Dar Lux kapotezwa?

Dar Lux kapotezwa?

Hawa ni wajanja . Wamejiingiza kwenye Chaka la ufisadi (ccm) ni wabunge. Hivyo kuna tozo na Kodi wanakwepa kwa nafasi zao.

Wamiliki wa mabasi wote wanakiri kwamba ukitekeleza maelekezo yote na taratibu zote za serikali ktk Kodi na tozo mbalimbali mabasi hayana faida.
Mambo si kama tunavyodhani abiria
 
Ukiwa na biashara inayoitaji investment ya 10Bn, halafu wewe una 12 Bn, kuwa makini sana.

Unaweza u kafanya masifa makubwa bila sababu, na yasiongeze sales.

Huyu bwana alianza kwa sifa sana, na investment kubwa, ila hakuwekeza kwenye sales.

Nakumbuka kupanda ma Bus yake twice, yakiwa na watu chini ya 25, nikasema he will fail.

Authentic/Organic growth is a key in business, sio kwa sababu una access na mkopo ukope.

Mimi sijawahi kopa Bank hata 2m, ila nishawahi fuatwa na Bank wakitaka wanikopeshe 200m.

Hii ni baada ya kuona biashara yangu inaenda na inflow and outflow of cash ni nzuri.

Huwezi chukua mkopo sababu umefuatwa na Bank, chukua sababu umeona fursa.
Nondo kweli kweli hii....👏
 
Nimesema kwenye uzi mwingine, I'll c&p here:

Biashara ya mabasi ni biashara pasua kichwa kuliko zote.

Scandinavia iliyofanya Mapinduzi kwenye hii sekta ilikufa kifo Cha mende.

Hood imekufa.

Sumry chali.

Sauli yupo hoi siku zake zinahesabika, Achimwene got him in the headlock.

Dar express, Dar Lux, Rungwe, BM waliokuwa powerhouse kwenye hii sekta wote wapo hoi. Etc etc

Turnover kwenye hii sekta ni kubwa mno. Kila miaka miwili wanakuja wengine na kupotea kama upepo household names.

Utasema usimamizi na sababu zote ila sio rahisi kuamini hao wote hawajui wanachokifanya. Fanya hii biashara kama unataka kufukia pesa zako.
BM yuko vizuri sana kila baada ya miezi sita anadondosha chuma mpya pale DP World
 
Magu alikomba kwenye account zake kiasi kikubwa sana cha pesa na chanzo ni bus za Darlux kubeba waombolezaji kwenye msiba wa kaka yake JK Chalinze.. Bulimia Lux kama kumi hivi.. Magu kuuliza akaambiwa na chawa ni za JK

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah sema battle ya jk na magu, sijui chanzo ni kipi🤒
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom