Hamna wanajeshi wa JKT kuna wanajeshi wa JWTZ. JKT ni kamandi ya JWTZ ambayo IPO chini ya major generalUlinzi na usalama ni issue ya muungano lakino jkt sio jambo la muungano, umenichanganya ulivyosema ipo ndani ya jwtz hebu nifafanulie mkuu
commander in chief jeneA lake linabebwa nà wanajeshi wa cheo cha kanali ( colonel) likisindikizwa na one star generals kama ambavyo ilifanyika kwa mwendazakeNgoja nikutoe tongo tongo, Brigadier akifariki jeneza lake linatakiwa libebwe na mabregadier wenzake. Je vipi kwa Commander in chief?
Iko namna ila tu hujui kujieleza!
Ni kitu kimoja. Generals ni ngazi 4 tu.Wewe unaona Brigadier na Brigadear General ni kitu kimoja??
Na ndivyo linavyotakiwa kuwa. Wanasema, 'small army, big power'!Jeshi letu bado dogo kwa idadi ya wanajeshi,
Good explanation MTU asipoelewa hapo Basi tenaTafsiri halisi ya Infantry ni askari wa miguu. Je kuna Kamandi ya askari miguu?
Tofauti ipo ukiongelea askari wa miguu na ukiongelea jeshi la ardhini/nchi kavu. Tukiongelea jeshi la ardhini tunajumuisha makundi yote ya askari wanaopigana kwa kutumia ardhi (ukitoa Navy na Air) makundi hayo ni pamoja na ikiwemo field artillery, motors, armoured personnel carriers, field engineers, Hivyo Infantry ni sehemu ndogo tu ya Land forces. Hivyo ipo kamandi ya Land forces (Jeshi la ardhini/Nchi kavu) lakini hakuna kamandi ya Infantry zaidi ya vikosi na Brigade....
Huwa natamani ningekuwa na info za kutosha, ningemuandikiaBrigadier - 1
Major General - 2
Lieutenant General - 3
General - 4
Kibongobongo unaweza kuambiwa ni siri za kijeshi.Mimi ningependa nione record za kushiriki,kuongoza mapigano ya kivita ya hawa ma general
Ova
🤣🤣hizi lugha za kitaalamu hizi....Adante kunielimisha, kumbe jeshi la aridhini sio infantry, ni land force, katika kusaidiana kuelimishana, infantry ni jeshi la wapi?.
P
beef lao lina miaka dahali, sijui walichukuliana mwanamke......hata sielewi. [emoji16][emoji16]Mbona hawa watu hawaivi kabisa?
Hajui kujieleza kwakuwa naye alisimuliwa tuNgoja nikutoe tongo tongo, Brigadier akifariki jeneza lake linatakiwa libebwe na mabregadier wenzake. Je vipi kwa Commander in chief?
Iko namna ila tu hujui kujieleza!
Bora mumueleze huyo kenge labda atawaelewaSenior officer inaanzia major to colonel
MUHIMU
Mwamnyange na Mabeyo hawakua serving CoS chini ya maraisi wanaoondoka, isipokua waliletwa hapo na maraisi wapya walioingia, so technically ni kama hawakua CoS kabla ya kuwa CDF........ (i mean chini ya former CiC)
Samahan ivi cdf wa Sasa CV yake ikoje kwenye oparesheni za kijeshi?Jeshi halitakiwi kuwa na Brigadiers wengi kuliko Brigades.
Utaishia kuwa na Brigadiers hawana Bridages.
Halafu vyeo vingine vinatuzwa kwa mafanikio yanayotikana na upiganaji vitani.
Nchi yetu haijapigana vita kamili tangu vita vya Kagera kipindi cha Nyerere, wanajeshi sanasana wanaenda kwenye UN na AU engagements tu.
Ukiacha hao Ma General wa Ukuu wa Majeshi utampa mtu cheo cha u General kwa vita ipi aliyopigana?
How sure are you? Hivi unaelewa kuwa akifariki Brigadier wanatakiwa mabregadier wabebe jeneza lake? Lakini pia wanaweza kuamriwa maPrivate wabebe jeneza lake unafahamu hilo?commander in chief jeneA lake linabebwa nà wanajeshi wa cheo cha kanali ( colonel) likisindikizwa na one star generals kama ambavyo ilifanyika kwa mwendazake
Kwa kuwachanganya zaidi waulize waliyobeba jeneza la Mkapa walikuwa na cheo gani??How sure are you? Hivi unaelewa kuwa akifariki Brigadier wanatakiwa mabregadier wabebe jeneza lake? Lakini pia wanaweza kuamriwa maPrivate wabebe jeneza lake unafahamu hilo?
Lakini alikimbia akiwa mejaWengine huamua kubadili mtindo ili wabebe watu wao, mfano labda walisoma pamoja, wanafahamiana kwa muda mrefu au labda ni marafiki wa karibu sana.
Kama uliwahi uliwahi kukipata kisa cha Jamaa aliekimbia TMA, lakini baadae akawa mkuu wa nchi utanielewa.
🤣🤣Wengine huamua kubadili mtindo ili wabebe watu wao, mfano labda walisoma pamoja, wanafahamiana kwa muda mrefu au labda ni marafiki wa karibu sana.
Kama uliwahi uliwahi kukipata kisa cha Jamaa aliekimbia TMA, lakini baadae akawa mkuu wa nchi utanielewa.
Mkuu sio kama alikimbia kabisa, isipokiwa alikimbia kwenda kutafuta hifadhi kwa yule kiongozi mkuu, ndipo kiongozi mkuu alipowasiliana na yule wa kule ndipo baadae jaamaa akatafutiwa sehemu ya kutulia. Lakini baada ya miaka kadhaa kupita mkimbiaji ndio akawa kiongozi wa nchi na mkimbizaji akaona mwisho wake ndio umefika.....Hukuipata hiyo!?Lakini alikimbia akiwa meja
Sio huyo unaemuongelea, kuna mmoja yeye alikimbia lakini baadae akawa ndio mkubwa.[emoji1787][emoji1787]
..wabongo mna habari nyingi sana.
..ngoja nitafute cv zao ili nijihakikishie kwamba walikuwa pamoja huko tma.
..ninavyoelewa yule CoS alikuwa mshauri wa jeshi shelisheli, na kama sijakosea aliwahi kuwa msaidizi wa Cdf wakati fulani.
..ngoja nitafute habari zake.