Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Nitawezaje kutengeneza application zangu na kazi upload kwenye play store
 
Nilidhan applock inasave juu kwaju kama google.
Zinatengenezaga backup, angalia vzur mie natumia gallery lock yenyenyewe inatengeneza backup file kwenye sd card, so nikihamisha smu ni kias cha kulogin tu na kureatore hilo file.
Nilidhan applock inasave juu kwaju kama google.
Zinatengenezaga backup, angalia vzur mie natumia gallery vault yenyenyewe inatengeneza backup file kwenye sd card, so nikihamisha smu ni kias cha kulogin tu na kurestore hilo file.
04f318f197714bd1035fa3d143dab1a8.jpg
 
Mkuu Salaam! Nimeona mchango wako hapa jukwaani na nimehitaji unipe msaada wako kama hutojali, Nina simu ambayo ni Android version 7 na ninataka kuiroot hii nafanya kwa sababu nataka kupata mabadiliko ya maandishi kwenye simu hii huwa sifurahii kabisa kutumia simu yenye maandishi ya kawaida. Jana nilijaribu kuiroot manual kutumia supersu ila wakati nataka nipeleke kwenye recovery mode inaonesha ile logo ya android na chini inaandika "No Command" inafanya nashindwa kufanya nachotaka naomba sana kwa msaada wako nisaidie nifanyeje ili niweze kuroot huyu Mchina Tecno CX air. Nitashukuru sana kama utatenga muda wako kunisaidia.

Pia niambie kama kuna hatari yeyote itatokea kama nitashindwa kukamilisha zoezi hilo wakati inainstall asante sana.
Cx si ina font kwenye hi theme mkuu no need to root ur phone
 
kuna mengi ambayo naweza kuyaelezea kuhusu neon hilo (android) lakini kiufupi hakuna msamiati mmoja unaoweza kuleta maana yake kamili. kiufupi asili yake ni kilatini ikiwa sawa na neon roboti na hata uundaji wa OS hizi ni matokeo ya utafiti katika uboreshaji wa roboti. yaani kitu au mtu anayeeweza kujiendesha mwenyewe asiyechoka.(misamiati ktk maana hii inaweza isikupe taswira unayotaka lkn dhima ni kupata taswira ya roboti usitukane tafdhali)
An-(droid)--robot
 
Simu yangu ni Sony T2 nimeroot, nawezaje kuweka Android version ya 7
 
Naomba munijuze kuhusiana na simu ua tecno canon cx ndgu yangu ubora wake weeaknens nk.
 
Hapa w4 yangu nlikua kwenye mipango ya Ku restore sasa nmekosea batani simu imeenda kwenye fast boot mode... Imeandika hivo hivo na vidoti vitatu kwamba ina load.....sasa jinsi ya kutoka pale nifanyaje maana Hata betri sio lakutoa
 
Back
Top Bottom