Psiteshio72
JF-Expert Member
- Nov 13, 2016
- 634
- 442
- Thread starter
- #541
Hpo ni mgumo wa recoveryMuda mwingine zinaleta hivi mkuu
![]()
Hpo ni mgumo wa recoveryMuda mwingine zinaleta hivi mkuu
![]()
Hiyo ni njia ya kuflash firmware mpya, au kufanya upgradeMuda mwingine zinaleta hivi mkuu
![]()
Hiyo ni njia ya kuflash firmware mpya, au kufanya upgrade
Uko wap? Dsm au mkoa?Mkuu nimefanya factory reset mara 4 lakini wapi, nimepeleka kwa fundi akaflash lakini tatizo likaendelea.
Nisaidie njia ya kuupgrade version nijajaribu
ArushaUko wap? Dsm au mkoa?
Dah!! Mm niko dms ongea na mwenye uzi maana naye yupo ArushaArusha
Dah!! Mm niko dms ongea na mwenye uzi maana naye yupo Arusha
Kuna maelezo marefu kidogo afu mm ni wa kawaida tu ila nina wadau kibao wana ujuz zaid yangu, njoo telegramHuwezi kunielekeza nikaupgrade mwenyewe au kuna software zinahitajika kwenye pc?
Nina miliki simu ya Tekno N8. Shida ya Simu ni kuwa haikai na charge; kwa kawaida wakati Wa kuchaji Simu huwa naizima kabisa especially kwa usiku mzima lakini cha ajabu haifiki au inaishia 76%Ukiingia tu uliza, swali lako, pia utajibiwa kwa sekunde pia weka ujuzi wako
Pili kuna matatizo ambayo sitaweza kusolve kutokana na huduma hizo hulipiwa
Mfano: Kuzuia matangazo-huduma hi unawalipa adsblock sasa sitaweza kusolve mfano wa matatizo kama hayo.
Mifano mingine ni KuRoot simu za version 6.0,7.0 nk. Kuzuia matangazo (ads), Udukuzi (hacking), Kupata sms za mpenz (spy).
Huduma hizo na nyinginezo zifananazo na hizo sitazitoa humu bali private kupitia njia ya simu au WhatsApp kutoka na sheria za Jf. Kwa msaada zaidi nipigie au sms kawaida 0753093869
Lakin kwa mambo ambayo nitakuelekeza na usielewe kutokana na kukosa picha, video, audio humu JF utanitext WhatsApp kwa number 0621072026.
Hapo niku allow tu mkuu kuipa uwezo wa Ku access photos media & files kwa galleryMkuu simu yangu inasumbua nikitaka kupakia picha inaniandikia kama ifuatavyo "Allow Gallery to Access Photos,Media and file on your Denice,Halafu kwa chini kuna maneno Deny_Allow"Msaada wako plz,ni Tecno W2
IC imepoteza kumbukumbuNina miliki simu ya Tekno N8. Shida ya Simu ni kuwa haikai na charge; kwa kawaida wakati Wa kuchaji Simu huwa naizima kabisa especially kwa usiku mzima lakini cha ajabu haifiki au inaishia 76%
Na inapotumika ikifika 46% huzima gafla imetokea hivyo Mara nyingi au Mara zote.
Nimejaribu kuipeleka kwa fundi amebadiisha charging system na mpaka nimenunua original betri lakini tatizo lipo pale pale
Naomba kujua shida itakuwa wapi na nifanyeje?
Mkuu memory card yangu inaandika SD card damaged try to format kwa kweli inaniumiza sana kwasababu ndani kuna vitu vya muhimu sana nifanyaje sasa hapa mkuu.cyo tu hyo cx, tecno hawajawahi kuwa na cmu ambayo unaweza ukaiita eti ni cmu bora... hizo ni BORA CMU na ndo maana market yake ni ASIA, AFRICA na AMERICA kidogo
Backup then resetMkuu memory card yangu inaandika SD card damaged try to format kwa kweli inaniumiza sana kwasababu ndani kuna vitu vya muhimu sana nifanyaje sasa hapa mkuu.
![]()
Nkitaka kulogin email yoyote inasema hvo
Simu ni samsung s3.......
Msaada wakuu!
Hilo tatizo linasababishwa na messenger sms, sasa nenda setting-accsebility-screen overlay detected weka offUkitaka Kufanya kutu Fulani simu ikakuandikia screenoverlay protected Inamaana gani na ufanyeje kuondoa Hali hiyo
Hapo njemaaa wewe reset hyo gmail app![]()
Nkitaka kulogin email yoyote inasema hvo
Simu ni samsung s3.......
Msaada wakuu!