Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,594
- 13,422
Nimeendelea kugugo. Wanasema ni mtoto wa mwenye Azania group, wengine wanasema ana connection na riz1.Nasoma historia yake hapa kaanza biashara ya mitumba kutoka Canada mwaka 2006.
Ila mwamba pesa anayo, sio poa.