TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,265
- 27,929
Kuvurugana ni hadaa!!!4. Ili Taifa kutoka mikononi mwao labda wavurugane wao kwa wao au wafe wote (kitu ambacho ni kigumu kutokea)
Kuvurugana ni hadaa!!!4. Ili Taifa kutoka mikononi mwao labda wavurugane wao kwa wao au wafe wote (kitu ambacho ni kigumu kutokea)
Mimi sijasahau ahadi ya kuleta uzi kamambe mwezi wa kumi na mbili mwaka huu. Nimekuwa Royal sana katika hili. Ninajua utalitekeleza hili Kwa Nia uliyonayo.Natamani niseme kitu basi tu!!
God have mercyWatch haya maigizo yajayo kwa umakini sana!!
Stay calm find popcorns and observe
Yeah!! Three weeks to goooo!!!
She isnt listening kivipi na ww..ulikuja ukasema anataka kutoka ila mwenye nchi hataki..But...... She isn't listening
Huyu ni muongo muongoShe isnt listening kivipi na ww..ulikuja ukasema anataka kutoka ila mwenye nchi hataki..
Mbona kauli zinakinzana sana
Ile kamats nilihis mlengwa ni bishop Tu ili apotezwe kabisa kama mr fast fast sasa kuwaachia hawa nahis pia ni picha la kichina ili ajipeleke awaze kjinga kwamba nitaachiwa hapo ndio itakuwa goodbye bishop.ila yule jamaa aba akili sana sidhsni kama atarnfa hvhv..yoga uzi hauna kona kona umenyooka kama road za germany. vp kuhusu captain wamatumaini bado yuko live nakama yuko live kuna comeback yoyote na kuhusu bishop msema kwer naye vp
Huyu ni mwana mtandao yuko humu kuvunja watu mioyo… lakini safari hii sijui wataongra lugha gani kufuta hizi hasira na maumivu mioyoni mwetu!Ni kwa muda mfupi tu coz ni binadamu ambao wamejaa madhaifu kibao, wataachia tu.
Power itarudi kwa umma coz hakuna aliyeweza kushindana na umma akashinda.
Hapa naona kama unataka kutuonyesha kuwa jamaa hatuwawezi, hawa ni binadamu kama sisi, tusiwape nguvu isiyokuwa yao!
Na hizi za tweets ambazo zimevuja ni za kwel? au ndo maigizo yameshaanza??Watch haya maigizo yajayo kwa umakini sana!!
Stay calm find popcorns and observe
Maigizo:Na hizi za tweets ambazo zimevuja ni za kwel? au ndo maigizo yameshaanza??
Bishop hawezi kukosa taharifa ya vita zake nyingi huwa anashinda na hii atashinda nina kaa Usubiri Slow slow alisalitiwa na watu wake wa karibu nae alijua ameshachelewa unakumbuka usiku ule akapotea alisema kuna wazee wameshajiandaa kwa ajili ya kukaa kwa maridhiano ya kiina macho cha Uchaguzi akasema wazee tuwakatae naye amewakataa maana wamejivunjia heshima ya miaka yote hiyo ni kauli ya kwamba nimesalitiwa tayari Kakulwa amekua wa ovyo sanaIle kamats nilihis mlengwa ni bishop Tu ili apotezwe kabisa kama mr fast fast sasa kuwaachia hawa nahis pia ni picha la kichina ili ajipeleke awaze kjinga kwamba nitaachiwa hapo ndio itakuwa goodbye bishop.ila yule jamaa aba akili sana sidhsni kama atarnfa hvhv..
Nguvu ya Umma imeangusha serikali nyingi duniani anajua iliHuyu ni mwana mtandao yuko humu kuvunja watu mioyo… lakini safari hii sijui wataongra lugha gani kufuta hizi hasira na maumivu mioyoni mwetu!
Top wa ✌️ Tayari wamelambishwa asali, wananchi tutasimama wenyewe?