Dextereous
Member
- Jan 1, 2016
- 44
- 16
My whatsapp number has been banned....
Baada ya namba ya kwanza kuwa banned. Nikaamua nibadili naba na kununua simcard nyingine. Wakat nawataarifu ya rafiki zangu kuwa nimebadilisha namba ya whatsapp.....na hiyo namba mpya ikawa banned again.
Haya yote yamefanyika jana tena ndani ya siku moja.
Kama kuna mwenye ujuzi wa jambo hili naomba anieleze labda tatizo ni nini na nifanye nini ili nirejeshe nifufue tena account zang