Mbabani
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 2,369
- 6,717
Sema Yoga, usikae kimya hata kwa code.
Natamani niseme kitu basi tu!!
Natamani niseme kitu basi tu!!
Wee nawe mpaka umekuja kuandika hapa inamana tayari ushafanya maamuzi ya kusema au kutosema. Wacha kutafuta attention unnecessarily.Natamani niseme kitu basi tu!!
Tuambie usiache bibie yogaNatamani niseme kitu basi tu!!
hizo imani ondoa mkuu hakuna kitu mungu atafanya dhidi ya utawala wa CCM .Bila Yeye utafeli asubuhi tu
Maisha yangu ni Mungu kuondoa haiwezekani,hizo imani ondoa mkuu hakuna kitu mungu atafanya dhidi ya utawala wa CCM .
ondoa hicho kitu akilini mwako mungu ahusiki na chochote kuhusu siasa hizi za bongo na matukio yanayoendelea .
ingekuwa ni hivyo basi angekuwa ashatoa hukumu kwa haya yalitokea siku ya maandamano
😄😄 waja hamna shukrani. Anyway labdaYoga ni tapeli kutoka team kizimkazi
No matter how hurting it isWalaaaa, it's hurts!!
Kuna kamanda wame mmaliza niniWalaaaa, it's hurts!!
I was guessing thatKuna kamanda wame mmaliza nini
Waziri mkuu ana weza kuwa nani this timeUbarikiwe!!🙏🙏🙏
It's either useme or unyamaze, ila kusema "natamani niseme then zzzzzzii" it's not right hasa kipindi tulichopo!!Walaaaa, it's hurts!!
I've spent mpre than three minutes.... Sjapata concept of what it meansThe compass keeps pointing north, but the traveler insists on walking south.”
So kuna contradiction between the compass and the travelerThe compass keeps pointing north, but the traveler insists on walking south.”
The compass keeps pointing north, but the traveler insists on walking south.”
Traveler ana kiburi kama tunavyo mjua hataki kuonekana kashindwa ingali ni AbnormalSo kuna contradiction between the compass and the traveler
The concept that i've understood is north and south