Muuza madawa ya kulevyaAkina Mdude siyo wafungwa wa kisiasa au mpaka kesi ifunguliwe na msajili wa vyama vya siasa?
Ni mfungwa au mahabusu? Mfungwa ni yule aliyehukumiwaAkina Mdude siyo wafungwa wa kisiasa au mpaka kesi ifunguliwe na msajili wa vyama vya siasa?
Mdude kwani tayari alishafungwa?Akina Mdude siyo wafungwa wa kisiasa au mpaka kesi ifunguliwe na msajili wa vyama vya siasa?
What are these Kenyans up to!Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amekana taarifa inayosambaa kwamba raia Samia kawaachia huru Wafungwa 23 wa Kisiasa. Kadai Tanzania haina mfungwa wa kisiasa na kusema Rais hawezi kuingilia mchakato wowote wa mahakama.
Awali chombo cha habari cha Kenya kiliripoti Rais Samia kuachilia wafungwa 23 wa kisiasa nchini.
Kwa hiyo kaongopa kwa niaba ya kipenzi chako?..hivi mnamuamini msemaji wa serikali?
Dingi akoMuuza madawa ya kulevya
Mbona ule Mzoga ulikuwa unawatoa Wafungwa usiku Magerezani na kuwapa Ubunge huyu Msigwa zinamtosha kweli?Rais hawezi kuingilia mchakato wowote wa mahakama.
Mbona wahujumu uchumi wanaachiwa na DPP?Ni mfungwa au mahabusu? Mfungwa ni yule aliyehukumiwa
Ni sawa na kufungwaMdude kwani tayari alishafungwa?
Haya sawa.Ni sawa na kufungwa