Dar Lux kapotezwa?

Dar Lux kapotezwa?

Dar Lux alimzurumu Mama mmoja nyumba yake hapo Mbezi beach walikua wanakopesha hela za Riba na weka dhamana baadae riba ikawa kubwa wakachukua nyumba na yeye Lux aliweka dhamana Bank na kukopea hela zilizofanya aweze kununua na kukopa baadhi ya magari enzi za Magu yule Mama alipolalamika hilo swala likafatiliwa mpaka mahakamani ikanekana palikua na janja janja tu toka hapo wakaanza kupiga mnada bus zake moja baada ya ingine kuna muda mengine unakuta bus jipya lipo chini ya madarali wakilitangaza kuliuza...
Nadhani kwa bus zilizouzwa kwa bei ndogo hizo ni mojawapo aisee..
Sasa matatizo kama haya watu wengine wakisikia fulani kashindwa biashara utasikia biashara ya Bus sio kabisa kumbe kuna vitu vipo chini ya carpet wazee...
Magu alikomba kwenye account zake kiasi kikubwa sana cha pesa na chanzo ni bus za Darlux kubeba waombolezaji kwenye msiba wa kaka yake JK Chalinze.. Bulimia Lux kama kumi hivi.. Magu kuuliza akaambiwa na chawa ni za JK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magu alikomba kwenye account zake kiasi kikubwa sana cha pesa na chanzo ni bus za Darlux kubeba waombolezaji kwenye msiba wa kaka yake JK Chalinze.. Bulimia Lux kama kumi hivi.. Magu kuuliza akaambiwa na chawa ni za JK

Sent using Jamii Forums mobile app
Wameunga maneno mkuu mimi nilijua hayo mambo kupitia kwa mteja wa gari niliemletea daslm na alikua karibu na huyo Mama kuhusu kupata haki yao...vijana wajanja wajanja wa daslm wengi nawafahamu maana wanapohitaji magari mazuri kupitia hata kwa watu wengine tunajua pia..
 
Sahihi, hata hizi Qatar Airways watu wanafunga mahesabu ya mwaka ni hasara tupu.
Majini sifahamu.
Kampuni nyingi za midle east wanafanya biashara ya ndege kama prestige sio kama biashara ya faida , emirates ana aibus a380 116 ,ni zaidi ya nusu ya a380 zote zilizotengenezwa na airbus . sababu kuu ya airbus kufunga production ya a380 ni kuwa emirates ali cancel oder .
 
Waendelee kujifunza kwake maana sio vibaya kujifunza Kwa MTU mwenye uzoefu. Ila Mimi naona Abood yupo Update Kama usemavyo anajua wateja wake wanahitaji nini hana ajali za hovyo n.k
Abood anabebwa na location. Dar moro ni busy route na fupi ndo maana basi zake zonadumu na madereva wanapata muda wa kutosha kupumzika .sasa hivi ameingia kwenye mtanange wa upcountry routes lazima zitamtingisha
 
Kuna sababu karibu airlines zote kubwa ni state-owned from Qatar, Emirates, Ethiopia, Singapore, KLM, Air France, Qantas etc etc. Their governments injects money to stay afloat kila wanapoyumba.
Air France-KLM na Qantas sio state owned, hazimilikiwi na serikali, ni public traded companies. Airlines zote kubwa za Ulaya na Marekani ni public traded companies, hazimilikiwi na serikali.
 
Nawe unaitwa BABA kabisa Nyumbani kwako eti WANAZI!!!ndio nyie watu wazima na ndevu zenu huwa mnakesha mabarabarani kushangilia mabasi,wapuuzi sana nyie
Sasa wewe babu mwenye mvi usiyejua kua binadamu tupo tofauti kila mtu ana mapendeleo yake na viupaumbele vyake, na uzee wako unatufosi unacho kiona wewe ni sahihi ndio kiwe kama sheria. Hivi hapa hujioni kwamba wewe ndio kubwa jinga unayeshindwa kujua binadamu wanatofautiana mitazamo.
 
Air France-KLM na Qantas sio state owned, hazimilikiwi na serikali, ni public traded companies. Airlines zote kubwa za Ulaya na Marekani ni public traded companies, hazimilikiwi na serikali.
State owned airlines nadhani zimebaki huko huko midle east kweyye hela za mafuta . pamoja na sisi na Atcl. Yetu. The rest of the world walishaachana na huo ujinga.
 
Niliwahi kufanya interview na mmiliki wa hizi chuma. Full confidence/misifa Kama yote. Nn kimetokea? Uchawi? Alilewa sifa? Customer care? Nchi nyingine hawa wafanyabiashara husaidiwa maana hutengeneza ajira Ila hapa, mpaka utoke damu masikion ndo TRA wakuachie
View attachment 2860514
Hata utoke damu Hakyamungu husaidiwi, kuna tule Muha huwa anazunguka na makaratasi aliiibiwa na tra tangu enzi za chuma alipata haki yake?
 
Wameunga maneno mkuu mimi nilijua hayo mambo kupitia kwa mteja wa gari niliemletea daslm na alikua karibu na huyo Mama kuhusu kupata haki yao...vijana wajanja wajanja wa daslm wengi nawafahamu maana wanapohitaji magari mazuri kupitia hata kwa watu wengine tunajua pia..
Sijakubishia zote hizo ziko kwenye mkondo mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara za mabasi faida utaanza kuiona kwa wastani wa muda miaka kuanzia miwili.
Kuna biashara ambazo zitakusaidia tu kutengeneza flow nzuri ya pesa , kuweka pesa kwenye mzunguko na kutengeneza discipline nzuri ya pesa lakini si biashara zitakazo kutoa au kukupa utajiri maradufu.

Naweza sema ni kama ile unaona kuliko kukaa na milioni 300 bank, kwa nini usiiweke kwenye mzunguko izae taratibu kuliko kukaa na pesa mwisho utaiharibu kwa matumizi ya ajabu au kutumia hovyo ikaisha.

Ni kama utumie milioni 50 kujenga nyumba utakayoipangisha kwa mwaka upate mil 4, itachukua miaka 12 kuanza kupata faida, lakini ni biashara ambayo unaweza kusomesha watoto wako hadi chuo kikuu wakitegemea kodi ya nyumba, lakini hio mil 50 ungekaa nayo ndani, isingetoboa mwaka.

Biashara ya mabasi ni nzuri kama huna pesa za tia maji tia maji, inapaswa uwe na mfuko wa kueleweka, mapato unaweka bank unakuja kuchungulia account baada hata ya mwaka au zaidi.

Si kila biashara ni kwa ajili ya faida kubwa. Ni baadhi, na unapoanzisha business unakuwa na malengo.
Hatuwezi sema amefilisika, ni maamuzi tu.
👍👍👍
 
State owned airlines nadhani zimebaki huko huko midle east kweyye hela za mafuta . pamoja na sisi na Atcl. Yetu. The rest of the world walishaachana na huo ujinga.
Ethiopian airlines Ni 100% owned by the government. Sema wanalipa mshahara kiduchu na hakuna mambo ya vyama vya Wafanyakazi Wala ujinga ujinga wa HAKI YETU
 
Sauli alipata pesa kwenye dhahabu akakurupukia scania naona pesa zinarudi ardhini zilipotoka soon anapaki.
Biashara ya mabus ukipigiwa faida kwenye makaratasi utasema biashara si ndio hii.
Mbona wengine wanafanikiwa mkuu. Angalia fleet hiyo INTERCAPE. Hapo unaongelea billion's or trillion's.. Haha Discipline Will Take You Where Passion Cant
FB_IMG_17040102635455539.jpg
FB_IMG_17040102564487302.jpg
FB_IMG_17040119327800844.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom