Dar Lux kapotezwa?

Dar Lux kapotezwa?

Anasema hajarithi, baba yake alikataa kumpa pocket money wakati anasoma Canada kwa kudai kuwa ameshakuwa mtu mzima ajifunze kutafuta pesa. Hapo ndio akaanza kufanya biashara ya kusafirisha mitumba kutoka Canada kuja Bongo.
Hizi stori za matajiri jinsi walivyofanikiwa zinaingia akilini kwa matajiri wenyewe.
🤣
Kwao pesa ipo. Baba ndio mmiliki wa azania group. Na tetesi kuwa ana connection na riz1. Huo uongo wa kitoto mno 🤣
 
Mi mwenyewe nimemgoogle huyo jamaa wa lae oil af ni chalii sana 36 yrs... Hizi investment za lake sio mchezo kila Kona wapo.... Au karithi pesa
Nilishakutana nae pale mchicha godown lake la kuhifadhia sulphur aiseee kijana mwenzetu kabisa huyu na huwezi mdhania hata kidogo
 
Biashara nyingi kama hizi zina mikono ya watu wa serikali na pesa chafu
Kiuhalisia wamiliki hizi kampuni ni wasimamizi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom