Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

Aisee ni hii kweli 100% simu ikiwa available 0B space unakuta app husika inaandika not respond force closed? Ukifuta chochote ikapatikana nafasi hata ya 1 mb space aiisee!! simu ina respond fasta. Big up bro.
Good kwa matatizo zaidi nipigie 0753093869
 
Tecno n2.fb can't update.inaandika app not installed error 503
App not installed
Kwanza tazama divice yako inaendana na app uipakuayo? Mfano version
Pili angalia ukubwa wa memory yako
Tatu tazama RAM yako.
Kama hivyo vipo vizuri restore play store, nikimaanisha log out kisha log in tena kwa play store.
 
Nina simu yangu hapa aina ya LG G2

Ilipata tatizo ta touch kuwa hairespond na hii ilitokea siku niliokuwa nina upgrade to V 5.1 kama sikosei mashmallow, ni kitambo kidogo mwaka kama 1 au 2 ivi. Simu ilikuwa mpya kabisaa ila kwa sasa ni kama kopo tuu haitouch, nilishapeleka kwa mafundi kibao wameshindwa kuifix.

Can You?
 
Cm yngu ya ktambo kdg ilkuwa nkfungua social network znaandka unfortunately watsap stopped or fb
 
Mimi ni android tu
Sawa. Mkuu ingependeza zaid km kuna kitu hukijui unakiruka hii italinda hadhi ya uzi.
Nitakutafuta, kuna app nataka unitengeze ya kum-spy mtu yaan sms zake, calls na mambo mengine niwe ziona kupitia simu yangu. Najua unayo ila mm nataka iwe ya kwangu (mali yangu)
 
Sawa. Mkuu ingependeza zaid km kuna kitu hukijui unakiruka hii italinda hadhi ya uzi.
Nitakutafuta, kuna app nataka unitengeze ya kum-spy mtu yaan sms zake, calls na mambo mengine niwe ziona kupitia simu yangu. Najua unayo ila mm nataka iwe ya kwangu (mali yangu)
Sio rahis kwakuwa haziruhhusiw hta mtandaoni ndo maana hi tunayoitumia ni secret yani hidden haionekan
 
Sio rahis kwakuwa haziruhhusiw hta mtandaoni ndo maana hi tunayoitumia ni secret yani hidden haionekan
Ndiyo najua. Nataka nitumie kweny shughuli zangu binafsi. Haziruhusu lkn zipo na zinauzwa hata ukiingia playstore unazikuta ila nyingi ni prank.
Nahitaji sana hii app mkuu ili nirahisishe mambo yangu
 
Simu yangu tekno w3 haipigi kwa no nilizopo tayari kwenye phonebook, la sivyo niandike no upya ndio itakubali
 
Sawa.
Ningekutumia lkn haitafanya kazi maana lzm ujiandikishe ndipo unakua na uwezo wa kudownload chochote.
Software zote utazipata Kwa kuingia www sammobile.com..
The rest utamaliza mwenyewe huko Kwa maana kuunda account,kusearch firmware ya sumu yako (SM-G935F)utarekebisha hapo km nimekosea.
Kisha ukiipata sasa tutakutana hatua ya mwisho ya kui upgrade simu tukitumia Odin baada ya kuinstall drive..
Upo na Mimi bado!?
Mkuu kwenye issue ya sammobile naomba maelezo kidogo kuhusu regions.. Mfano utakuna version flan ya smu firmware yake kwa region ya SA au Nigeria ni AOS 6.0 ila ukija Kenya ambayo naitumia sana unakuta bado wana AOS ya 5.0... Hebu nifafanulie please.
 
Mkuu Hapa bushi nilipo vodacom wamefunga 3G lkn baadhi ya smartphone zinashindwa kusaport 3G na ukiziweka 3G only zinakata kabisa network lkn simu hizi hizi zinazokata kusaport maeneo hayo ukitokanazo nakwenda maeneo mengine yenye 3G Zinasaport bila shida naomba msaada hapa tatizo litakuwa nini
 
Back
Top Bottom