Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Aisee simu yangu kila nkiconnect kwa PC inaonesha alama nyekundu pale kwa discs, sasa hata nkifuta vitu haipungui, inaonesha OMB of 4GB, nliformat simu, ikakaa siku 3 imeanza tena, kwahio siez eka chochote kwenye simu toka kwa PC
Imejaa au ina jaa..
4gb ni ndogo..fanya upate kubwa.
 
litakosaje mkuu.
Kwangu hamna mkuu
72d17d557917a1c8894524ca1dd72dd3.jpg
 
iPhone yangu inakaa na chaji kwa siku 4 je tatizo ni nini ...... ??

Pia iPad yangu inakaa chaji wiki nzima tatizo ni nini....??
 
naomba msaada simu yangu ni vivo y51 ukiwasha inaandika hifi & smart kwa chini inaandika android lkn haina play store na intanet inasoma E 3g haipandi.
 
Back
Top Bottom