- Thread starter
- #61
Ndege Ukafananishe na Kimbinyiko?Biashara ya bus ni sawa na biashara ya ndege
Ndege Ukafananishe na Kimbinyiko?Biashara ya bus ni sawa na biashara ya ndege
Utafika mbali wanaoendelea ni wasio na mikopo unakuwa na real capital
Uenda na Kodi zetu zinahusika kama wafadhili wa chama kupitia marejeshoUmesahau kutaja rangi ya Ngozi ya wamiliki wa basi tajwa. Na wote wapo mjengoni wakiteta na wafanya maamuzi katika Chama. Unategemea nn?
hujaelewa wapi sasa..Ndege Ukafananishe na Kimbinyiko?
Utafika mbali wanaoendelea ni wasio na mikopo unakuwa na real capital
Hawa jamaa kwenye sekta ya usafirishaji wako na biz strategies nzuri sana.Umesahau kutaja rangi ya Ngozi ya wamiliki wa basi tajwa. Na wote wapo mjengoni wakiteta na wafanya maamuzi katika Chama. Unategemea nn?
Shabiby,Abood, super feo na New force wamejitahidi kudumuNimesema kwenye uzi mwingine, I'll c&p here:
Biashara ya mabasi ni biashara pasua kichwa kuliko zote.
Scandinavia iliyofanya Mapinduzi kwenye hii sekta ilikufa kifo Cha mende.
Hood imekufa.
Sumry chali.
Sauli yupo hoi siku zake zinahesabika, Achimwene got him in the headlock.
Dar express, Dar Lux, Rungwe waliokuwa powerhouse kwenye hii sekta wote wapo hoi. Etc etc
Turnover kwenye hii sekta ni kubwa mno. Kila miaka miwili wanakuja wengine na kupotea kama upepo household names.
Utasema usimamizi na sababu zote ila sio rahisi kusema hao wote hawajui wanachokifanya. Fanya hii biashara kama unataka kufukia pesa zako.
Shabiby,Abood, super feo na New force wamejitahidi kudumu
Vipi kuhusu Happy Nation maana kadumu na ndo alonunua hizi gari za dar luxList yaliyokufa afu uone uwiano.
New Force's main business ni kuuza mabasi, usafirishaji is secondary.
Una akili za kivivu.Biashara za mabasi faida utaanza kuiona kwa wastani wa muda miaka kuanzia miwili.
Kuna biashara ambazo zitakusaidia tu kutengeneza flow nzuri ya pesa , kuweka pesa kwenye mzunguko na kutengeneza discipline nzuri ya pesa lakini si biashara zitakazo kutoa au kukupa utajiri maradufu.
Naweza sema ni kama ile unaona kuliko kukaa na milioni 300 bank, kwa nini usiiweke kwenye mzunguko izae taratibu kuliko kukaa na pesa mwisho utaiharibu kwa matumizi ya ajabu au kutumia hovyo ikaisha.
Ni kama utumie milioni 50 kujenga nyumba utakayoipangisha kwa mwaka upate mil 4, itachukua miaka 12 kuanza kupata faida, lakini ni biashara ambayo unaweza kusomesha watoto wako hadi chuo kikuu wakitegemea kodi ya nyumba, lakini hio mil 50 ungekaa nayo ndani, isingetoboa mwaka.
Biashara ya mabasi ni nzuri kama huna pesa za tia maji tia maji, inapaswa uwe na mfuko wa kueleweka, mapato unaweka bank unakuja kuchungulia account baada hata ya mwaka au zaidi.
Si kila biashara ni kwa ajili ya faida kubwa. Ni baadhi, na unapoanzisha business unakuwa na malengo.
Hatuwezi sema amefilisika, ni maamuzi tu.
Dah chuma ilitukosha sana wanazi r.i.p DRR 754 TNaipata ile Higer 754 DRR lilikuwa la masaa
Niliwahi kufanya interview na mmiliki wa hizi chuma. Full confidence/misifa Kama yote. Nn kimetokea? Uchawi? Alilewa sifa? Customer care? Nchi nyingine hawa wafanyabiashara husaidiwa maana hutengeneza ajira Ila hapa, mpaka utoke damu masikion ndo TRA wakuachie
View attachment 2860514
Nawe unaitwa BABA kabisa Nyumbani kwako eti WANAZI!!!ndio nyie watu wazima na ndevu zenu huwa mnakesha mabarabarani kushangilia mabasi,wapuuzi sana nyieDah chuma ilitukosha sana wanazi r.i.p DRR 754 T
Sasa mkuu haina shida, ujue watu wanatoka backgound tofauti.Nawe unaitwa BABA kabisa Nyumbani kwako eti WANAZI!!!ndio nyie watu wazima na ndevu zenu huwa mnakesha mabarabarani kushangilia mabasi,wapuuzi sana nyie
Vipi kuhusu Happy Nation maana kadumu na ndo alonunua hizi gari za dar lux
Tunachojiuliza hapa sio kufa bali ni kwanini hawa waweze kudumu na hawa wengine washindweFanya uwiano na Kampuni zilizokufa.
Zuberi na Allys unawqchajeAbood na Shabiby ndio wakongwe pekee waliobaki, zaidi ya miaka 25 kwenye game. Na wanazidi kushusha vyuma vipya. Wakongwe wengine wote walishatupa vitaulo