Nimetoka kusoma post ya Mwanakijiji, ameeleza mengi kwa hisia lakini amejaribu kukumbusha historia ya mauaji yaliyofanywa na Mjerumani dhidi ya Babu zetu walipojaribu kupinga utawala wao kwa miaka mingi

Nadhani sasa tumefikia kizazi cha kina Mkwawa, Kijenkitile Nkwale na mashujaa wengine ambao hawakujali vitisho vya wajerumani

Waliwaua Babu zetu na kuacha miili yao mtaani ili wengine waogope lakini hawakuogopa

Waliwanyonga Babu zetu juu ya miembe na kuacha miili yao ikibembea mtini kwa siku kadhaa ili wengine waogope lakini hawakuogopa

Walipochoka kabisa, Kijenkitile aliwaongoza vijana kuwashambulia wajerumani kwa siraha za jadi na kuwaaminisha kuwa risasi za mjerumani zitageuka kuwa maji (fikiria huu ujasiri na linganisha na baadhi ya matukio yaliyoonekana wakati vijana wakiwazika wenzao kwa nyimbo za hamasa na uchungu)

Yes, ni sahihi kabisa if you want to be safe stay silent, but dalili zote zinaonyesha hiki si kizazi cha ku "stay silent". Tayari mizimu ya kina Mkwawa imeshaamka watawala wenye busara wanapaswa walione hili na wachukue hatua kuokoa Taifa

Historia ina kawaida ya kujirudia, God help us!
 
C&P Ninja

Tahadhari kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa

Barua yangu kwa No 1 haikuzingatiwa, nasikitika sana, ona sasa yanayoendelea!, na sasa nakuja kwenu KAMATI na taarifa kutoka kwa ULIMWENGU usioonekana.

Sote tunatamani kuwa maovu yote yaliyotokea Tanganyika (Tanzania Bara) yasitokee tena kamwe. Tunatamani mambo yarudi kama zamani.

Kwenye ulimwengu usioonekana kuna taarifa tuliyonayo na pia mmoja wenu anajua ni kwamba tarehe 9 sio tu kwamba yatafanyika maandamano makubwa, lakini kuna wauaji waliopandikizwa na wanamtandao kwa lengo la kufanya mauaji makubwa zaidi dhidi ya watanganyika na hasa vijana wa kikristo. ( kwa lengo maalum)

Kuna watanganyika watajibu kwa kuua wazanzibari walioko Tanganyika. Kuna waislamu watajibu kwa kuua wakristo. Kuna makanisa na misikiti itachomwa moto.

Kuna wahuni wataona fursa na kuanza kuua ovyo, kubaka, kupora mali za watu na wahuni hao watatoka kila kona kuanzia uraiani, majeshini, magerezani na kila kona.

Kule Zanzibar watanganyika watasakwa wauawe na wao wataanza kujitetea.

Kuna kikao kiliwahi kufanyika hapo awali ndani ya nchi A cha lengo la kuidhoofisha nchi ili kupora rasilimali.

Kuna nchi B na nchi C zitaingia kwa haraka Tanganyika na makomando wasio na sare ili kuua askari polisi kwa niaba ya raia lakini kwa lengo la kuharibu uimara wa ulinzi wa Taifa.

Jeshi litagawanyika kabisa. Kuna vikosi vya anga vya nchi jirani bila kujitambulisha vitaingia na kuharibu maeneo yote nyeti ikiwemo Ikulu za Dar na Dodoma, miradi yote mikubwa n.k. Silaha kinga tulizonunua wakati ule wa Col J hazitafanya kazi kuzuia.

Watanzania watatamani kukimbilia Sudan maana itakuwa ni bora kuliko yanayokwenda kutokea wiki chache zijazo.

Watakaoathirika kwa kiasi kikubwa sana ni watoto, wanawake, walemavu, wagonjwa na wanyonge wengine. Wengi watakimbia nchi. Wanaume wengi watauawa na wakati mwingine bila hata hatia.

Hakuna atakayekuwa salama, iwe komando au raia, mkristo au muislamu, mnyonge au mbabe, mbunge au mpiga debe.

Ziko nchi za karibu na za mbali zimejipanga kutumia hilo kama fursa kwao.

Wahuni watapanga kukimbilia nchi A na familia zao kama walivyoahidiwa lakini baadhi yao na hasa namba 1 na watu wake wa karibu hawataweza na watakamatwa na wakora na kufanyiwa ukatili utakaoweka rekodi ya kidunia tangu kuumbwa kwa ulimwengu.

Kuna watu wa karibu sana na namba 1, anawaamini sana. WATAMGEUKA kwa kiwango cha nyota saba.

Lengo la nchi A ni kushirikiana na nchi X na mpinzani wake nchi Y ili Tanzania ikishakuwa tepetepe kuliko DRC na Sudan basi wafanye kuchota rasilimali kama kulamba asali kwa kijiko.

Wakati huo majeshi yatakuwa yamedhoofishwa na mgawanyiko mkubwa na hivyo kundi kubwa litageuka kuwa waasi kwa maslahi ya taifa na lingine kwa maslahi binafsi.

Kuepuka haya yote, NINI KIFANYIKE!?

1. TUBUNI. Hapa muwaulize masheikh(sio maseikh ubwabwa) na wachungaji (sio kina Mwampesa) ili mjue kutubu maana yake ni nini.
2. Maamuzi magumu kwamba bora kuiokoa Tanzania kuliko kung'ang'ania madaraka..( Rais Ally Hassan Mwinyi aliwahi kufanya jambo la kishujaa enzi akiwa waziri wa mambo ya ndani)
3. Kuacha mara moja kuwachukulia watanzania wote kwa ujumla wao kama watoto wadogo wa kudanganywa na peremende. Eti maridhiano, tuache huo ugoro.
4. Humprey Polepole, Tundu Lissu, Mdude Nyagali, wote waliobambikiwa kesi za uhaini, wote waliobambikiwa kesi za kisiasa.. waachiwe MARA MOJA.
5. Madai ya Gen Z kwenye barua yao na madai ya raia wengineo yatekelezwe, ikiwemo katiba mpya, uchaguzi urudiwe, fidia kwa wahanga wa mauaji na madhara mengineyo katika uchaguzi haramu wa 29 Oktoba, pamoja na uwajibishwaji na uwajibikaji wa wahusika wote.
6. Serikali ya mpito inahitajika haraka kuongoza mapambano ya kulikomboa taifa, serikali ambayo itaaminiwa na wananchi wote. Hii iliyojipa madaraka haiaminiki.
7. Lengo liwe moja kwa pande zote. KULIKOMBOA TAIFA. Na sio kuonyeshana ubabe.

Je tunataka kuokoa taifa letu au tunataka kufa na vyeo vyetu na sifa zetu na viburi vyetu na kuifuta kabisa Tanzania kwenye uso wa ramani ya dunia?

TAFADHALI KAMATI, 9D Tuiepuke kwa gharama yeyote. Kuua raia, kuwatisha, kubambika kesi, kuteka wapinzani na yanayofanana na hayo ni kuongezea petroli kwenye moto wa 9D.

Nimeyaona hayo kwenye ulimwengu usioonekana. SIYAPENDI, SIYATAKI, SIYASHABIKII. Ningeweza kuyazuia ningeyazuia. NIMEYALETA KWENU kwa kuwa HILI NI LENU.
 
hii hatari sana
 
Duuuuh hatari sana

Back
Top Bottom